Ushoga katika taifa la Israeli

Ushoga katika taifa la Israeli

Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu.

Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22
"๐‘ผ๐’”๐’Š๐’๐’‚๐’๐’† ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’Œ๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’‚๐’๐’‚๐’š๐’†๐’๐’‚๐’๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’˜๐’‚๐’๐’‚๐’Ž๐’Œ๐’†, ๐’‰๐’‚๐’š๐’ ๐’๐’Š ๐’Ž๐’‚๐’„๐’‰๐’–๐’Œ๐’Š๐’›๐’."

Kutokana na uzito wa kosa la liwati (ushoga) amri ya kuuawa washiriki imetolewa:
"๐‘ด๐’•๐’– ๐’‚๐’Œ๐’Š๐’๐’‚๐’๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’Œ๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’‚๐’Ž๐’†๐’๐’‚๐’๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’˜๐’‚๐’๐’‚๐’Ž๐’Œ๐’†, ๐’˜๐’๐’•๐’† ๐’˜๐’‚๐’˜๐’Š๐’๐’Š ๐’˜๐’‚๐’Ž๐’†๐’‡๐’‚๐’๐’š๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’„๐’‰๐’–๐’Œ๐’Š๐’›๐’, ๐’˜๐’‚๐’๐’‚๐’‘๐’‚๐’”๐’˜๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’–๐’‚๐’˜๐’‚, ๐’…๐’‚๐’Ž๐’– ๐’š๐’‚๐’ ๐’Š๐’•๐’‚๐’Œ๐’–๐’˜๐’‚ ๐’‹๐’–๐’– ๐’š๐’‚๐’ ๐’˜๐’†๐’๐’š๐’†๐’˜๐’†."
( Mambo ya Walawi 20:13)

Leo tutazame hali ya Ushoga katika taifa hili bandia lilioanzishwa 1948 linalojiita teule.

Haki za wasagaji na mashoga katika taifa la Israeli ni bora zaidi kuliko nchi yoyote ya ukanda wa Mashariki ya Kati.

Israel imekuwa nchi ya kwanza barani Asia kutambua haki ya kuishi pamoja kati ya wapenzi wa jinsia moja bila kusajiliwa.

Wanandoa wa jinsia moja wanaruhusiwa kuasili mtoto kwa pamoja, kufuatia uamuzi wa kihistoria wa mahakama uliofanywa mwaka 2008.

Mashoga na Watu wengine wa LGBTQ pia wanaruhusiwa kuhudumu katika jeshi la Israeli.

Tel Aviv makao makuu ya Israeli yalirejelewa na jarida maarufu la "Calgary Herald" kama mojawapo ya miji inayowapa heshima kubwa mashoga duniani, ndio maana jarida la Out likaliita jiji hilo kwa jina la utani "mji mkuu wa mashoga wa Mashariki ya Kati."

Tovuti ya GayCities, 2011 iliitaja TelAviv kama jiji bora zaidi la wapenzi wa jinsia moja.

Jijini Tel Aviv kuna mnara wa kumbukumbu uliojengwa 2014 kuenzi mashoga walio wahanga wa Holocaust.

Sio serikali tu inayounga mkono mashoga, kura za maoni zimegundua kuwa Waisraeli wengi wanaunga mkono kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja.

Kwa mujibu wa ripoti ya Channel 13 kama ilivyonukuliwa na jarida la Jerusalem Post, Waisraeli 61% wanaunga mkono kuwapa haki sawa watu wa LGBTQ.

Uungaji mkono wa haki za mashoga ni mkubwa miongoni mwa Waisraeli Wayahudi kwa 68% na 17% tu ya wasiounga mkono.

Kwa wale Waisraeli wasio Wayahudi upingaji wa haki za mashoga ni mkubwa kwa 73% na uungaji mkono wa 22%.

๐— ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ด๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ท๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—œ๐˜€๐—ฟ๐—ฎ๐—ฒ๐—น๐—ถ

Mashoga Waisraeli huhudumu waziwazi katika jeshi la Israeli tangu 1993. Israeli inatambua kikamilifu washirika wa wanajeshi na maafisa walio mashoga.

Sheria ya Fursa Sawa katika Ajira ya 1992 inakataza ubaguzi mahali pa kazi kwa sababu ya mwelekeo wa kijinsia.

Raia mashoga hutumikia nafasi nyeti serikalini kama vile Ubunge, ujaji, na uafisa wa umma. Idadi kubwa ya wanadiplomasia wanaoiwakilisha Israeli kote ulimwenguni ni mashoga.

Mashoga na wasagaji wanaopitia mateso kote Mashariki ya Kati mara nyingi hukimbilia Israeli.

๐—จ๐—น๐—ถ๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ณ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ด๐—ฎ

Wanandoa mashoga wanafurahia kutambuliwa na mahakama za Israel na wana haki ya:

๐—ž๐˜‚๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ: Mahakama za Familia za Israeli zinatambua kikamilifu uasili unaofanywa na wapenzi wa jinsia moja.

๐—จ๐˜๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ท๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ: Kwa kukosekana kwa ndoa ya kiraia nchini Israeli, Mahakama Kuu inatambua ndoa za jinsia moja zinazofanywa nje ya nchi.

๐—›๐—ถ๐—ณ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ถ: Sheria ya Israeli inatoa usawa kati ya wapenzi wa jinsia moja na watu wa jinsia tofauti katika masuala ya pensheni za kustaafu na wajane na huduma za matibabu.

๐—จ๐—ฟ๐—ถ๐˜๐—ต๐—ถ: Mahakama za Israeli, kwa idhini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, zinatambua haki ya watu wa jinsia moja kurithi mali ya mwenzi mwingine.

๐— ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ด๐—ฎ ๐—œ๐˜€๐—ฟ๐—ฎ๐—ฒ๐—น๐—ถ

1. Gay Tel Aviv Guide
2.Chama cha Kitaifa cha LGBT nchini Israeli
3.Jerusalem Open House
4. Havruta
Bat-kol (Shirika la Wasagaji wa Kidini.
5. GayIsrael

๐—ฅ๐—ฒ๐—ธ๐—ผ๐—ฑ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ด๐—ฎ ๐—œ๐˜€๐—ฟ๐—ฎ๐—ฒ๐—น๐—ถ

1975: Jumuiya ya kwanza ya LGBT ya Israeli (The Aguda) ilianzishwa

1988: Mapinduzi ya Mashoga ya Israeli yanaanza.

1992: Knesset (Bunge la Iraeli) linatangaza kubatilishwa ubaguzi kulingana na mwelekeo wa kijinsia au mahali pa kazi.

1993: Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) linatekeleza sera ya kupinga ubaguzi katika jeshi la Israeli.

1994: Mahakama Kuu yatoa hukumu ya kuwanufaisha mume na wenye jinsia moja.

1998: Nyota wa Kiisraeli aliyebadili jinsia, Dana International, alishinda Shindano la Nyimbo za Eurovision.

2000: Mahakama ya Juu inawatambua wapenzi wa jinsia moja kuwa wazazi wa kulea watoto.

2002: Mbunge wa kwanza shoga wa waziwazi wa Bunge la Israeli alichaguliwa.

2004: Mahakama ya Tel Aviv ilitoa uamuzi kwamba serikali haiwezi kumfukuza mpenzi wa jinsia moja mwenye asili ya kigeni wa raia wa Israeli.

2006: Ndoa za mashoga zilizofanywa nje ya nchi zinatambuliwa rasmi nchini Israeli.

2008: Haki kamili za kuasili zilizotolewa kwa wanandoa mashoga.

2010: Jarida la Out linatambua Tel Aviv kama jiji salama zaidi kwa mashoga Mashariki ya Kati.

2011: Jaji wa kwanza shoga aliteuliwa.

2011: Israeli inaandaa gwaride kubwa zaidi la Fahari ya Mashoga katika Bara la Asia na zaidi ya washiriki 100,000 kutoka kote ulimwenguni walihudhuria.

Madai kuwa Israeli ni taifa teule na takatifu yanavunjwa na hii kashfa nzito ya kuwa chaka la mashoga Mashariki ya Kati.

Ikumbukwe kuwa uteule wa Israeli ulitegemea sharti la kushika agano la Mungu kama inavyonukuliwa kutoka kwenye Torati:

"๐‘บ๐’‚๐’”๐’‚ ๐’ƒ๐’‚๐’”๐’Š, ๐’Œ๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐’Ž๐’Œ๐’Š๐’•๐’Š๐’Š ๐’”๐’‚๐’–๐’•๐’Š ๐’š๐’‚๐’๐’ˆ๐’– ๐’๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’๐’Š๐’”๐’‰๐’Š๐’Œ๐’‚ ๐’‚๐’ˆ๐’‚๐’๐’ ๐’๐’‚๐’๐’ˆ๐’–, ๐’Ž๐’•๐’‚๐’Œ๐’–๐’˜๐’‚ ๐’˜๐’‚๐’•๐’– ๐’˜๐’‚๐’๐’ˆ๐’– ๐’˜๐’‚๐’•๐’†๐’–๐’๐’† ๐’Œ๐’‚๐’•๐’Š ๐’š๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’•๐’‚๐’Š๐’‡๐’‚ ๐’š๐’๐’•๐’†, ๐’Ž๐’‚๐’‚๐’๐’‚ ๐’…๐’–๐’๐’Š๐’‚ ๐’š๐’๐’•๐’† ๐’๐’Š ๐’Ž๐’‚๐’๐’Š ๐’š๐’‚๐’๐’ˆ๐’–. ๐‘ด๐’•๐’‚๐’Œ๐’–๐’˜๐’‚ ๐’Œ๐’˜๐’‚๐’๐’ˆ๐’– ๐’–๐’‡๐’‚๐’๐’Ž๐’† ๐’˜๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’Œ๐’–๐’‰๐’‚๐’๐’Š ๐’๐’‚ ๐’•๐’‚๐’Š๐’‡๐’‚ ๐’•๐’‚๐’Œ๐’‚๐’•๐’Š๐’‡๐’–.' ๐‘ฏ๐’‚๐’š๐’ ๐’๐’…๐’Š๐’š๐’ ๐’Ž๐’‚๐’๐’†๐’๐’ ๐’–๐’•๐’‚๐’Œ๐’‚๐’š๐’๐’˜๐’‚๐’‚๐’Ž๐’ƒ๐’Š๐’‚ ๐‘พ๐’‚๐’Š๐’”๐’“๐’‚๐’†๐’๐’Š.โ€
(Kutoka 19:5-6)

Neno "kama" katika andiko hilo linaashiria sharti kuwa hamui taifa teule wala taifa takatifu ila kwa kusikia sauti ya Mungu na kushika agano lake.

Rejea:
โ€ขWikipedia
โ€ขGay Israel
โ€ขJerusalem Post
โ€ขOUT
Israel ni taifa lililojengwa kwa wahamiaji toka Ulaya na sehemu zingine za dunia, bahati mbaya sana, wengi wao wameishi nchi za magharibi, wana miji huko na familia zingine huko hivyo utamaduni wao ni wa magharibi 100%. Biblia inakataza ushoga, ni dhambi na chukizo, Torah ambayo ni agano la kale kwenye Biblia ambayo wao wanafuata, inakataza. hivyo ukiona myahudi mmoja amefanya ushoga, haimaanishi kwamba waisrael wote ni mashoga au labda kama dini yao ya Kiyahudi inaruhusu. ni watu binafsi kama wengi tu walivyo Tanzania, uarabuni na kwengine. Tanzania pia tumeshuhudia issue nyingi za mashoga, kuna parties kibao za mashoga dar es salaam. uarabuni ndio wanakula tigo kuliko chochote ndio maana wanawake wao wengi hawana rinda (waarabu). kwahiyo uwepo wa mashoga Israel haimaaishi kwamba wao ndio mashoga kuliko wengine duniani, ni wanadamu walewale kama walivyo wengine duniani.
 
Israel ni taifa lililojengwa kwa wahamiaji toka Ulaya na sehemu zingine za dunia, bahati mbaya sana, wengi wao wameishi nchi za magharibi...
Mkuu kwahiyo palestina sio taifa lililojengwa na wahamiaji wa kiarabu.

Tupe elimu mkuu
 
Kwema Wakuu!

Kwenye vita inayoendelea hapo Palestina, mimi nipo upande wa Palestina. Nipo upande huo kutokana na udanganyifu, dhulma, na ushetani unaofanywa na hao wajiitao Waisraeli ambao kimsingi sio Waisraeli halisi.
Uhalisi wa Waisraeli nje ya vinasaba vyao unatambulika kwa utamaduni wao. Utamaduni wa waisraeli unajulikana na haitofautiani sana na utamaduni wa jamii za mataifa jirani ya hapohapo Mashariki ya kati, kuanzia uvaaji na ulaji pamoja na miiko ya ndoa. Wanafanana kwa asilimia kubwa.

Kama hao wanaojiita Waisraeli wangekuwa waisraeli kweli basi Mji wa Tel Aviv usingetangwazwa na kurasmishwa kuwa ni mji bora rafiki kwa Mashoga yaani Mji wa kishoga.
Utamaduni wa kiyahudi ni kosa la kuuawa ukikutwa unafanya uzinzi sembuse Ushoga ambapo ni kosa kubwa zaidi.
Ushoga adhabu yake ni kifo kwa wayahudi halisi.

Wayahudi na Waisraeli walimkataa Yesu kutokana na Falsafa za Yesu ambazo baadhi zinapingana na utamaduni wa Kiyahudi ambao sheria kuu ni jino kwa jino.
Ukristo ni uzungu na hilo Wayahudi halisi wanalijua wazi. Na Uyahudi halisi ni kinyume na Ukristo ndio maana sehemu zote za Wazungu walipoenda Wayahudi waliteswa na kuuawa kwa sababu Wayahudi wa kweli hawatakubali Ukristo/Uzungu.

Waisraeli wa kweli walikatazwa kuoa na kuchangamana na mataifa mengine. Ili Wasijeabudu miungu ya kigeni na kufanya Shirki(kumshirikisha Mungu na viumbe wengine) lakini kufukuzwa kwa Wayahudi katika nchi yao na kwenda uhamishoni mataifa mbalimbali ikiwemo mataifa ya Mashariki ya Ulaya kulipelekea kuoa na kuolewa na mataifa hayo. Hali iliyopelekea kuzaa watoto Machotara na hata kukengeuka kabisa

Machotara wa kiyahudi wa Ulaya ndio Hao Ashkenazi ndio wanaoiharibu taswira na jina la Waisraeli halisi. Kwa sababu wanachanganya uzungu(ukristo) na Uyahudi (kama kisingizio).

Tamaduni za Wayahudi na Waarabu baada ya ujio wa Uislamu na Mitume ya kiyahudi wanaabudu katika Mungu mmoja asiye na mshirika.
Lakini Wayahudi bandia (waliopotoka) wanaabudu miungu wengi na kufanya Shirki kwa kumshirikisha Mungu na miungu wengine kupitia kile kiitwacho Utatu Mtakatifu ambapo kiasili uzungu(Warumi) ndio walioingiza mila yao hiyo kwenye dini yao ya Ukristo.

Watu wengi wasiojua mambo kwa undani huendeshwa na propaganda za uongo za Wazungu kupitia Waisraeli Bandia(ingawaje labda kidamu wanavinasaba na wayahudi kupitia baba au mama wa kiyahudi)
Uzungu(Ukristo) ndio unaowafanya Watu kushabikia maovu yanayofanywa na Waisraeli bandia hapo Palestina.

Mtu fulani atauliza, Waisraeli au Wayahudi Halisi wapo wapi? Jibu ni kuwa Wayahudi halisi wapo hapohapo Palestina na wengine nchi mashariki ya kati, Afrika ya kaskazini na wengine wapo duniani.
Lakini uongozi na utawala uliopo sasa asilimia kubwa imeshikwa na Wayahudi Bandia hasahasa Ashkenazi ambao wamepotoka(wanauzungu mwingi).

Kwani kuwa mzungu ni kupotoka?
Kwa asilimia kubwa kuwa mzungu ni kupotoka kwa sababu uzungu unahusu zaidi Uhuru wa kujiamulia mambo hata kama ni kinyume na maumbile au na asili.
Ingawaje wapo wazungu wenye tabia njema yaani wazungu wasio na uzungu.

Palestina inahitaji Msaada.
Mkuu mbona unatuchanganya.Kwahiyo Mungu wa waaarabu aitwae Allah anayeziwakilisha miungu ya mespotania kupitia uabudu wa nyota na mwezi.
Kua anafanana na Mungu wa wayahudi aitwae ADONAI anayeziwakilisha roho tatu za miungu ya Abram muajemi na mwenye mtoto aitwae Masihi ambapo mpaka leo wayahudi wanamsubiri.
 
Mungu hana mtoto. Hajazaa, wala hajazaliwa. Hana mshirika na hamuwakilishi wala hawakilishwi na yeyote wala chochote.
Hana mfano na wala hafanani wala kufananishwa na yeyote wala chochote. Huyo ndio Mungu.

Hiyo mungu mwenye mtoto ni miungu wa kizungu hasa warumi na wagiriki
 
Hivi jina la Robert Heriel ni la kibantu Mkuu? Nataka kuconnect na hoja yako hapa ukinipatia jibu.
 
Mungu hana mtoto. Hajazaa, wala hajazaliwa. Hana mshirika na hamuwakilishi wala hawakilishwi na yeyote wala chochote.
Hana mfano na wala hafanani wala kufananishwa na yeyote wala chochote. Huyo ndio Mungu.

Hiyo mungu mwenye mtoto ni miungu wa kizungu hasa warumi na wagiriki
Mungu wa wayahudi na wakrsto aitwae ADONAI AMEZAA NA ANA MTOTO AITWAE MASIHI.
MUNGU WA WAISLAMU NA WAARABU AITWAE ALLAH NI BACHELA HAJAZAA WALA HANA MTOTO.
NB: HAYO NI MAPOKEO YA DINI ZAO WAISLAMU NA WAYAHUDI NA WAKRISTO
 
Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu.

Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22
"๐‘ผ๐’”๐’Š๐’๐’‚๐’๐’† ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’Œ๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’‚๐’๐’‚๐’š๐’†๐’๐’‚๐’๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’˜๐’‚๐’๐’‚๐’Ž๐’Œ๐’†, ๐’‰๐’‚๐’š๐’ ๐’๐’Š ๐’Ž๐’‚๐’„๐’‰๐’–๐’Œ๐’Š๐’›๐’."

Kutokana na uzito wa kosa la liwati (ushoga) amri ya kuuawa washiriki imetolewa:
"๐‘ด๐’•๐’– ๐’‚๐’Œ๐’Š๐’๐’‚๐’๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’Œ๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’‚๐’Ž๐’†๐’๐’‚๐’๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’˜๐’‚๐’๐’‚๐’Ž๐’Œ๐’†, ๐’˜๐’๐’•๐’† ๐’˜๐’‚๐’˜๐’Š๐’๐’Š ๐’˜๐’‚๐’Ž๐’†๐’‡๐’‚๐’๐’š๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’„๐’‰๐’–๐’Œ๐’Š๐’›๐’, ๐’˜๐’‚๐’๐’‚๐’‘๐’‚๐’”๐’˜๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’–๐’‚๐’˜๐’‚, ๐’…๐’‚๐’Ž๐’– ๐’š๐’‚๐’ ๐’Š๐’•๐’‚๐’Œ๐’–๐’˜๐’‚ ๐’‹๐’–๐’– ๐’š๐’‚๐’ ๐’˜๐’†๐’๐’š๐’†๐’˜๐’†."
( Mambo ya Walawi 20:13)

Leo tutazame hali ya Ushoga katika taifa hili bandia lilioanzishwa 1948 linalojiita teule.

Haki za wasagaji na mashoga katika taifa la Israeli ni bora zaidi kuliko nchi yoyote ya ukanda wa Mashariki ya Kati.

Israel imekuwa nchi ya kwanza barani Asia kutambua haki ya kuishi pamoja kati ya wapenzi wa jinsia moja bila kusajiliwa.

Wanandoa wa jinsia moja wanaruhusiwa kuasili mtoto kwa pamoja, kufuatia uamuzi wa kihistoria wa mahakama uliofanywa mwaka 2008.

Mashoga na Watu wengine wa LGBTQ pia wanaruhusiwa kuhudumu katika jeshi la Israeli.

Tel Aviv makao makuu ya Israeli yalirejelewa na jarida maarufu la "Calgary Herald" kama mojawapo ya miji inayowapa heshima kubwa mashoga duniani, ndio maana jarida la Out likaliita jiji hilo kwa jina la utani "mji mkuu wa mashoga wa Mashariki ya Kati."

Tovuti ya GayCities, 2011 iliitaja TelAviv kama jiji bora zaidi la wapenzi wa jinsia moja.

Jijini Tel Aviv kuna mnara wa kumbukumbu uliojengwa 2014 kuenzi mashoga walio wahanga wa Holocaust.

Sio serikali tu inayounga mkono mashoga, kura za maoni zimegundua kuwa Waisraeli wengi wanaunga mkono kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja.

Kwa mujibu wa ripoti ya Channel 13 kama ilivyonukuliwa na jarida la Jerusalem Post, Waisraeli 61% wanaunga mkono kuwapa haki sawa watu wa LGBTQ.

Uungaji mkono wa haki za mashoga ni mkubwa miongoni mwa Waisraeli Wayahudi kwa 68% na 17% tu ya wasiounga mkono.

Kwa wale Waisraeli wasio Wayahudi upingaji wa haki za mashoga ni mkubwa kwa 73% na uungaji mkono wa 22%.

๐— ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ด๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ท๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—œ๐˜€๐—ฟ๐—ฎ๐—ฒ๐—น๐—ถ

Mashoga Waisraeli huhudumu waziwazi katika jeshi la Israeli tangu 1993. Israeli inatambua kikamilifu washirika wa wanajeshi na maafisa walio mashoga.

Sheria ya Fursa Sawa katika Ajira ya 1992 inakataza ubaguzi mahali pa kazi kwa sababu ya mwelekeo wa kijinsia.

Raia mashoga hutumikia nafasi nyeti serikalini kama vile Ubunge, ujaji, na uafisa wa umma. Idadi kubwa ya wanadiplomasia wanaoiwakilisha Israeli kote ulimwenguni ni mashoga.

Mashoga na wasagaji wanaopitia mateso kote Mashariki ya Kati mara nyingi hukimbilia Israeli.

๐—จ๐—น๐—ถ๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ณ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ด๐—ฎ

Wanandoa mashoga wanafurahia kutambuliwa na mahakama za Israel na wana haki ya:

๐—ž๐˜‚๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ: Mahakama za Familia za Israeli zinatambua kikamilifu uasili unaofanywa na wapenzi wa jinsia moja.

๐—จ๐˜๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ท๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ: Kwa kukosekana kwa ndoa ya kiraia nchini Israeli, Mahakama Kuu inatambua ndoa za jinsia moja zinazofanywa nje ya nchi.

๐—›๐—ถ๐—ณ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ถ: Sheria ya Israeli inatoa usawa kati ya wapenzi wa jinsia moja na watu wa jinsia tofauti katika masuala ya pensheni za kustaafu na wajane na huduma za matibabu.

๐—จ๐—ฟ๐—ถ๐˜๐—ต๐—ถ: Mahakama za Israeli, kwa idhini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, zinatambua haki ya watu wa jinsia moja kurithi mali ya mwenzi mwingine.

๐— ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ด๐—ฎ ๐—œ๐˜€๐—ฟ๐—ฎ๐—ฒ๐—น๐—ถ

1. Gay Tel Aviv Guide
2.Chama cha Kitaifa cha LGBT nchini Israeli
3.Jerusalem Open House
4. Havruta
Bat-kol (Shirika la Wasagaji wa Kidini.
5. GayIsrael

๐—ฅ๐—ฒ๐—ธ๐—ผ๐—ฑ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ด๐—ฎ ๐—œ๐˜€๐—ฟ๐—ฎ๐—ฒ๐—น๐—ถ

1975: Jumuiya ya kwanza ya LGBT ya Israeli (The Aguda) ilianzishwa

1988: Mapinduzi ya Mashoga ya Israeli yanaanza.

1992: Knesset (Bunge la Iraeli) linatangaza kubatilishwa ubaguzi kulingana na mwelekeo wa kijinsia au mahali pa kazi.

1993: Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) linatekeleza sera ya kupinga ubaguzi katika jeshi la Israeli.

1994: Mahakama Kuu yatoa hukumu ya kuwanufaisha mume na wenye jinsia moja.

1998: Nyota wa Kiisraeli aliyebadili jinsia, Dana International, alishinda Shindano la Nyimbo za Eurovision.

2000: Mahakama ya Juu inawatambua wapenzi wa jinsia moja kuwa wazazi wa kulea watoto.

2002: Mbunge wa kwanza shoga wa waziwazi wa Bunge la Israeli alichaguliwa.

2004: Mahakama ya Tel Aviv ilitoa uamuzi kwamba serikali haiwezi kumfukuza mpenzi wa jinsia moja mwenye asili ya kigeni wa raia wa Israeli.

2006: Ndoa za mashoga zilizofanywa nje ya nchi zinatambuliwa rasmi nchini Israeli.

2008: Haki kamili za kuasili zilizotolewa kwa wanandoa mashoga.

2010: Jarida la Out linatambua Tel Aviv kama jiji salama zaidi kwa mashoga Mashariki ya Kati.

2011: Jaji wa kwanza shoga aliteuliwa.

2011: Israeli inaandaa gwaride kubwa zaidi la Fahari ya Mashoga katika Bara la Asia na zaidi ya washiriki 100,000 kutoka kote ulimwenguni walihudhuria.

Madai kuwa Israeli ni taifa teule na takatifu yanavunjwa na hii kashfa nzito ya kuwa chaka la mashoga Mashariki ya Kati.

Ikumbukwe kuwa uteule wa Israeli ulitegemea sharti la kushika agano la Mungu kama inavyonukuliwa kutoka kwenye Torati:

"๐‘บ๐’‚๐’”๐’‚ ๐’ƒ๐’‚๐’”๐’Š, ๐’Œ๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐’Ž๐’Œ๐’Š๐’•๐’Š๐’Š ๐’”๐’‚๐’–๐’•๐’Š ๐’š๐’‚๐’๐’ˆ๐’– ๐’๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’๐’Š๐’”๐’‰๐’Š๐’Œ๐’‚ ๐’‚๐’ˆ๐’‚๐’๐’ ๐’๐’‚๐’๐’ˆ๐’–, ๐’Ž๐’•๐’‚๐’Œ๐’–๐’˜๐’‚ ๐’˜๐’‚๐’•๐’– ๐’˜๐’‚๐’๐’ˆ๐’– ๐’˜๐’‚๐’•๐’†๐’–๐’๐’† ๐’Œ๐’‚๐’•๐’Š ๐’š๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’•๐’‚๐’Š๐’‡๐’‚ ๐’š๐’๐’•๐’†, ๐’Ž๐’‚๐’‚๐’๐’‚ ๐’…๐’–๐’๐’Š๐’‚ ๐’š๐’๐’•๐’† ๐’๐’Š ๐’Ž๐’‚๐’๐’Š ๐’š๐’‚๐’๐’ˆ๐’–. ๐‘ด๐’•๐’‚๐’Œ๐’–๐’˜๐’‚ ๐’Œ๐’˜๐’‚๐’๐’ˆ๐’– ๐’–๐’‡๐’‚๐’๐’Ž๐’† ๐’˜๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’Œ๐’–๐’‰๐’‚๐’๐’Š ๐’๐’‚ ๐’•๐’‚๐’Š๐’‡๐’‚ ๐’•๐’‚๐’Œ๐’‚๐’•๐’Š๐’‡๐’–.' ๐‘ฏ๐’‚๐’š๐’ ๐’๐’…๐’Š๐’š๐’ ๐’Ž๐’‚๐’๐’†๐’๐’ ๐’–๐’•๐’‚๐’Œ๐’‚๐’š๐’๐’˜๐’‚๐’‚๐’Ž๐’ƒ๐’Š๐’‚ ๐‘พ๐’‚๐’Š๐’”๐’“๐’‚๐’†๐’๐’Š.โ€
(Kutoka 19:5-6)

Neno "kama" katika andiko hilo linaashiria sharti kuwa hamui taifa teule wala taifa takatifu ila kwa kusikia sauti ya Mungu na kushika agano lake.

Rejea:
โ€ขWikipedia
โ€ขGay Israel
โ€ขJerusalem Post
โ€ขOUT
Uliberali wa kimagharibi umewaharibu.
 
Robo tatu ya wanajeshi wa Israel ni mashoga,vishindo vya mizinga vikitua ardhini wanatokwa kinyesi kwasababu ya mshtuko na jinsi vile awana marinda.
๐Ÿ‘†
nineikuta mahala iyo imechapishwa.
 
Mungu hana mtoto. Hajazaa, wala hajazaliwa. Hana mshirika na hamuwakilishi wala hawakilishwi na yeyote wala chochote.
Hana mfano na wala hafanani wala kufananishwa na yeyote wala chochote. Huyo ndio Mungu.

Hiyo mungu mwenye mtoto ni miungu wa kizungu hasa warumi na wagiriki
Mungu wa wakrsto anafanana na wafuasi wake maana aliwaumba kwa mfano wake na anaitwa ADONAI na hayatambui mafundisho ya QUR'AN.
Mungu wa waislamu yeye hafanani na wafuasi wake na hakuwaumba kwa mfano wake na hayatambui mafundisho ya BIBLIA.
 
Robo tatu ya wanajeshi wa Israel ni mashoga,vishindo vya mizinga vikitua ardhini wanatokwa kinyesi kwasababu ya mshtuko na jinsi vile awana marinda.
๐Ÿ‘†
nineikuta mahala iyo imechapishwa.
Kweli kabisa na ndio maana waarabu wameshinda vita zoote walizopigana ili kuwaua wayahudi tokea mwaka 1948.
 
Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu.

Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22
"๐‘ผ๐’”๐’Š๐’๐’‚๐’๐’† ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’Œ๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’‚๐’๐’‚๐’š๐’†๐’๐’‚๐’๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’˜๐’‚๐’๐’‚๐’Ž๐’Œ๐’†, ๐’‰๐’‚๐’š๐’ ๐’๐’Š ๐’Ž๐’‚๐’„๐’‰๐’–๐’Œ๐’Š๐’›๐’."

Kutokana na uzito wa kosa la liwati (ushoga) amri ya kuuawa washiriki imetolewa:
"๐‘ด๐’•๐’– ๐’‚๐’Œ๐’Š๐’๐’‚๐’๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’Œ๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’‚๐’Ž๐’†๐’๐’‚๐’๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’˜๐’‚๐’๐’‚๐’Ž๐’Œ๐’†, ๐’˜๐’๐’•๐’† ๐’˜๐’‚๐’˜๐’Š๐’๐’Š ๐’˜๐’‚๐’Ž๐’†๐’‡๐’‚๐’๐’š๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’„๐’‰๐’–๐’Œ๐’Š๐’›๐’, ๐’˜๐’‚๐’๐’‚๐’‘๐’‚๐’”๐’˜๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’–๐’‚๐’˜๐’‚, ๐’…๐’‚๐’Ž๐’– ๐’š๐’‚๐’ ๐’Š๐’•๐’‚๐’Œ๐’–๐’˜๐’‚ ๐’‹๐’–๐’– ๐’š๐’‚๐’ ๐’˜๐’†๐’๐’š๐’†๐’˜๐’†."
( Mambo ya Walawi 20:13)

Leo tutazame hali ya Ushoga katika taifa hili bandia lilioanzishwa 1948 linalojiita teule.

Haki za wasagaji na mashoga katika taifa la Israeli ni bora zaidi kuliko nchi yoyote ya ukanda wa Mashariki ya Kati.

Israel imekuwa nchi ya kwanza barani Asia kutambua haki ya kuishi pamoja kati ya wapenzi wa jinsia moja bila kusajiliwa.

Wanandoa wa jinsia moja wanaruhusiwa kuasili mtoto kwa pamoja, kufuatia uamuzi wa kihistoria wa mahakama uliofanywa mwaka 2008.

Mashoga na Watu wengine wa LGBTQ pia wanaruhusiwa kuhudumu katika jeshi la Israeli.

Tel Aviv makao makuu ya Israeli yalirejelewa na jarida maarufu la "Calgary Herald" kama mojawapo ya miji inayowapa heshima kubwa mashoga duniani, ndio maana jarida la Out likaliita jiji hilo kwa jina la utani "mji mkuu wa mashoga wa Mashariki ya Kati."

Tovuti ya GayCities, 2011 iliitaja TelAviv kama jiji bora zaidi la wapenzi wa jinsia moja.

Jijini Tel Aviv kuna mnara wa kumbukumbu uliojengwa 2014 kuenzi mashoga walio wahanga wa Holocaust.

Sio serikali tu inayounga mkono mashoga, kura za maoni zimegundua kuwa Waisraeli wengi wanaunga mkono kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja.

Kwa mujibu wa ripoti ya Channel 13 kama ilivyonukuliwa na jarida la Jerusalem Post, Waisraeli 61% wanaunga mkono kuwapa haki sawa watu wa LGBTQ.

Uungaji mkono wa haki za mashoga ni mkubwa miongoni mwa Waisraeli Wayahudi kwa 68% na 17% tu ya wasiounga mkono.

Kwa wale Waisraeli wasio Wayahudi upingaji wa haki za mashoga ni mkubwa kwa 73% na uungaji mkono wa 22%.

๐— ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ด๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ท๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—œ๐˜€๐—ฟ๐—ฎ๐—ฒ๐—น๐—ถ

Mashoga Waisraeli huhudumu waziwazi katika jeshi la Israeli tangu 1993. Israeli inatambua kikamilifu washirika wa wanajeshi na maafisa walio mashoga.

Sheria ya Fursa Sawa katika Ajira ya 1992 inakataza ubaguzi mahali pa kazi kwa sababu ya mwelekeo wa kijinsia.

Raia mashoga hutumikia nafasi nyeti serikalini kama vile Ubunge, ujaji, na uafisa wa umma. Idadi kubwa ya wanadiplomasia wanaoiwakilisha Israeli kote ulimwenguni ni mashoga.

Mashoga na wasagaji wanaopitia mateso kote Mashariki ya Kati mara nyingi hukimbilia Israeli.

๐—จ๐—น๐—ถ๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ณ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ด๐—ฎ

Wanandoa mashoga wanafurahia kutambuliwa na mahakama za Israel na wana haki ya:

๐—ž๐˜‚๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ: Mahakama za Familia za Israeli zinatambua kikamilifu uasili unaofanywa na wapenzi wa jinsia moja.

๐—จ๐˜๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ท๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ: Kwa kukosekana kwa ndoa ya kiraia nchini Israeli, Mahakama Kuu inatambua ndoa za jinsia moja zinazofanywa nje ya nchi.

๐—›๐—ถ๐—ณ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ถ: Sheria ya Israeli inatoa usawa kati ya wapenzi wa jinsia moja na watu wa jinsia tofauti katika masuala ya pensheni za kustaafu na wajane na huduma za matibabu.

๐—จ๐—ฟ๐—ถ๐˜๐—ต๐—ถ: Mahakama za Israeli, kwa idhini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, zinatambua haki ya watu wa jinsia moja kurithi mali ya mwenzi mwingine.

๐— ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ด๐—ฎ ๐—œ๐˜€๐—ฟ๐—ฎ๐—ฒ๐—น๐—ถ

1. Gay Tel Aviv Guide
2.Chama cha Kitaifa cha LGBT nchini Israeli
3.Jerusalem Open House
4. Havruta
Bat-kol (Shirika la Wasagaji wa Kidini.
5. GayIsrael

๐—ฅ๐—ฒ๐—ธ๐—ผ๐—ฑ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ด๐—ฎ ๐—œ๐˜€๐—ฟ๐—ฎ๐—ฒ๐—น๐—ถ

1975: Jumuiya ya kwanza ya LGBT ya Israeli (The Aguda) ilianzishwa

1988: Mapinduzi ya Mashoga ya Israeli yanaanza.

1992: Knesset (Bunge la Iraeli) linatangaza kubatilishwa ubaguzi kulingana na mwelekeo wa kijinsia au mahali pa kazi.

1993: Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) linatekeleza sera ya kupinga ubaguzi katika jeshi la Israeli.

1994: Mahakama Kuu yatoa hukumu ya kuwanufaisha mume na wenye jinsia moja.

1998: Nyota wa Kiisraeli aliyebadili jinsia, Dana International, alishinda Shindano la Nyimbo za Eurovision.

2000: Mahakama ya Juu inawatambua wapenzi wa jinsia moja kuwa wazazi wa kulea watoto.

2002: Mbunge wa kwanza shoga wa waziwazi wa Bunge la Israeli alichaguliwa.

2004: Mahakama ya Tel Aviv ilitoa uamuzi kwamba serikali haiwezi kumfukuza mpenzi wa jinsia moja mwenye asili ya kigeni wa raia wa Israeli.

2006: Ndoa za mashoga zilizofanywa nje ya nchi zinatambuliwa rasmi nchini Israeli.

2008: Haki kamili za kuasili zilizotolewa kwa wanandoa mashoga.

2010: Jarida la Out linatambua Tel Aviv kama jiji salama zaidi kwa mashoga Mashariki ya Kati.

2011: Jaji wa kwanza shoga aliteuliwa.

2011: Israeli inaandaa gwaride kubwa zaidi la Fahari ya Mashoga katika Bara la Asia na zaidi ya washiriki 100,000 kutoka kote ulimwenguni walihudhuria.

Madai kuwa Israeli ni taifa teule na takatifu yanavunjwa na hii kashfa nzito ya kuwa chaka la mashoga Mashariki ya Kati.

Ikumbukwe kuwa uteule wa Israeli ulitegemea sharti la kushika agano la Mungu kama inavyonukuliwa kutoka kwenye Torati:

"๐‘บ๐’‚๐’”๐’‚ ๐’ƒ๐’‚๐’”๐’Š, ๐’Œ๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐’Ž๐’Œ๐’Š๐’•๐’Š๐’Š ๐’”๐’‚๐’–๐’•๐’Š ๐’š๐’‚๐’๐’ˆ๐’– ๐’๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’๐’Š๐’”๐’‰๐’Š๐’Œ๐’‚ ๐’‚๐’ˆ๐’‚๐’๐’ ๐’๐’‚๐’๐’ˆ๐’–, ๐’Ž๐’•๐’‚๐’Œ๐’–๐’˜๐’‚ ๐’˜๐’‚๐’•๐’– ๐’˜๐’‚๐’๐’ˆ๐’– ๐’˜๐’‚๐’•๐’†๐’–๐’๐’† ๐’Œ๐’‚๐’•๐’Š ๐’š๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’•๐’‚๐’Š๐’‡๐’‚ ๐’š๐’๐’•๐’†, ๐’Ž๐’‚๐’‚๐’๐’‚ ๐’…๐’–๐’๐’Š๐’‚ ๐’š๐’๐’•๐’† ๐’๐’Š ๐’Ž๐’‚๐’๐’Š ๐’š๐’‚๐’๐’ˆ๐’–. ๐‘ด๐’•๐’‚๐’Œ๐’–๐’˜๐’‚ ๐’Œ๐’˜๐’‚๐’๐’ˆ๐’– ๐’–๐’‡๐’‚๐’๐’Ž๐’† ๐’˜๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’Œ๐’–๐’‰๐’‚๐’๐’Š ๐’๐’‚ ๐’•๐’‚๐’Š๐’‡๐’‚ ๐’•๐’‚๐’Œ๐’‚๐’•๐’Š๐’‡๐’–.' ๐‘ฏ๐’‚๐’š๐’ ๐’๐’…๐’Š๐’š๐’ ๐’Ž๐’‚๐’๐’†๐’๐’ ๐’–๐’•๐’‚๐’Œ๐’‚๐’š๐’๐’˜๐’‚๐’‚๐’Ž๐’ƒ๐’Š๐’‚ ๐‘พ๐’‚๐’Š๐’”๐’“๐’‚๐’†๐’๐’Š.โ€
(Kutoka 19:5-6)

Neno "kama" katika andiko hilo linaashiria sharti kuwa hamui taifa teule wala taifa takatifu ila kwa kusikia sauti ya Mungu na kushika agano lake.

Rejea:
โ€ขWikipedia
โ€ขGay Israel
โ€ขJerusalem Post
โ€ขOUT
Nishasema hilo sio taifa la Mungu ni taifa la lililokengeuka tu kama taifa lingine.
 
Mkuu kwahiyo palestina sio taifa lililojengwa na wahamiaji wa kiarabu.
Tupe elimu mkuu
walivamia lile eneo ambalo zamani lilikuwa la wayahudi, ila sasa, waarabu hao walikaa miaka mingi, karibia 400 huko. vizazi vingi kuja kuviondoa ghafla hivyo, ni ngumu
 
Waislamu hawaukubali ukweli huu na hawana tofauti na waturuki wanaokataa ukweli kua walivamia maeneo ya wagiriki!!
 
Nishasema hilo sio taifa la Mungu ni taifa la lililokengeuka tu kama taifa lingine.
Kukengeuka Kwa waisrael hakuwafanyi kutokua taifa la Mungu....je wewe mwanao akikengeuka na kuwa mkaidi utamtenga na kusema huyu sio mwanangu?????.....au mwanao akikengeuka ndo atakua sio mwanao Tena???......pia wapo wakengeukaji kuliko waisrael lakini still bado Mungu anawafadhiliii
 
Ma

Unafahamu kuwa viongozi wa vatikano 80% ni mashoga?
[/QUOTE
Hata wakatoliki wanaamini hivyo kupitia kitabu chao cha biblia takatifu iliyowapa watoto wa yakobo hadhi hiyo
Katika ukombozi wa dhambi wa kristo, Hakuna mteule Sana na mteule kidogo kristo alikufa msalabani Kwa aajili ya watu wamuaminio. Hana kundi hayo ni mafundisho yenu walokole ya kuweka makundi. Hata hivyo Judaism haitumbui ukristo kwao ni upagani, sasa wewe na akili zako unamwombea mtu anayekuona wewe mpagani. Ndo maana wakatoliki tunajiombea wenyewe ,lakini tunaheshimu historia ya wayahudi lakini kwetu sio wateule.
 
Back
Top Bottom