Ushoga na usagaji changamoto zinazowatesa wengi kimyakimya kwenye familia na kwenye ndoa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
NB: Maslahi ya uzi; Hii mada nimeombwa niiandike na mdau wa hapa JF ambaye ni mwathirika wa muda mrefu lakini sasa anaendelea vema
Yeye ni shoga kwa ajali na mkewe ni msagaji kwa ajali pia kutokana na mazingira ya makuzi na elimu.. Wote walizaliwa bila hizo kasoro.. Mwanaume akafundishwa na mjombaake waliyekuwa wanaishi naye nyumbani kwao .. Na mwanamke alifundishwa alipokuwa shule ya bweni
Wote walifanya kwa siri kubwa na ni kama walikutanishwa na hatima bila kujuana hizo kasoro mpaka baada ya miaka mitano ya ndoa na tayari wakiwa na watoto wawili wa kike na wa kiume
Hawa wawili ni mfano wa wanandoa kwa maelfu wanaoishi kwenye hizo changamoto.. Wote wawili ama mmoja wao.. Na sehemu kubwa sio wenye hiyo kasoro kiasili kutokana na hormones imbalance (uwiano wa hormones) ama kasoro za kijenetiki (genetic defects)
Wengi wanaishi kwa siri sana na hizi changamoto
Baadhi ya wanaume huamua kutumia dirdos ama kuwalipa watu wa kuwahudumia.. Wengine hawawezi kupata erection piano mpaka watekenye.. Kuna baadhi ya wake ndani ya ndoa wanajua hizo kasoro za waume wao lakini wamekubali kuishi nazo bila kuzisema popote
Kwa wanawake wale ambao nao harakati za maisha kwenye makuzi na shuleni wamejikuta wakipata hiyo ajali .. Wameingia kwenye ndoa kuficha uhalisia lao au kama hitaji la kijamiii lakini deep down mioyoni mwao hawana hisia linapokuja swala la tendo..
Hawa mara nyingi ni wenye pesa, mafsnikio na nafasi nzuri za kazi.. Hawa huwa na marafiki wenye hulka za kufanana.. Ama huamua kuwa na "wake" zao
Walioshindwa kabisa kuonesha kasoro zao wamekuwa na watumiaji maarufu wa dirdos

Kwenye maisha ya ndoa kila kitu kina kiasi na kina uwiano... Kama wanandoa jitahidi sana kumchunguza mwenza wako na kumfahamu vema.. Hasa kwenye ishu nzima ya tendo.. Je anafurahia kiasi gani na hafurahii kiasi gani? Ukifanya nini anapenda au hapendi
Kwa kumjua mwenzi wako vema kutakusaidia uchukue uamuzi sahihi wa kumsaidia ama ku "let it go.." Upanguse vumbi uchape papa
Ni muhimu sana kulijua hili kwakuwa haya mambo yana hulka ya kuzaa roho zenye kuambukiza uzao ndani ya familia

Sisi bado tuko na tamaduni za kiafrika na hizi kasoro zinachukuliwa na jamii kama aibu kubwa hivyo hatuna mijadala huru na ya wazi.. Kwahiyo kulijua tatizo la mwenza wako mapema itakusaidia namna vema ya kushughulika nalo bila kuleta damage
Aliyeniomba niandike hii mada bada ya kugunduana hali zao na mkewe wameamua kuishi kwa kusaidiana kwenye hayo mahitaji ya kihisia huku wakipitia mafunzo mbalimbali na sasa wanaanza ku "recover" wote

(6,553) Manii huathiri kama vimelea vya kichaa cha mbwa | Page 7 | JamiiForums Manii huathiri kama vimelea vya kichaa cha mbwa
 
Reason ni moja tu acheni kuwaambia vijana wakiume wanapo kosea kwakusema upo kama mwanamke badala yake muite na umuambie mwanaume hapaswi kufanya hivi lakini sio kumwambia kuwa yupo kama mwanamke maneno yana umbaa

Pia kwa mwanamke pia achani kuwatukana watoto wakike unakuta kafanya jambo una mwambia yupo kama mwanaume utaanza kuwasaga wenzio badala yake muite na umuambie mtengenezee mtoto wa kike awe na haiba ya kike na wakiume awe na haiba ya kiume
 
NB: Maslahi ya uzi; Hii mada nimeombwa niiandike na mdau wa hapa JF ambaye ni mwathirika wa muda mrefu lakini sasa anaendelea vema
Yeye ni shoga kwa ajali na mkewe ni msagaji kwa ajali pia kutokana na mazingira ya makuzi na elimu.. Wote walizaliwa bila hizo kasoro.. Mwanaume akafundishwa na mjombaake waliyekuwa wanaishi naye nyumbani kwao .. Na mwanamke alifundishwa alipokuwa shule ya bweni
Wote walifanya kwa siri kubwa na ni kama walikutanishwa na hatima bila kujuana hizo kasoro mpaka baada ya miaka mitano ya ndoa na tayari wakiwa na watoto wawili wa kike na wa kiume
Hawa wawili ni mfano wa wanandoa kwa maelfu wanaoishi kwenye hizo changamoto.. Wote wawili ama mmoja wao.. Na sehemu kubwa sio wenye hiyo kasoro kiasili kutokana na hormones imbalance (uwiano wa hormones) ama kasoro za kijenetiki (genetic defects)
Wengi wanaishi kwa siri sana na hizi changamoto
Baadhi ya wanaume huamua kutumia dirdos ama kuwalipa watu wa kuwahudumia.. Wengine hawawezi kupata erection piano mpaka watekenye.. Kuna baadhi ya wake ndani ya ndoa wanajua hizo kasoro za waume wao lakini wamekubali kuishi nazo bila kuzisema popote
Kwa wanawake wale ambao nao harakati za maisha kwenye makuzi na shuleni wamejikuta wakipata hiyo ajali .. Wameingia kwenye ndoa kuficha uhalisia lao au kama hitaji la kijamiii lakini deep down mioyoni mwao hawana hisia linapokuja swala la tendo..
Hawa mara nyingi ni wenye pesa, mafsnikio na nafasi nzuri za kazi.. Hawa huwa na marafiki wenye hulka za kufanana.. Ama huamua kuwa na "wake" zao
Walioshindwa kabisa kuonesha kasoro zao wamekuwa na watumiaji maarufu wa dirdos

Kwenye maisha ya ndoa kila kitu kina kiasi na kina uwiano... Kama wanandoa jitahidi sana kumchunguza mwenza wako na kumfahamu vema.. Hasa kwenye ishu nzima ya tendo.. Je anafurahia kiasi gani na hafurahii kiasi gani? Ukifanya nini anapenda au hapendi
Kwa kumjua mwenzi wako vema kutakusaidia uchukue uamuzi sahihi wa kumsaidia ama ku "let it go.." Upanguse vumbi uchape papa
Ni muhimu sana kulijua hili kwakuwa haya mambo yana hulka ya kuzaa roho zenye kuambukiza uzao ndani ya familia

Sisi bado tuko na tamaduni za kiafrika na hizi kasoro zinachukuliwa na jamii kama aibu kubwa hivyo hatuna mijadala huru na ya wazi.. Kwahiyo kulijua tatizo la mwenza wako mapema itakusaidia namna vema ya kushughulika nalo bila kuleta damage
Aliyeniomba niandike hii mada bada ya kugunduana hali zao na mkewe wameamua kuishi kwa kusaidiana kwenye hayo mahitaji ya kihisia huku wakipitia mafunzo mbalimbali na sasa wanaanza ku "recover" wote
Andiko lako limetuama kwenye kutafuta suluhu ya tatizo hili kwa njia ya kistaarabu,uliyosema yote ni kweli hata mie nishayaona.Asante sana
 
USHOGA NA USAGAJI
These huwa naziterm like vijitabia ambavyo zaidi huletwa na msukumo inborn ama kimazingira japo inborn (feelings and psychological issues) vina asilimia kubwa ya kuchagiza tabia hizi.
Kuna inborn ambayo inaingia kwenye kasoro za kimaumbie(ulemavu) halafu kuna ajali za maisha
 
Wanawake ndio wahanga wakubwa wa kujisaga wenyewe...

Hii ni sababu wengi wao hawafiki kileleni wanaishia njiani...

Ni ni wasiri sana huwezi jua...

NB: Wanawake tuwe wa wawazi kwa wenza wetu kwenye suala la sex ili tufike kileleni...
 
NB: Maslahi ya uzi; Hii mada nimeombwa niiandike na mdau wa hapa JF ambaye ni mwathirika wa muda mrefu lakini sasa anaendelea vema
Yeye ni shoga kwa ajali na mkewe ni msagaji kwa ajali pia kutokana na mazingira ya makuzi na elimu.. Wote walizaliwa bila hizo kasoro.. Mwanaume akafundishwa na mjombaake waliyekuwa wanaishi naye nyumbani kwao .. Na mwanamke alifundishwa alipokuwa shule ya bweni
Wote walifanya kwa siri kubwa na ni kama walikutanishwa na hatima bila kujuana hizo kasoro mpaka baada ya miaka mitano ya ndoa na tayari wakiwa na watoto wawili wa kike na wa kiume
Hawa wawili ni mfano wa wanandoa kwa maelfu wanaoishi kwenye hizo changamoto.. Wote wawili ama mmoja wao.. Na sehemu kubwa sio wenye hiyo kasoro kiasili kutokana na hormones imbalance (uwiano wa hormones) ama kasoro za kijenetiki (genetic defects)
Wengi wanaishi kwa siri sana na hizi changamoto
Baadhi ya wanaume huamua kutumia dirdos ama kuwalipa watu wa kuwahudumia.. Wengine hawawezi kupata erection piano mpaka watekenye.. Kuna baadhi ya wake ndani ya ndoa wanajua hizo kasoro za waume wao lakini wamekubali kuishi nazo bila kuzisema popote
Kwa wanawake wale ambao nao harakati za maisha kwenye makuzi na shuleni wamejikuta wakipata hiyo ajali .. Wameingia kwenye ndoa kuficha uhalisia lao au kama hitaji la kijamiii lakini deep down mioyoni mwao hawana hisia linapokuja swala la tendo..
Hawa mara nyingi ni wenye pesa, mafsnikio na nafasi nzuri za kazi.. Hawa huwa na marafiki wenye hulka za kufanana.. Ama huamua kuwa na "wake" zao
Walioshindwa kabisa kuonesha kasoro zao wamekuwa na watumiaji maarufu wa dirdos

Kwenye maisha ya ndoa kila kitu kina kiasi na kina uwiano... Kama wanandoa jitahidi sana kumchunguza mwenza wako na kumfahamu vema.. Hasa kwenye ishu nzima ya tendo.. Je anafurahia kiasi gani na hafurahii kiasi gani? Ukifanya nini anapenda au hapendi
Kwa kumjua mwenzi wako vema kutakusaidia uchukue uamuzi sahihi wa kumsaidia ama ku "let it go.." Upanguse vumbi uchape papa
Ni muhimu sana kulijua hili kwakuwa haya mambo yana hulka ya kuzaa roho zenye kuambukiza uzao ndani ya familia

Sisi bado tuko na tamaduni za kiafrika na hizi kasoro zinachukuliwa na jamii kama aibu kubwa hivyo hatuna mijadala huru na ya wazi.. Kwahiyo kulijua tatizo la mwenza wako mapema itakusaidia namna vema ya kushughulika nalo bila kuleta damage
Aliyeniomba niandike hii mada bada ya kugunduana hali zao na mkewe wameamua kuishi kwa kusaidiana kwenye hayo mahitaji ya kihisia huku wakipitia mafunzo mbalimbali na sasa wanaanza ku "recover" wote

(6,553) Manii huathiri kama vimelea vya kichaa cha mbwa | Page 7 | JamiiForums Manii huathiri kama vimelea vya kichaa cha mbwa
Huyo mjomba noma sana!
 
Wanawake ndio wahanga wakubwa wa kujisaga wenyewe...

Hii ni sababu wengi wao hawafiki kileleni wanaishia njiani...

Ni ni wasiri sana huwezi jua...

NB: Wanawake tuwe wa wazazi kwa wenza wetu kwenye suala la sex ili tufike kileleni...
Nadhani (japo kwa maumivu sana) no heri afanye hivyo kuliko ku cheat 😩😭
 
Wanawake ndio wahanga wakubwa wa kujisaga wenyewe...

Hii ni sababu wengi wao hawafiki kileleni wanaishia njiani...

Ni ni wasiri sana huwezi jua...

NB: Wanawake tuwe wa wazazi kwa wenza wetu kwenye suala la sex ili tufike kileleni...
Nadhani (japo kwa maumivu sana) no heri afanye hivyo kuliko ku cheat 😩
 
Wape pole.
Tusiishie kuwapa pole hawa bali na kwetu iwe ni wake up call hasa mama tuna watoto nyumbani.. Balancing kwenye makuzi na malezi yao ni muhimu sana na ufuatiliaji wa karibu
Wanakuwa wapi na nani
Wana marafiki wa aina gani
Wanapendelea nini
Usimwamini yeyote na mwanao hata kama ni kiongozi wa dini
 
Back
Top Bottom