Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
- Thread starter
- #21
Tusiishie kuwapa pole hawa bali na kwetu iwe ni wake up call hasa mama tuna watoto nyumbani.. Balancing kwenye makuzi na malezi yao ni muhimu sana na ufuatiliaji wa karibuPole yao
Wanakuwa wapi na nani
Wana marafiki wa aina gani
Wanapendelea nini
Usimwamini yeyote na mwanao hata kama ni kiongozi wa dini