NB: Maslahi ya uzi; Hii mada nimeombwa niiandike na mdau wa hapa JF ambaye ni mwathirika wa muda mrefu lakini sasa anaendelea vema
Yeye ni shoga kwa ajali na mkewe ni msagaji kwa ajali pia kutokana na mazingira ya makuzi na elimu.. Wote walizaliwa bila hizo kasoro.. Mwanaume akafundishwa na mjombaake waliyekuwa wanaishi naye nyumbani kwao .. Na mwanamke alifundishwa alipokuwa shule ya bweni
Wote walifanya kwa siri kubwa na ni kama walikutanishwa na hatima bila kujuana hizo kasoro mpaka baada ya miaka mitano ya ndoa na tayari wakiwa na watoto wawili wa kike na wa kiume
Hawa wawili ni mfano wa wanandoa kwa maelfu wanaoishi kwenye hizo changamoto.. Wote wawili ama mmoja wao.. Na sehemu kubwa sio wenye hiyo kasoro kiasili kutokana na hormones imbalance (uwiano wa hormones) ama kasoro za kijenetiki (genetic defects)
Wengi wanaishi kwa siri sana na hizi changamoto
Baadhi ya wanaume huamua kutumia dirdos ama kuwalipa watu wa kuwahudumia.. Wengine hawawezi kupata erection piano mpaka watekenye.. Kuna baadhi ya wake ndani ya ndoa wanajua hizo kasoro za waume wao lakini wamekubali kuishi nazo bila kuzisema popote
Kwa wanawake wale ambao nao harakati za maisha kwenye makuzi na shuleni wamejikuta wakipata hiyo ajali .. Wameingia kwenye ndoa kuficha uhalisia lao au kama hitaji la kijamiii lakini deep down mioyoni mwao hawana hisia linapokuja swala la tendo..
Hawa mara nyingi ni wenye pesa, mafsnikio na nafasi nzuri za kazi.. Hawa huwa na marafiki wenye hulka za kufanana.. Ama huamua kuwa na "wake" zao
Walioshindwa kabisa kuonesha kasoro zao wamekuwa na watumiaji maarufu wa dirdos
Kwenye maisha ya ndoa kila kitu kina kiasi na kina uwiano... Kama wanandoa jitahidi sana kumchunguza mwenza wako na kumfahamu vema.. Hasa kwenye ishu nzima ya tendo.. Je anafurahia kiasi gani na hafurahii kiasi gani? Ukifanya nini anapenda au hapendi
Kwa kumjua mwenzi wako vema kutakusaidia uchukue uamuzi sahihi wa kumsaidia ama ku "let it go.." Upanguse vumbi uchape papa
Ni muhimu sana kulijua hili kwakuwa haya mambo yana hulka ya kuzaa roho zenye kuambukiza uzao ndani ya familia
Sisi bado tuko na tamaduni za kiafrika na hizi kasoro zinachukuliwa na jamii kama aibu kubwa hivyo hatuna mijadala huru na ya wazi.. Kwahiyo kulijua tatizo la mwenza wako mapema itakusaidia namna vema ya kushughulika nalo bila kuleta damage
Aliyeniomba niandike hii mada bada ya kugunduana hali zao na mkewe wameamua kuishi kwa kusaidiana kwenye hayo mahitaji ya kihisia huku wakipitia mafunzo mbalimbali na sasa wanaanza ku "recover" wote
(6,553) Manii huathiri kama vimelea vya kichaa cha mbwa | Page 7 | JamiiForums
Manii huathiri kama vimelea vya kichaa cha mbwa