Ushoga na usagaji changamoto zinazowatesa wengi kimyakimya kwenye familia na kwenye ndoa

Ushoga na usagaji changamoto zinazowatesa wengi kimyakimya kwenye familia na kwenye ndoa

Ushoga ni Ajenda Kubwa ya Shetani, na pesa ipo kama uchafu kwa hilo
Naona kama shetani anai-promote na kuipa pesa nyingi dhambi ya ushoga kuliko dhambi zingine sijui kwanini, sijui shetani anajua siri gani kwenye hio dhambi, wakati mtu ukiiba hata tsh 500 usipotubu inatosha wewe kwenda motoni Surya Mshana Jr
 
To destroy human kind, especially Man cause is a leader of the family
 
To destroy human kind, especially Man cause is a leader of the family
Hatari sana ukisikiliza ripoti ya mwakyembe NGO zinatoa mamilioni ya pesa ili mwanaume akubali kulawitiwa na mwanaume mwenzie, ushaona wapi taasisi inatoa hela ili mtu ajifunze wizi, au uongo

Nilisoma Moja ya confession kwenye page ya raphee kule insta, unakuta mwanaume ana hela, badala atafte mdada amhudumie, anaenda kumpa gari na kumpangia nyumba mwanaume mwenzie, na kuhonga biashara ya million 10, ili amlawiti mwanaume mwenzie, kama sio masharti toka kwa majini ni nini hio

Matombiy wasagaji ndo usiseme wanajuaga kutongoza kuliko wanaume wengi

Surya joseph1989
 
mimi nikiona mtu anasema ni tabia tu mtu anafundishwa. khaa uwa nakaa kimya tu,

Hawajui mbali na Kuona na kusikia, Roho chafu ndio hutumika kumfanya mtu kung'ang'ania hizo tabia.

Demon take advantage to your stupid belief

Vifungo vipo vya kijini (kiroho) kumfunga mtu asitoke.
 
NB: Maslahi ya uzi; Hii mada nimeombwa niiandike na mdau wa hapa JF ambaye ni mwathirika wa muda mrefu lakini sasa anaendelea vema
Yeye ni shoga kwa ajali na mkewe ni msagaji kwa ajali pia kutokana na mazingira ya makuzi na elimu.. Wote walizaliwa bila hizo kasoro.. Mwanaume akafundishwa na mjombaake waliyekuwa wanaishi naye nyumbani kwao .. Na mwanamke alifundishwa alipokuwa shule ya bweni
Wote walifanya kwa siri kubwa na ni kama walikutanishwa na hatima bila kujuana hizo kasoro mpaka baada ya miaka mitano ya ndoa na tayari wakiwa na watoto wawili wa kike na wa kiume
Hawa wawili ni mfano wa wanandoa kwa maelfu wanaoishi kwenye hizo changamoto.. Wote wawili ama mmoja wao.. Na sehemu kubwa sio wenye hiyo kasoro kiasili kutokana na hormones imbalance (uwiano wa hormones) ama kasoro za kijenetiki (genetic defects)
Wengi wanaishi kwa siri sana na hizi changamoto
Baadhi ya wanaume huamua kutumia dirdos ama kuwalipa watu wa kuwahudumia.. Wengine hawawezi kupata erection piano mpaka watekenye.. Kuna baadhi ya wake ndani ya ndoa wanajua hizo kasoro za waume wao lakini wamekubali kuishi nazo bila kuzisema popote
Kwa wanawake wale ambao nao harakati za maisha kwenye makuzi na shuleni wamejikuta wakipata hiyo ajali .. Wameingia kwenye ndoa kuficha uhalisia lao au kama hitaji la kijamiii lakini deep down mioyoni mwao hawana hisia linapokuja swala la tendo..
Hawa mara nyingi ni wenye pesa, mafsnikio na nafasi nzuri za kazi.. Hawa huwa na marafiki wenye hulka za kufanana.. Ama huamua kuwa na "wake" zao
Walioshindwa kabisa kuonesha kasoro zao wamekuwa na watumiaji maarufu wa dirdos

Kwenye maisha ya ndoa kila kitu kina kiasi na kina uwiano... Kama wanandoa jitahidi sana kumchunguza mwenza wako na kumfahamu vema.. Hasa kwenye ishu nzima ya tendo.. Je anafurahia kiasi gani na hafurahii kiasi gani? Ukifanya nini anapenda au hapendi
Kwa kumjua mwenzi wako vema kutakusaidia uchukue uamuzi sahihi wa kumsaidia ama ku "let it go.." Upanguse vumbi uchape papa
Ni muhimu sana kulijua hili kwakuwa haya mambo yana hulka ya kuzaa roho zenye kuambukiza uzao ndani ya familia

Sisi bado tuko na tamaduni za kiafrika na hizi kasoro zinachukuliwa na jamii kama aibu kubwa hivyo hatuna mijadala huru na ya wazi.. Kwahiyo kulijua tatizo la mwenza wako mapema itakusaidia namna vema ya kushughulika nalo bila kuleta damage
Aliyeniomba niandike hii mada bada ya kugunduana hali zao na mkewe wameamua kuishi kwa kusaidiana kwenye hayo mahitaji ya kihisia huku wakipitia mafunzo mbalimbali na sasa wanaanza ku "recover" wote

(6,553) Manii huathiri kama vimelea vya kichaa cha mbwa | Page 7 | JamiiForums Manii huathiri kama vimelea vya kichaa cha mbwa

Hi sentesi ina maana Gani sijaelewa 👉 "Upanguse vumbi uchape papa"
 
Hivi wale waliosagana huko shileni wakiwa na umri mkubwa wataendelea wakikutana teena mmmh.
 
Ushoga na kusagana hapo siku nyuma kwetu africa ni kitu cha ajabu sana lakn kwa sasa limekuwa jambo la kawaida sana and nothing can stop it coz imepata global support especially kupitia huu mfumo wa utawala wa democracy. Kwa utawala wa nchi ambayo inafata mfumo wa democracy haiwez kupinga ushoga na usagaji coz njia pekee ya kupinga ni kupitia sheria zinazokata ushoga na usagaji kitu ambacho ni ngumu nchi kuweka izo sheria kwa sasa.

Viongoz wa nchi wataishia tu kusema ss hatataki kwa mdomo ila kupitia sheria n ngumu.

So its unstoppable kwa kipindi hiki WHY?
  1. Maadiili zero. waafrica tumeiga kila kitu mpka ushoga.
  2. Pesa imekuwa kila kitu. So now kukosa pesa kwa mtu ni ugonjwa. Mtu asiyekuwa na maadili tu ndo pesa kwake ni kila kitu.
  3. Ulevi kwa vijana wadogo especially wenye 20-30 years. Jangaa la taifa kwa sasa ni ulevi. Kijan mlev wa 20s ni rahis sanaa kuwa trapped na kuwa shoga kuliko kila kitu. Binafs nimeona kwa macho.
  4. UONGOZI WA DEMOCRACY UNASUPORTI USHOGA NA USAGAJI. ni takwa la global so huwez kataa na ndo maana dictatorship inapigwa vita sanaa. Ushoga unaenda kuwa human rights kote dunia isipokuwa nchi zenye element ya dictatorship.
I have a friend last year aliingia mtegoni, alikuwa amekosa ada ya chuo. Katk harakat za kupiga story na mtu aliyekuwa na mfaham basi alikutanisha na leader flan wa hayo mambo aliambiwa atalipiwa ada na kupewa mahitaji yake yote. Sharti ni kuwapiga back other man wezake basi. Alifanikiwa kuchomoa ila ilibid ache kusoma.

NB. Kitu pekee kinaweza mfanya kinaja alisiingie huu mtego wa ushoga na usagaji ni
  • maadali ya bora aliyopata kutoka kwa wazazi ya kuafrica au strong religion ethics
  • Kuepuka friend wasiokuwa na maadili mema esp walevi in anyhow.
  • Kutokuwa na mitamaa ya pesa na mafanikio ya haraka. Hapa wengi wemesombwa na usagaji & ushoga.
Wazazi zingatieni maadili kwa watoto endeleeni kusaka maokoto bila kuzingatia maadili utaacha legacy ya mashoga na wasagaji tu bila hiyali yako.
Wazazi zingatieni maadili kwa watoto endeleeni kusaka maokoto bila kuzingatia maadili utaacha legacy ya mashoga na wasagaji tu bila hiyali yako.
 
Naona kama shetani anai-promote na kuipa pesa nyingi dhambi ya ushoga kuliko dhambi zingine sijui kwanini, sijui shetani anajua siri gani kwenye hio dhambi, wakati mtu ukiiba hata tsh 500 usipotubu inatosha wewe kwenda motoni Surya Mshana Jr
Rejea nini kiliangamiza Sodoma na Gomorah
 
Ni sawa tu na ajali
Kuna wanaopona na kuna wanaobaki na vilema vya milele
Mara ya kwanza nashuhudia huo Ushetani nipo standard VI somewhere two students was gays and 2 students was lesbians na kuna watiaji mimba mmoja alitiwa mimba na wanafunzi walimtia mande hakujua mtoto ni wa nani ila ilikua bonge moja la kesi maana mtoto alietiwa mimba Baba yake by that time alikua mtu mzito, pila likatua shuleni watiaji wote wakakamatwa wengine wakakimbia, sijasahau
 
Kila pando huwa na mazao... Sasa ndio tunayaona live
 
Kuna inborn ambayo inaingia kwenye kasoro za kimaumbie(ulemavu) halafu kuna ajali za maisha
Komrade unaposema ni ajali kuna watu watajificha kwenye hiyo term na kusema kuwa ajali haina kinga na hivyo tabia hizo haziwezi kuzuilika

Hizo ni tabia mbaya tuu na kwa kizazi cha sasa zinachagizwa na tamaa.....watoto wetu waache na tuwasihi ,tuwafundishe kuwa tamaa ni mbaya
 
Back
Top Bottom