Ushoga na usagaji changamoto zinazowatesa wengi kimyakimya kwenye familia na kwenye ndoa

Ushoga na usagaji changamoto zinazowatesa wengi kimyakimya kwenye familia na kwenye ndoa

Aisee so wazee wetu washenzi sana hawa
Rushwa, wao, mifumo mibovu wao, na matapeli wengi mjini ni wazee wazee sio vijana sana... Na vijana walimu wao ni hawa wazee.

Angalia nchi hii ilivyo, na viongozi wengi wa nchi hii ni wazee.. ndo ujue vichwa vya hawa wazee..

Wazee baadhi Yao wameharibu hii nchi ni wachache sana walistarabika
 
Umeongea ukweli mtupu
 
Halafu hawataki kuachia madaraka,
Zaman walikuwa wanaitwa MAFATAKI
Saivi wanaita MADANGA, au Vibabu vyao.
No self respect.

Nahis nchi haikuwa na wasomi kipind hicho kwahio, ukionekana mjanja mjanja tu. Unapewa cheo
Hahahaha😀😀😀
 
Wanawake ndio wahanga wakubwa wa kujisaga wenyewe...

Hii ni sababu wengi wao hawafiki kileleni wanaishia njiani...

Ni ni wasiri sana huwezi jua...

NB: Wanawake tuwe wa wawazi kwa wenza wetu kwenye suala la sex ili tufike kileleni...
Endeleeni tu kujisaga hamna madhara
 
Wanawake ndio wahanga wakubwa wa kujisaga wenyewe...

Hii ni sababu wengi wao hawafiki kileleni wanaishia njiani...

Ni ni wasiri sana huwezi jua...

NB: Wanawake tuwe wa wawazi kwa wenza wetu kwenye suala la sex ili tufike kileleni...
Hawafiki kileleni wanaishia njiani wanapokuwa na waume zao?
 
Ushoga na kusagana hapo siku nyuma kwetu africa ni kitu cha ajabu sana lakn kwa sasa limekuwa jambo la kawaida sana and nothing can stop it coz imepata global support especially kupitia huu mfumo wa utawala wa democracy. Kwa utawala wa nchi ambayo inafata mfumo wa democracy haiwez kupinga ushoga na usagaji coz njia pekee ya kupinga ni kupitia sheria zinazokata ushoga na usagaji kitu ambacho ni ngumu nchi kuweka izo sheria kwa sasa.

Viongoz wa nchi wataishia tu kusema ss hatataki kwa mdomo ila kupitia sheria n ngumu.

So its unstoppable kwa kipindi hiki WHY?
  1. Maadiili zero. waafrica tumeiga kila kitu mpka ushoga.
  2. Pesa imekuwa kila kitu. So now kukosa pesa kwa mtu ni ugonjwa. Mtu asiyekuwa na maadili tu ndo pesa kwake ni kila kitu.
  3. Ulevi kwa vijana wadogo especially wenye 20-30 years. Jangaa la taifa kwa sasa ni ulevi. Kijan mlev wa 20s ni rahis sanaa kuwa trapped na kuwa shoga kuliko kila kitu. Binafs nimeona kwa macho.
  4. UONGOZI WA DEMOCRACY UNASUPORTI USHOGA NA USAGAJI. ni takwa la global so huwez kataa na ndo maana dictatorship inapigwa vita sanaa. Ushoga unaenda kuwa human rights kote dunia isipokuwa nchi zenye element ya dictatorship.
I have a friend last year aliingia mtegoni, alikuwa amekosa ada ya chuo. Katk harakat za kupiga story na mtu aliyekuwa na mfaham basi alikutanisha na leader flan wa hayo mambo aliambiwa atalipiwa ada na kupewa mahitaji yake yote. Sharti ni kuwapiga back other man wezake basi. Alifanikiwa kuchomoa ila ilibid ache kusoma.

NB. Kitu pekee kinaweza mfanya kinaja alisiingie huu mtego wa ushoga na usagaji ni
  • maadali ya bora aliyopata kutoka kwa wazazi ya kuafrica au strong religion ethics
  • Kuepuka friend wasiokuwa na maadili mema esp walevi in anyhow.
  • Kutokuwa na mitamaa ya pesa na mafanikio ya haraka. Hapa wengi wemesombwa na usagaji & ushoga.
Wazazi zingatieni maadili kwa watoto endeleeni kusaka maokoto bila kuzingatia maadili utaacha legacy ya mashoga na wasagaji tu bila hiyali yako.
 
Wanawake ndio wahanga wakubwa wa kujisaga wenyewe...

Hii ni sababu wengi wao hawafiki kileleni wanaishia njiani...

Ni ni wasiri sana huwezi jua...

NB: Wanawake tuwe wa wawazi kwa wenza wetu kwenye suala la sex ili tufike kileleni...
Eeeh waambie hao
 
Back
Top Bottom