Ushoga na usagaji changamoto zinazowatesa wengi kimyakimya kwenye familia na kwenye ndoa

Ushoga na usagaji changamoto zinazowatesa wengi kimyakimya kwenye familia na kwenye ndoa

Binafsi nikikutana na mpinzani wa Elimu au Imani ya kweli kama sio kumkata panga Kama Mfalme Daudi, basi simchagulii tusi.

liliz what liliz Man.

mfano, Mtu unakwambia thibitisha uwepo wa Mungu roho, hizo si dharau kabisa
Unatoa elimu ambayo hauwezi Thibitisha? Matusi wala hayanisumbui bwashee ila nimekushangaa tu , kwa sababu mwanzoni nilifikiri unayo hekima , umejuaje ni mapepo na majini na sio sababu nyingine? Thibitisha hapa ili nijifunze jambo 🤔
 
Ni tabia kama zilivyo tabia zingine, wengi wanajifunza, hivyo zinaweza kudhibitiwa kama zinavyozibitiwa zingine
 
Maninah walai, ndio mshanihuku, sasa namchapa nao kweli, HAIWEZEKANI mie dudu langu lisingiziwe uongo.
Bora nifanye, hata mkisema inakuwa kweli 😂🤣🤣
Usimtamani mke wa jirani yako.. Wala house girl wake, wala mdogo wake.. Wala shemeji yake😀
 
Back
Top Bottom