Ushoga na usagaji changamoto zinazowatesa wengi kimyakimya kwenye familia na kwenye ndoa

Ushoga na usagaji changamoto zinazowatesa wengi kimyakimya kwenye familia na kwenye ndoa

Jaman acha watu waje kuniita Nina roho mbaya habar za ndugu kuja kunitembelea ovyo ovyo au kuja kuishi nyumban kwangu hiyo waje kusahau
Wajomba na mabinam wanapenda sana kuish majumba ya watu kwangu wataishia kunywa soda na kurud waliko Toka
Waharibifu wa watoto mtu unakua kwako halafu unakua na waswas na wagen nyumban ya nin Kila mtu akae Kwa wazaz wake
 
Nakzia mbali na Hilo mweleze mwanao uhalisia wa Dunia sio wajomba tuu
 
Wana sapoti wakubalike kama ndoa za mume na mke ilivyo Hali ambayo kwao inapingwa
Unakubali mashoga wana pesa kuliko nyie wazima 😂😂😂😂😆😆.
Wana pesa nyingi uchafu, na sio ajabu ni wao na familia zao ndio u print pesa zote.

Unajua ni nani anaamua kuingiza Digital money na kuthibitisha zitumike ???
Pesa wanatoa wapi ??? hadi Michuano mikubwa ya mpira kukubali kusupport huo usenge.

Ushoga ni Ajenda Kubwa ya Shetani, na pesa ipo kama uchafu kwa hilo
 
Jaman acha watu waje kuniita Nina roho mbaya habar za ndugu kuja kunitembelea ovyo ovyo au kuja kuishi nyumban kwangu hiyo waje kusahau
Wajomba na mabinam wanapenda sana kuish majumba ya watu kwangu wataishia kunywa soda na kurud waliko Toka
Waharibifu wa watoto mtu unakua kwako halafu unakua na waswas na wagen nyumban ya nin Kila mtu akae Kwa wazaz wake
Ikitokea umewakaribisha hakikisha hawalali na watoto ama hawawi na ukaribu uliopitoliza
 
Ushoga na usagaji ishakuwa ishu nzito, imebaki kila mzazi awe makini na malezi.
Imefika mataifa makubwa nao wanatia mkono kwenye haya mambo!?

Kuanzia movies, cartoon, mitandao ya kijamii etc..
Wapo wenye hormones imbalance, hawa naamini wangelelewa vizuri na kupatiwa tiba vyema wangekaa sawa.
Wapo watoto wanarubuniwa na kuharibiwa na wakubwa.
Wapo wenye tamaa, walioponzwa na tamaa tu, mwishowe wakaharibika.
Wapo wanaoharibikia ujanani, kwa michezo ya kujaribu jaribu, wakiona kwenye video za x ama kusikia na kusoma mitandaoni, nao wanajaribu.
 
Ila Surya hapa umetumia lugha ngumu kwa means! Ni mstaarabu sana na hana kabisa hizo tabia. Ni mtu anayejitambua sana
Binafsi nikikutana na mpinzani wa Elimu au Imani ya kweli kama sio kumkata panga Kama Mfalme Daudi, basi simchagulii tusi.

liliz what liliz Man.

mfano, Mtu anakwambia thibitisha uwepo wa Mungu roho, hizo si dharau kabisa
 
Unakubali mashoga wana pesa kuliko nyie wazima 😂😂😂😂😆😆.
Wana pesa nyingi uchafu, na sio ajabu ni wao na familia zao ndio u print pesa zote.

Unajua ni nani anaamua kuingiza Digital money na kuthibitisha zitumike ???
Pesa wanatoa wapi ??? hadi Michuano mikubwa ya mpira kukubali kusupport huo usenge.

Ushoga ni Ajenda Kubwa ya Shetani, na pesa ipo kama uchafu kwa hilo
Thibitisha
 
Ankali Mshana Jr kwanza nikupe kongole kwa uthubutu wa kuleta bandiko hili hapa jukwaani kwa niaba ya muathirika wa tatizo hili. Kwa nilichokiona katika bandiko hili ni michango mingi chanya katika kuliendea Jambo hili kama janga kubwa la kitaifa ambalo kadri siku zinavyoenda linazidi kushamili.

Tatizo kubwa ambalo watu wengi tumekuwa nalo ni namna ya kuliendea Jambo hili, hapo nyuma watu wengi hawakutaka kusikia wala kuona nyuzi za namna hii kwa kigezo cha kuwa zinanadi tabia hizo na kuzisambaza kumbe huwezi kutatua tatizo kwa kulikimbia, Kuna haja tena kubwa kwa watu ku"come out" na kuzungumzia wazi wazi juu ya masuala haya yanavuowaathiri na namna njema ya kuinusuru jamii yetu katika janga hili hasa kwa wale mabazazi wafiraji na wasagaji wenzao kwa makusudi kwa kutumia vishawishi mbalimbali,ashakum si matusi.
 
Wazazi kuweni makini sana, halafu watoto wenu wapeni sifa zao kama ni wa kike, afanye ya kike, wa kiume ndio kabisaa...

Kuna mdada tumezoeana sana, ni mtu wangu wa karibu mnoo,
Siku moja nimefika pale kwa mualiko wa msosi wa mchana,
Akanipa kesi, kuwa mwanae wa miaka mi4 kwamba jana karudi wakati anamuogesha kamuona ana mafuta kwenye kiuno karibia na tako, kumuhoji, akasema shuleni kuna mtoto mwenzake huwa anakuja na mafuta, ukizubaa anakupaka.
Nikamuuliza unavyoona hajaingiliwa akasema hajaingiliwa,umechukua hatua gani !?
Akasema kamchapa, akiona kapakwa mafuta tena atamchoma moto, nikamwambia umejitahidi ila kwangu naona bado,
Kwanza nenda ukaripoti shule ili uwe msaada kwa watoto wa kiume,
Pili mlete uncle niongee nae, akaja tukapiga stori, ikawa kila nikienda tunapiga stori namjaza sumu zangu.
Siku ya siku yule dada akanipogia simu anacheka kweli, namuuliza vipi, ananiambia anamuona mwanae kabadilika, kwanza ni anapenda sana tamthilia za ngumi, zile za kituruki, yaani wao wakiangalia zile za mapenzi hana mpango anasubiri za mapanga sha..
Kingine akasema juzi kati ameanza tabia akiwa anamuogesha akitaka kumgusa makalio katika kumuogesha, anamkataza, anamwambia uncle kaniambia mwanaume haguswi makalio na mtu yoyote zaidi ya yeye mwenyewe, anataka ajisafishe mwenyewe makalio, siku hizi hata akijisaidi kumchambisha ni mbinde.. 😂😂
Nikamwambia dawa imemuingia, sasa ndio amlee kiume sio kimama mama.
 
Thibitisha
1000121993.png
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Binafsi nikikutana na mpinzani wa Elimu au Imani ya kweli kama sio kumkata panga Kama Mfalme Daudi, basi simchagulii tusi.

liliz what liliz Man.

mfano, Mtu unakwambia thibitisha uwepo wa Mungu roho, hizo si dharau kabisa
Acha hizo wewe maku.
 
Back
Top Bottom