USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

Nawaza siku aibuke mdada.atoe ushuhuda nae aambanishe na mapichapicha kama hivyo live...mbona hapatatosha..

Kwa hii jf nnayoijua😄
Anaweza akipona.. me nimepata ujasiri kwasabb hizi picha nikiziangalia sjawahi kuzizoea zinatisha yaan kabsa kweny kichwa chang nakubali kabsa hapa nilikutana na jambo zito ambalo lilizua migogoro ya nafsi mingi sana kwangu
 
warts inajulikana tu ni kama sundo sundo

but vipele vingine ni kutokana na kunyoa so usiogope

warts inasababishwa na kufanya mapenzi bila kinga so tumia condom. kua na partner mmoja
 
warts inajulikana tu ni kama sundo sundo

but vipele vingine ni kutokana na kunyoa so usiogope

warts inasababishwa na kufanya mapenzi bila kinga so tumia condom. kua na partner mmoja
Humu tu
 
WE JAMAA NI MKWELI SANA.

HUU USHUHUDA WAKO NI KWELI.

SHIDA NYINGINE,MBALI NA WARTS, KUNA HII GERNITAL HERPES MADAKTARI WETU WANAITIBU KAMA UTI.

HAO WANAZIDI KUUA TAIFA.
👏👏 broh excitement ni kubwa mno kushinda hili balaa
 
Mimi nilivikata na wembe nikapaka spirit havijarudi tena inatakiwa uwe mkatili ndio utavipoteza ukiwa muoga utakaa navyo.
 
Ila huu uuzi umetuonesha mapicha pichaaa!
Natumaini walioelewa mjegeje wako watakua wamejaaa DM wanaomba show😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…