USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

1736073620555.jpeg
 
Nawaza siku aibuke mdada.atoe ushuhuda nae aambanishe na mapichapicha kama hivyo live...mbona hapatatosha..

Kwa hii jf nnayoijua😄
Anaweza akipona.. me nimepata ujasiri kwasabb hizi picha nikiziangalia sjawahi kuzizoea zinatisha yaan kabsa kweny kichwa chang nakubali kabsa hapa nilikutana na jambo zito ambalo lilizua migogoro ya nafsi mingi sana kwangu
 
Mkuu tukiwa pale jeshini lindi ..
Ulitokea huo ugonjwa kwa mlipuko tuu vaap vipere vilianza mkononi.... Mara paaap mi vikaamia huku pakuchu ila sasa show yake daah an mda wa usiku na lile joto la nachingwea kule vikaanza kuni sumbua alafu sasa uchawi wa hivi vidude ukisema uvikune tuu aaaaah raha kinoma noma..

Alafu vinaambukiza chap kwa haraka na kupona kwake ndo hvo mpka uwotee dawa mana nilitumia dawa nyingi mpka kuna mdada flan hv akawa ananipaka ile dawa ya mti chungu inaitwa alovara sijuiii.. ila wapi

Na mimi vilichelewa maana nilikua napaka dawa havijapona vizri naenda kunjunjana kwahyo nikawa vinakauka na kurudi tena..

Baada ya kuona haya mambo yanaweza kufanya kukosa show nikaona ngoja vipone mazima hapo nikawa nafata ushauri wa mdada nikawa natumia detol na scaboma ..

Ndan ya mwezi nikapona maana vilibaki huku chini tuu...


Nilivopona ndo nikaanza kutest kwa shangazi wangu wa kwanza kwabisa huyu alikuja hom kulikua na harusi nikatambulishwa kama mama angu mdogo ... ..
Baada ya kupona huwa naogopa sana mtu mwenye vipele hata nikigusana nae basi nahakilisha sijigusi huku chini hata kwa dawa dadek
warts inajulikana tu ni kama sundo sundo

but vipele vingine ni kutokana na kunyoa so usiogope

warts inasababishwa na kufanya mapenzi bila kinga so tumia condom. kua na partner mmoja
 
warts inajulikana tu ni kama sundo sundo

but vipele vingine ni kutokana na kunyoa so usiogope

warts inasababishwa na kufanya mapenzi bila kinga so tumia condom. kua na partner mmoja
Humu tu
 
WE JAMAA NI MKWELI SANA.

HUU USHUHUDA WAKO NI KWELI.

SHIDA NYINGINE,MBALI NA WARTS, KUNA HII GERNITAL HERPES MADAKTARI WETU WANAITIBU KAMA UTI.

HAO WANAZIDI KUUA TAIFA.
👏👏 broh excitement ni kubwa mno kushinda hili balaa
 
Habari wakuu Wa JF, niende kwenye mada....
Katika vitu najivunia sana tangu nimeanza kuujua ulimwengu wa smartphone ni kuijua jamii forums..
Nimejiunga jamii forums ni kama miaka 5 nyuma huko sina hakika sana,

pitapita, hangaika na harakati za vijana kuhusu chupi kwenye umri wa miaka 17 kuendelea zinakuwa juu sana..
nikiwa kama kijana niliyepitia huko, nina kisanga ambacho natamani kila mtu ajue kuhusu huu ugoniwa wa genital warts namna unavyohangaisha na kuharibu saikolojia zetu(victims) aseeh..
nitapost na picha zangu kama ushahidi, i'm too brave to post my pics kwasabb kwangu naona ni kama ushindi mkubwa sana na bonge la comeback nimefanya katk kuipambania afya yangu ya andindo maliaswesa...

brother kama ujawahi umwa warts jipongeze na jikinge sana huu ugonjwa sio poa kabisa asehh

1.hauumizi
2.hauwashi
3.haunenepi
4.haujiamini
5.depression
6.haufurahii sex
7.haushiriki kabisaaa sex if u have big heart to protect others..

Kwa mara ya kwanza niliona tofauti ya kwenye shina la uume wangu nikiwa na miaka 17 back in 2017
Skustuka sana, nilichukulia kawaida,
2021 mwishoni nikapitia andiko twitter lilikuwa linaelezea ishu ya warts, wakat huo bado sjui km nina warts nikajipa tu muda kulisoma lile andiko daaaah pale ndo nikagundua kama nina huo ugonjwa hali ilikuwa kama hivi
tazama picha


nilikuwa na vidoti vitatu tu vya warts mwanzoni nikapotezeaaa

maisha yakasonga hadi 2023 hapo vile vidude aseeeh vilikuja kuwa vikubwa sana kiasi ambacho, nilikuwa stak kabsa mwanamke aone uume wangu na hata ule mda wa kujigi, skutaka kabisa ashike...

hali ilikuwa hivi tazama picha





View attachment 3192321


Broh narudia tenaa kama hujawahii umwa huu ugonjwa acha tu ni noma sana

Hapo ndo nilipoanza kuona dunia na Mungu nimemkosea.. hiki kipindi nilikuw naomba kila dua aseehh....
Nitendeleaa maana uandishi kazi aseeh

Mimi nilivikata na wembe nikapaka spirit havijarudi tena inatakiwa uwe mkatili ndio utavipoteza ukiwa muoga utakaa navyo.
 
Oyaaa wakatiii nina furaha kupitilizaa kuonaa vidude vinakaukaaa.. nikawa najiongeza kuvikata na kucha vile vidude mana vilikuwa vigumu vyeusii baada ya kutumia ile dawa..
Nikawa navinyofoa alaf naweka yale mafutaa baada ya mda naweka ile cream kudadekiiiiiiii skumaliza wiki mbili kama mshkaji wanguu ngoma ikakaa sawa vidude vikapoteaaa kabisaaa kabisaa ile dawa ikabakiii ya kutosha hahahahahahahahhaha

Baada ya kupona ndo nikaja kumsanua yule jamaa kama na mm nilikuw mgonjwaa...


Baada ya kuponaa uume wangu
Picha hapo chinii


View attachment 3192647
Oyaaa nilifurahiii sanaa kudadekiiiii

Sasa mtihani ulibaki hapaa.. vipi kuhusu yule dem? Basi me nikamsanua kama vile vidude vimepotea kabisa havipo kabisa yaaan hata alama tu ya warts haipooo... alishangaaa sanaaaa then akafurahi sanaa.. nikamwambia kabla ya kusex inabid tuende tukacheki kama una Virusi vya HPV na kam hauna basi upate kinga na mm nipate kinga maisha ya sex yarud kama kawaida.. kweli tukaenda kucheki, manzi matokeo yametoka yupo salama kabisa basi akapata chanjo na mm nkacheki bado virus ziko mwilin na nikaambiwa hizo zikifika haziondoki tena kweny damu so hazina madhara kam nitaimarisha tu kinga mwili.. aaah me nikaona poaaa tu ishu ni hivi vinyama bwanaa..
daaaaah yule demu hata kabla sjapiga c akafiwa bwana ikabidi aondoke kwao kigoma akazike daaah tangu kaondoka ajarud had leoo... na mm naogopa sana kupiga dem mwingne kwa kuhofia vidude vitarudi basi nikajikaza miezi ya mwanzo ile daaah sku nlvokuja kukamatia manzi niliosha kama akili sina but ni safe sex..

safari ilikuwa hivyo yaniii
Stage 1

View attachment 3192653



View attachment 3192654


Stage 2

View attachment 3192655



View attachment 3192657



View attachment 3192658


Stage 3

Matibabu

View attachment 3192659View attachment 3192660


View attachment 3192661


Stage 4

Kuponaa uzimaaaa

View attachment 3192663

Uzima raha wananguuuu

Naishukuru sana jamiii forums kwa kunisaidia kuipagana vita hiiii asehhh
SIKUSHAURI
kutokwenda hospital kama mimi..

Skwenda hospital kwasabb nilikuwa muoga wakuuu
namshukuru Mungu kwa kunionjesha ladha ya kuumwa na kuniponya maana hali ile ilinifanya nimkumbuke sana Sir God aseeh..

ugonjwa nimepona niko sawa kabisaa now..

Nimeshuhudia ili watu wajue kuwa Jamiiforums inaweza kuwa majibu ya maswali yako mengi magumu aseehh..

Nimemalizaa
Ila huu uuzi umetuonesha mapicha pichaaa!
Natumaini walioelewa mjegeje wako watakua wamejaaa DM wanaomba show😎😎
 
Back
Top Bottom