Basi bwanaaa, me nikaendelea na maficho yangu ya siriii...
kumbe bwana yule mwanamke naye kashaamua kunikazia achunguze kwanini namzuia kuona andindo yangu??? Daaah sku moja akanivizia nikiwa nimelala kabsa then akaona alivyovionaa.... alichokifanya akasubiri mpaka asubuhi ifike. kweli mapema asubuhii tuu akaniulza kuhusu usiri wangu tunaposex.. na kwann napenda sana kutumia condom kwann yan??
me nikaendelea kujielezea vilevile bila kujua mwenzangu kashaona ninachokificha.
sasa akaja kunistua kwa kuniambia kwamba kweny uume wangu kuna masundosundoo!!
ayeehh i was shocked kaonajeeee???
ila nilichoshangaa zaid kajua mpaka jina ambalo me skuwa nalijua hata???
ikabidi sasa nianze tu kumuuliza ndo nini hivyo? akanielezea kama mtu ambae anavijua vizuri vile vinyama aseeeehh??? nilijikuta jinga kabisa kwann nilikuwa nafichaa???
ngoma ilifika hivi tazama picha
View attachment 3192517
View attachment 3192520
Akaanz kunielezea dawa za huko kwao kigomaa
Akaniambia nitumie utovu wa papai bichi kupaka kwenye vile vitunguu(warts)
akanambia na mavi ya kuku wa kienyeji
Akaniambia na kuvifunga uzi wa sindano then baada ya sku3 vitapotea
Oyaaa jinsi nilikuwa desperate na huu ugonjwa nadhani hata ningeambiwa mkojo wa mbwa ni dawa ningekunywa...
Nilifanya hivyo vyoteee na bado ngoma ikawa kam ndo inaanza aseh
Tena huo utovu ulichonifanyia hahahahhahahahahahah sitamani kabsa asehh
Nitaendelea