Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iv hivyo visingekua vinaambukiza si ungekua dili kwa mademu. make vingetumika kama study.Basi bwanaaa, me nikaendelea na maficho yangu ya siriii...
kumbe bwana yule mwanamke naye kashaamua kunikazia achunguze kwanini namzuia kuona andindo yangu??? Daaah sku moja akanivizia nikiwa nimelala kabsa then akaona alivyovionaa.... alichokifanya akasubiri mpaka asubuhi ifike. kweli mapema asubuhii tuu akaniulza kuhusu usiri wangu tunaposex.. na kwann napenda sana kutumia condom kwann yan??
me nikaendelea kujielezea vilevile bila kujua mwenzangu kashaona ninachokificha.
sasa akaja kunistua kwa kuniambia kwamba kweny uume wangu kuna masundosundoo!!
ayeehh i was shocked kaonajeeee???
ila nilichoshangaa zaid kajua mpaka jina ambalo me skuwa nalijua hata???
ikabidi sasa nianze tu kumuuliza ndo nini hivyo? akanielezea kama mtu ambae anavijua vizuri vile vinyama aseeeehh??? nilijikuta jinga kabisa kwann nilikuwa nafichaa???
ngoma ilifika hivi tazama picha
View attachment 3192517
View attachment 3192520
Akaanz kunielezea dawa za huko kwao kigomaa
Akaniambia nitumie utovu wa papai bichi kupaka kwenye vile vitunguu(warts)
akanambia na mavi ya kuku wa kienyeji
Akaniambia na kuvifunga uzi wa sindano then baada ya sku3 vitapotea
Oyaaa jinsi nilikuwa desperate na huu ugonjwa nadhani hata ningeambiwa mkojo wa mbwa ni dawa ningekunywa...
Nilifanya hivyo vyoteee na bado ngoma ikawa kam ndo inaanza aseh
Tena huo utovu ulichonifanyia hahahahhahahahahahah sitamani kabsa asehh
Nitaendelea
Umeutaka?!Aisee kuna watu Wana vyombo daaah daaah daaah
Sina hata nguvu ya ushauri
Kwa lugha nyepesi vinakuwa havina madhara ila vinakulinda na maambukizi ya herpes mpya.kwa maelezo ni hivyo.. walinambia ukipga chanjo huwez kutana na hvy vinyama again ila n kwamb kirusi hakiwez kufa kitabaki ktk dam forever
Elimu ya watu wazima wanajifunza kwa kuona , kama umepita shule za medicine hivi ni vitu vidogo sana .above 18Fake ID ndo inajustify kupost utupu?
Huko shule za Medicine mlikopita mwalimu huvua nguo kisha anawaonesha pumbu zake akizungumzia Penis?Elimu ya watu wazima wanajifunza kwa kuona , kama umepita shule za medicine hivi ni vitu vidogo sana .above 18
Ushapona?