USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

So ulitumia dawa gani kupona
Jina ni warts ointment remover..
Japo zipo nying kwa kurahisisha niliweka hadi picha na pia nikatoa na namba za big ambae aliniuzia mana warts remover ni nyingii
 
Basi bwanaaa, me nikaendelea na maficho yangu ya siriii...
kumbe bwana yule mwanamke naye kashaamua kunikazia achunguze kwanini namzuia kuona andindo yangu??? Daaah sku moja akanivizia nikiwa nimelala kabsa then akaona alivyovionaa.... alichokifanya akasubiri mpaka asubuhi ifike. kweli mapema asubuhii tuu akaniulza kuhusu usiri wangu tunaposex.. na kwann napenda sana kutumia condom kwann yan??
me nikaendelea kujielezea vilevile bila kujua mwenzangu kashaona ninachokificha.
sasa akaja kunistua kwa kuniambia kwamba kweny uume wangu kuna masundosundoo!!
ayeehh i was shocked kaonajeeee???
ila nilichoshangaa zaid kajua mpaka jina ambalo me skuwa nalijua hata???
ikabidi sasa nianze tu kumuuliza ndo nini hivyo? akanielezea kama mtu ambae anavijua vizuri vile vinyama aseeeehh??? nilijikuta jinga kabisa kwann nilikuwa nafichaa???
ngoma ilifika hivi tazama picha
View attachment 3192517

View attachment 3192520



Akaanz kunielezea dawa za huko kwao kigomaa
Akaniambia nitumie utovu wa papai bichi kupaka kwenye vile vitunguu(warts)
akanambia na mavi ya kuku wa kienyeji
Akaniambia na kuvifunga uzi wa sindano then baada ya sku3 vitapotea

Oyaaa jinsi nilikuwa desperate na huu ugonjwa nadhani hata ningeambiwa mkojo wa mbwa ni dawa ningekunywa...
Nilifanya hivyo vyoteee na bado ngoma ikawa kam ndo inaanza aseh

Tena huo utovu ulichonifanyia hahahahhahahahahahah sitamani kabsa asehh

Nitaendelea
Iv hivyo visingekua vinaambukiza si ungekua dili kwa mademu. make vingetumika kama study.
Wengine huvitengeneza wakati wa kutairi, wanaacha manyama nyama.
 
kwa maelezo ni hivyo.. walinambia ukipga chanjo huwez kutana na hvy vinyama again ila n kwamb kirusi hakiwez kufa kitabaki ktk dam forever
Kwa lugha nyepesi vinakuwa havina madhara ila vinakulinda na maambukizi ya herpes mpya.
 
Huko shule za Medicine mlikopita mwalimu huvua nguo kisha anawaonesha pumbu zake akizungumzia Penis?
Brother samahn sana ikiwa hizi picha zimekukwaza kwa namna yyt ile. Lengo halikuwa kudhalilisha mtu.
 
Back
Top Bottom