Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #41
Ninatamani kwenda kumsalimia kwakuwa sina kinyongo naye ingawa alikusudia mabaya mengi kwangu na hatajanipata.Sio rahisi kujua wake mpaka mwenyewe afunguke, tujue mazingara yake yalio msababisha awe Murtard huo ukaidi wake aliuanza na umri gani? Ndo tutaweza kuhukumu nani mwenye makosa.
AsanteKumtegemea MUNGU kuna faida.
MUNGU Baba wa Mbinguni azidi kukubariki sana.
Pole kwa yaliyokukuta.
Kilichomfanya atafute imani nyingne cc hatujui coz hajaweka wazi ila amedeclare kuwa aliachana na imani ya baba yake na sasa yupo na imani nyingne aliyoipenda yeye kwasababu ana haki hzo. Mim na wew yatupasa tuheshim maamuzi yake na pia tuheshim anachokiamin kwa sasa. Kuwa murtad kama ni kosa kwenu ndo mseme na adhabu yake ni ipi, na wew umpe adhabu kama nani.karibSio rahisi kujua wake mpaka mwenyewe afunguke, tujue mazingara yake yalio msababisha awe Murtard huo ukaidi wake aliuanza na umri gani? Ndo tutaweza kuhukumu nani mwenye makosa.
acha nikucheke tu, nikisema neno nitaonekana nakutusiUlikuwa hujaiona misikiti, au huzijuwi nyumba za Waislam?
Hakuna msikiti au Muislam atakunyima kula, siku nyingine ukisikia njaa, jitose msikitini tu uwaambie Waislam shida yako, utakula mpaka ukitazame macho chakula.
Hivi unaishi Tanzania au wapi?
Hamna mzazi anae husudia mabaya kwa mwanae, una mtuhumu bure baba mzazi, jirani yetu alikua na case kama yake mtoto baada ya kumaliza f4 alijufunza ushoga shuleni na akawa shoga kweli kweli nyumbani alitimuka mwenyewe sasa hivi Iko US, ila anaomba arudi nyumbani, kusalimia wazazi, ila wazazi wana masikitiko na huruma na mtoto wao kuliko pesa au vitu alio navyo, wanamuomba kitu kimoja ache ushoga ndo aje kuwasalamia bila hivo bora aendelee na maisha yake uko uko wanamtakia kila la heri kwenye maisha yake mapya.Ninatamani kwenda kumsalimia kwakuwa sina kinyongo naye ingawa alikusudia mabaya mengi kwangu na hatajanipata.
Naona anaona aibu nilipo, hakudhani itakuwa hivi..
Ushoga sio dini kaka. Ushoga ni tabia chafu ya mashetani na watu wanaokwenda kinyume na uhalisia . Hao wazazi wana haki ya kumtenga shoga kwasababu anaweza akashawishi na wanafamilia wengne wawe mashoga. Huyo ni wa kutengwa kabsa naunga mkono wazazi wakeHamna mzazi anae husudia mabaya kwa mwanae, hata unamtuhumu bure, jirani yetu alikua na case kama yako mtoto baada ya kumaloza f4 alijufunza ushoga shuleni na akawa shoga kweli kweli nyumbani alitimuka mwenyewe sasa hivi Iko US, ila anaomba arudi nyumbani, kusalimia wazazi, ila wazazi wanamasikitiko na huruma na mtoto wao kuliko pesa au vitu alio navyo, wanamuomba kitu kimoja ache ushoga ndo aje kuwasalamia bila hivo bora aendelee na maisha yake.
Ni kweli tunapaswa kuheshimu maamuzi yake ya kuamua anako taka ila vile vile anapaswa aheshimu maamuzi ya wazazi wake wa kumtenga na kumkana, kwasbb wengi tunaamini suala la kupata mtoto murtard kitika ukoo nikama laana kwa ukoo lazima baba isipo weka msimamo ukoo wote utapata laana, mimi na sapoti baba mzazi kwa msimamo wake, usaliti wa mtoto bila sababu za msingi unauma huwezi kupata amani ya mwoyo.Kilichomfanya atafute imani nyingne cc hatujui coz hajaweka wazi ila amedeclare kuwa aliachana na imani ya baba yake na sasa yupo na imani nyingne aliyoipenda yeye kwasababu ana haki hzo. Mim na wew yatupasa tuheshim maamuzi yake na pia tuheshim anachokiamin kwa sasa. Kuwa murtad kama ni kosa kwenu ndo mseme na adhabu yake ni ipi, na wew umpe adhabu kama nani.karib
You mean case yangu ni ya ushoga?Hamna mzazi anae husudia mabaya kwa mwanae, hata unamtuhumu bure, jirani yetu alikua na case kama yako mtoto baada ya kumaloza f4 alijufunza ushoga shuleni na akawa shoga kweli kweli nyumbani alitimuka mwenyewe sasa hivi Iko US, ila anaomba arudi nyumbani, kusalimia wazazi, ila wazazi wanamasikitiko na huruma na mtoto wao kuliko pesa au vitu alio navyo, wanamuomba kitu kimoja ache ushoga ndo aje kuwasalamia bila hivo bora aendelee na maisha yake.
Msamehe kaka tumeshamrekebisha.You mean case yangu ni ya ushoga?
Una akili timamu?
SawaMsamehe kaka tumeshamrekebisha.
"Murtad katika ukoo ni kama laana",, kwahyo kaka nyie ukoo wenu wote ni imani moja?? Au ulikuwa unamaanisha familia.Ni kweli tunapaswa kuheshimu maamuzi yake ya kuamua anako taka ila vile vile anapaswa aheshimu maamuzi ya wazazi wake wa kumtenga na kumkana, kwasbb wengi tunaamini suala la kupata mtoto murtard kitika ukoo nikama laana kwa ukoo lazima baba isipo weka msimamo ukoo wote utapata laana, mimi na sapoti baba mzazi kwa msimamo wake, usaliti wa mtoto bila sababu za msingi unauma huwezi kupata amani ya mwoyo.
Mkuu samahani Dini ni tabia na mfumo wamaisha, ushoga ni tabia pia wengi wana imani, kuna kanisa za ushoga uko US kuna mapadri wa shoga kuna kanisa zinazo shabikiana na ushoga, kwahiyo ushoga ni imaani na ni vitendo.Ushoga sio dini kaka. Ushoga ni tabia chafu ya mashetani na watu wanaokwenda kinyume na uhalisia . Hao wazazi wana haki ya kumtenga shoga kwasababu anaweza akashawishi na wanafamilia wengne wawe mashoga. Huyo ni wa kutengwa kabsa naunga mkono wazazi wake
Sijasema kwamba we ni shoga nielewe mkuu "an example is not a number"......usinielewe vibaya mkuu.You mean case yangu ni ya ushoga?
Una akili timamu?
Na hapa ndio pangekua pazuri sanaungetuambia ulitoboaje huenda kuna la kujifunza
Kaka haupo sahihi, kwani unaelewa nini unaposikia kanisa?Mkuu samahani Dini ni tabia na mfumo wamaisha, ushoga ni tabia pia wengi wana imani, kuna kanisa za ushoga uko US kuna mapadri wa shoga kuna kanisa zinazo shabikiana na ushoga, kwahiyo ushoga ni imaani na ni vitendo.
Mkuu kuna tafauti ya Murtadi na muumini wa dini nyingine wakuzaliwa hao ni watu wawili tofauti........Murtadi ni laana kwenye familia lakini imani zingine ni sawa nikiweka jitihada tu warudi penyewe."Murtad katika ukoo ni kama laana",, kwahyo kaka nyie ukoo wenu wote ni imani moja?? Au ulikuwa unamaanisha familia.
Umesema kuna mapdre mashoga nk sawa mm nakubali ila naomba unijibu na mm je hakuna mashoga kwenye imani yako?Mkuu samahani Dini ni tabia na mfumo wamaisha, ushoga ni tabia pia wengi wana imani, kuna kanisa za ushoga uko US kuna mapadri wa shoga kuna kanisa zinazo shabikiana na ushoga, kwahiyo ushoga ni imaani na ni vitendo.
Mkuu imani yangu ni ipi labda niijue?Umesema kuna mapdre mashoga nk sawa mm nakubali ila naomba unijibu na mm je hakuna mashoga kwenye imani yako?