Usiache kununua ardhi. Niliyojifunza Goba sikufanya makosa Madale

Duh πŸ™„ Nje ya mada, kipindi wewe unawaza kununua kiwanja wengine tulikuwa tunafuta kamasi bado .

Humu huwa nadhani najibishana na GenZ.
Dogo nipe heshima yangu, wakati fulani mnaona tunacheka nanyi mnaona GenZ wenzenu sio

Unajua ni vile tu sisi wa kizazi cha millenials ni watu moja poa sana, huwa tunajua kuishi na GenZ mnatuita mabroo.

Shida ni Generation X wameshindwa kuwaelewa
 
Kumbe ujinga ulikuwa nao Toka kitambo 🀣 🀣 🀣

Kazi ya mama kubadili goba

View: https://www.instagram.com/reel/DU8KSMcDN7X/?igsh=MXFudXY0eXFrMm8zZA==
 
Yaani mil.10 ninunue plot ya kujenga wakati napata ekari 30 eneo ambalo ni chini ya km 7 kutoka lami?
 
Unaponunua maeneo Vijijini strictly iwe ni Kwa Ajili ya kuyafanyia uzalishaji mwenyewe au Kwa kukodisha.

Mjini au jirani na Mji ndipo yatageuka kuwa viwanja

By the way binafsi napenda Kilimo so Huwa sisubirii sijui kiwe Kiwanja nilinunua naanza uzalishaji mda huo huo ilimradi naweza kufika kirahisi.
 
Seems like Sumbawanga mjini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijui sana ila kwa uzoefu wangu wilaya ya Kinondoni kuwakuta Wazaramo ni hadimu sana.

Lakini pia ni watu rahisi sana kuuza maeneo yao tena kwa bei ndogo huwa wanahamishwa
Wapo kibao tu, ndio haohao wlitoka mijin wakauz wakanunua mapori huko mabwepande sijui viwege Bunju, madale na ndio haohai wanauza uza mpaka leo. Ukiona mtu kanunua bunju ndan ya miaka hii 10 ujue kauziwa na haohao
 
Dogo nipe heshima yangu, wakati fulani mnaona tunacheka nanyi mnaona GenZ wenzenu sio

Unajua ni vile tu sisi wa kizazi cha millenials ni watu moja poa sana, huwa tunajua kuishi na GenZ mnatuita mabroo.

Shida ni Generation X wameshindwa kuwaelewa
Haha sawa lakini mimi sio GenZ.
 
Wapo kibao tu, ndio haohao wlitoka mijin wakauz wakanunua mapori huko mabwepande sijui viwege Bunju, madale na ndio haohai wanauza uza mpaka leo. Ukiona mtu kanunua bunju ndan ya miaka hii 10 ujue kauziwa na haohao
Nimenunua Madale miaka hiyo sijaona Wazaramo, kama wapo maeneo hayo kwa uchache sana Temeke ndio najua ina Wazaramo kwa wingi. Hata kama wapo huwa sio watu wa kujichanganya na jamii zilizistaarabika pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…