MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Point ni hiyo moja tu. Hizo tatu za mwanzo umekosea kuziweka. Hizo ni kazi kama kazi zingine. Biashara karibu zote za Tanzania ni udalali tofauti ni majina tu. Kuhusu kuchanganyikiwa inategemea na mtu. Kuna mtu anashindwa kuhimili hali yake na kuishia kuchanganyikiwa hadi kujitoa uhai na wala haokoti makopo wala haendeshi bodaboda. Vijana wajifunze tu kukabiliana na hali zao na kujiambia ukweli.4. Usidange; (hasa mabinti) umemaliza chuo huna ishu ya maana mjini rudi kwenu kakae na wazazi wako huku ukiendelea kutafuta cha kufanya.
Nimeona upumbavu mwingine umerudia kuutaja "GRADUATES"... kuwa Graduate ni kuelimika tu na sio lazima ukiwa graduate ndo uchague kazi. Vijana waelewe kazi za ndoto zao mara nyingi kuzipata ni lazima uanzie sehemu fulani.