Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo 1 ina ukweli 100%, nimeshuhudia hili1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo.
Hii kazi inauhusiano wa moja kwa moja na ukichaa.
Katika tafiti yangu ndogo nimegundua wanaojihusisha na hii kazi lazima akili ziruke kidogo.
Kuna mmoja hapo External alikuwa mzima kabisa hadi alipoanza kuzunguka na mfuko huko barabarani kutafuta chupa/makopo ya maji/soda n.k! Mwingine ni wa Maramba mawili, hawakuchukua muda sana akili kuvuruga.
Jihadhari na hii kazi, hata maisha yawe magumu kiasi gani...
2. Bodaboda (esp. Graduates) Hapa nawazungumzia vijana walioenda shule kidogo, at least una shahada. Jiepushe sana na Bodaboda!! zinaharibu sana akili.
Vijana wengi waliohitimu vyuo vikuu na kujiingiza kwenye boda, kuchomoka huwa ni shughuli sana, japo wapo wachache sana wanaojitahidi.
3. Udalali; (hii kwa graduates pia)
Wapo vijana wengi wa sasa hasa kwa Dar wakimaliza vyuo wanaaanza kazi ya udalali wa nyumba na viwanja.
Kigamboni huko wamejazana sana, wengi wao ni walevi tu hakuna cha maana wanachoweza kufanya zaidi yakupata pesa na kuishia kwenye ulevi.
Hii kazi Usifanye. Haina matunda yoyote kwenye future yako.
4. Usidange; (hasa mabinti) umemaliza chuo huna ishu ya maana mjini rudi kwenu kakae na wazazi wako huku ukiendelea kutafuta cha kufanya.
Nawasilisha.
Kuokota makopo wengi huwa ni vichaa, ni bora ukalime mbaazi hata uwe mlinzi na siyo kuokota makopoMtoa mada nakukumbusha tu, kilo Moja ya mbaazi inauzwa sh 300 na kilo Moja ya makopo inauzwa 400 hadi 500, sasa hapo uchaguzi ni wako kati ya kwenda kulima au kuikota makopo
Hata dangote anaona watu wanaofanya kazi za kuajiriwa ni vichaa....Kuokota makopo wengi huwa ni vichaa, ni bora ukalime mbaazi hata uwe mlinzi na siyo kuokota makopo
Omba yasikukute.1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo.
Hii kazi inauhusiano wa moja kwa moja na ukichaa.
Katika tafiti yangu ndogo nimegundua wanaojihusisha na hii kazi lazima akili ziruke kidogo.
Kuna mmoja hapo External alikuwa mzima kabisa hadi alipoanza kuzunguka na mfuko huko barabarani kutafuta chupa/makopo ya maji/soda n.k! Mwingine ni wa Maramba mawili, hawakuchukua muda sana akili kuvuruga.
Jihadhari na hii kazi, hata maisha yawe magumu kiasi gani...
2. Bodaboda (esp. Graduates) Hapa nawazungumzia vijana walioenda shule kidogo, at least una shahada. Jiepushe sana na Bodaboda!! zinaharibu sana akili.
Vijana wengi waliohitimu vyuo vikuu na kujiingiza kwenye boda, kuchomoka huwa ni shughuli sana, japo wapo wachache sana wanaojitahidi.
3. Udalali; (hii kwa graduates pia)
Wapo vijana wengi wa sasa hasa kwa Dar wakimaliza vyuo wanaaanza kazi ya udalali wa nyumba na viwanja.
Kigamboni huko wamejazana sana, wengi wao ni walevi tu hakuna cha maana wanachoweza kufanya zaidi yakupata pesa na kuishia kwenye ulevi.
Hii kazi Usifanye. Haina matunda yoyote kwenye future yako.
4. Usidange; (hasa mabinti) umemaliza chuo huna ishu ya maana mjini rudi kwenu kakae na wazazi wako huku ukiendelea kutafuta cha kufanya.
Nawasilisha.
1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo.

Jua Kali wakati wa kuokota makopo lazima uchanganyikiweHuwa najiuliza kurukwa na Akili Kuna uhuaiano Gani na kazi ya kuokota makopo maana hata mtu mzima akiamza hiyo kazi baada ya muda unamuona kabisa anaanza kuelekea kwenye hiyo hali!? Au ni ile hali ya kutojijali!?
1. Waliopo Dar, au sehemu nyingine miji mikubwa kama Arusha, Mwanza n.k kwenye hayo maeneo ya viwanda kuna vibarua vingi tu.Wape ushauri wafanye nini
Dah!! Mwalimu kucheza na chaki ni jambo dogo sanaKazi ya kuokota chupa lazima uwe fyatu kidogo. Kuligeuza dampo kua fursa sio mchezo. Ni Kama walimu kucheza na vimbi la chaki lazima uwe kichaa ndo maana wanatembea na mafimbo kitita Kama wanachunga punda
Ni kweli lakini fanya tafiti uoneKazi ni kazi tu, kikubwa mkono uwende kinywani.
Kama unatafta kwa jasho lako hauibi cha mtu basi usimpangie mtu chakufanya, kazi yoyote ukiifanya kwa mikakati na malengo utaona faida yake, sio lazima mpaka utoboe.
POVU RUKSA.!
Alikuwa anaingia yeye mwenyewe mtaani na kuokota makopo au alikuwa na kituo cha kupima makopo yanayoletwa na waokotaji?francis cheka alijenga nyumba mbili moro kwa kuokota makopo kitu ambacho professional boxing na umaarufu havikumpa
Umekuja na mashaka liko wapi suluhisho lake .Unataka wafanye kazi gani .Mimi nasema fanya kazi yoyote ilokuwa halali upate rizki yako ili maisha yaendelee plus uwe na malengo nafanya kazi hii lengo langu ni hili tatizo la vijana wetu hawana vision.1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo.