Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, ukipewa kazi ya kuwapa kazi viwandani waokota chupa wote utaweza kuwapa?Bora uende huko Viwandani au kwenye ma ujenzi ukawe saidia fundi tu.
kuliko kuokota chupa.
Mara nyingine jaribu kushirikisha ubongo wako ipasavyo usitumie hisia tu muda wote kama mwanamke. Huwezi kuzisoma alama za nyakati wewe unakimbia tu mikono juu nyeti zikiwa wazi? Hakuna muokota makopo mwenye uwezo hata wa kununua suruali mpya ya sh elfu 20, narudia hakuna! Ila wanaopimisha makopo wanayapeleka kiwandani wanaweza hiko kitu.yeah tena mwandishi wa habar wa mwanasport ndio alimkuta msanvu stand yuko na bonge la kiroba akapiga naye interview francis cheka alimwambia mwandishi kwamba pambani lilimpa hela nyengi ilikua ten milion tena ili kukamata hio hela ilibid asiende gym asilipe kocha wala asikae kambini kiufupi asipige maandalizi ya kutosha hilo pambani unaambiwa alipigwa kama mwizi mgeni ila kwenye biashara ya makopo
ndio kuliko mpa nyumba na heshima ya miamala
utakua mgeni sana hapa mjini kuna uzi humu pia since 2015 francis cheka anaokota makopo mwenyewe pia ananunua kwa waokotaji wadogo kama wewe anajaza fuso anapeleka dar kuchukua mamilioni yakeMara nyingine jaribu kushirikisha ubongo wako ipasavyo usitumie hisia tu muda wote kama mwanamke. Huwezi kuzisoma alama za nyakati wewe unakimbia tu mikono juu nyeti zikiwa wazi? Hakuna muokota makopo mwenye uwezo hata wa kununua suruali mpya ya sh elfu 20, narudia hakuna! Ila wanaopimisha makopo wanayapeleka kiwandani wanaweza hiko kitu.
Hebu soma tena ulichoandika halafu utafakari na usinireply tena.utakua mgeni sana hapa mjini kuna uzi humu pia since 2015 francis cheka anaokota makopo mwenyewe pia ananunua kwa waokotaji wadogo kama wewe anajaza fuso anapeleka dar kuchukua mamilioni yake
Acha uongo cheka ni ndugu yangu wa damu najua utabisha Ila nikuambie tu hawezi kuokota makopo anapesa nyingi sana halafu swala la nyumba acha kudanganya watu hajajenga Kwa biashara ya makopobkweli nimeamini ukiwa maarufu utahusishwa na vitu vingi sana yaani mjomba Francis aingie barabarani aokote makopo Kwa pesa zote hizo alizonazoutakua mgeni sana hapa mjini kuna uzi humu pia since 2015 francis cheka anaokota makopo mwenyewe pia ananunua kwa waokotaji wadogo kama wewe anajaza fuso anapeleka dar kuchukua mamilioni yake
Hebu soma tena ulichoandika halafu utafakari na usinireply tena.
Acha uongo cheka ni ndugu yangu wa damu najua utabisha Ila nikuambie tu hawezi kuokota makopo anapesa nyingi sana halafu swala la nyumba acha kudanganya watu hajajenga Kwa biashara ya makopo
Amesema Ili kuwafanya waokota makopo wajione na wao wanapamba Ila hamna kitu kama hicho mjomba Francis anabiashara nyingi sana kumbe watanzania mnadangaywaga na watu maarufu kirahisi sana aisee yaani kirahisi tu na wewe umekubali kwamba anaokota makopo
ukulipata gazeti la mwananchi la tarehe hio utakuta picha mafurushi ya makopo nyumbani kwake pia mwandishi alimkuta cheka na likiroba la makopo msamvu stand uko less informed nadhani tuishie hapaKw
Amesema Ili kuwafanya waokota makopo wajione na wao wanapamba Ila hamna kitu kama hicho mjomba Francis anabiashara nyingi sana kumbe watanzania mnadangaywaga na watu maarufu kirahisi sana aisee
ukulipata gazeti la mwananchi la tarehe hio utakuta picha mafurushi ya makopo nyumbani kwake pia mwandishi alimkuta cheka na likiroba la makopo msamvu stand uko less informed nadhani tuishie hapa
kudangaKazi ni kazi tu, kikubwa mkono uwende kinywani.
Kama unatafta kwa jasho lako hauibi cha mtu basi usimpangie mtu chakufanya, kazi yoyote ukiifanya kwa mikakati na malengo utaona faida yake, sio lazima mpaka utoboe.
POVU RUKSA.!
naked commentPoint ni hiyo moja tu. Hizo tatu za mwanzo umekosea kuziweka. Hizo ni kazi kama kazi zingine. Biashara karibu zote za Tanzania ni udalali tofauti ni majina tu. Kuhusu kuchanganyikiwa inategemea na mtu. Kuna mtu anashindwa kuhimili hali yake na kuishia kuchanganyikiwa hadi kujitoa uhai na wala haokoti makopo wala haendeshi bodaboda. Vijana wajifunze tu kukabiliana na hali zao na kujiambia ukweli.
Nimeona upumbavu mwingine umerudia kuutaja "GRADUATES"... kuwa Graduate ni kuelimika tu na sio lazima ukiwa graduate ndo uchague kazi. Vijana waelewe kazi za ndoto zao mara nyingi kuzipata ni lazima uanzie sehemu fulani.
Ametoka facebookUsikute mnabishana na Mtoto WA form iv na anaishi kwa mama yake[emoji3][emoji3]ila hii mitandao unaweza bishana ata na Mtoto bila kujua,
sawa sasa kama mjomba wako na alimuigiazia naibu wazir pale msamvu stand kwanini uliniita muongo mimi badala ya kuniambia tu ankole wako ndio muongo na inaonekana hata hii story ya mjomba wako kuokota makopo umeijua leoHayo ni maigizo tu Mimi huyo ni mjomba wangu namjua vizuri nyumba zake zote alizojenga hazijatokana na hiyo biashara ya makopo kama unabisha basi. Endelea kudanganywa na hakuwahi kuingia barabarani serious kuokota makopo zaidi ya hayo maigizo kwenye camera
Kama unabisha ingia barabarani uokote makopo ujenge nyumba tusibishane Kwa vitu vinavyoonekana watu wengine upeo wenu ni mdogo sana yaani na wewe unaamini kabisa mjomba Francis anaokota makopo mpaka kajenga nyumba zake daaah mtu wenye pesa hawezi kukupa Siri ya mafanikio yake kama wewe sio ndugu yake🤣🤣🤣🤣sawa sasa kama mjomba wako na alimuigiazia naibu wazir pale msamvu stand kwanini uliniita muongo mimi badala ya kuniambia tu ankole wako ndio muongo na inaonekana hata hii story ya mjomba wako kuokota makopo umeijua leo
ni kwamba upo kwenye denial kwamba role model wako anaokota makopo and he is proud of that, I think you should too?
Kwa namna Bodaboda zilivyotengeneza ajira Tanzania kuanzia mjini mpaka vijijini basi itoshe kutambua mchango wa Bodaboda katika kujenga uchumi wa
Kwahiyo inamchango kuzidi betting kwenye uchumiKwa namna Bodaboda zilivyotengeneza ajira Tanzania kuanzia mjini mpaka vijijini basi itoshe kutambua mchango wa Bodaboda katika kujenga uchumi wa nchi.