Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Boda boda wa chamazi 😂😂🙌Boda boda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boda boda wa chamazi 😂😂🙌Boda boda
Uyo hela kidogo tu zinamchanganya na kuanza kudharau watuMimi likizo zangu zote za A-level nilikuwa napiga kazi ya saidia fundi ili kupata nauli na fedha za matumizi shuleni. Watu wengine hawaelewi kabisa haya maisha yalivyo.
Mhhhhhh...🤔Sawa sawa
Yupo Mirembe Hospital Iringa road Dodoma jirani na Isanga gerezaniKwani mtu alierukwa na akili yukoje?
UMUGHAKA13Boda boda
Daaa anawaambia wasidange warudi nyumban Kwa wazazi ss ,unakuta mwingine akifiria wazazi wenyewe hawanaa afadhali ya Hali na hata akirudi wazazi hawawezi mpa hata connection ya kazi yyt au hata namba tu ya rfk wa baba au mama aliosoma naye yupo kitengo chcht ampe kazi yyt,,Sijui Kama hujachelewa maana wanaanzia chuoni
Wanaanzia secondarySijui Kama hujachelewa maana wanaanzia chuoni
kusaluka siso😀😀Wafanye kazi gani Sasa? Na vipi utawasaidia pesa za kujitegemea wao na familia zao? Acha uwaki,makopo na scrapers nimeokota sana kabla ya kufika miaka 18 na nipo good
Acha ujinga
Hiyo ya kwanza sawa.1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo.
Hii kazi inauhusiano wa moja kwa moja na ukichaa.
Katika tafiti yangu ndogo nimegundua wanaojihusisha na hii kazi lazima akili ziruke kidogo.
Kuna mmoja hapo External alikuwa mzima kabisa hadi alipoanza kuzunguka na mfuko huko barabarani kutafuta chupa/makopo ya maji/soda n.k! Mwingine ni wa Maramba mawili, hawakuchukua muda sana akili kuvuruga.
Jihadhari na hii kazi, hata maisha yawe magumu kiasi gani...
2. Bodaboda (esp. Graduates) Hapa nawazungumzia vijana walioenda shule kidogo, at least una shahada. Jiepushe sana na Bodaboda!! zinaharibu sana akili.
Vijana wengi waliohitimu vyuo vikuu na kujiingiza kwenye boda, kuchomoka huwa ni shughuli sana, japo wapo wachache sana wanaojitahidi.
3. Udalali; (hii kwa graduates pia)
Wapo vijana wengi wa sasa hasa kwa Dar wakimaliza vyuo wanaaanza kazi ya udalali wa nyumba na viwanja.
Kigamboni huko wamejazana sana, wengi wao ni walevi tu hakuna cha maana wanachoweza kufanya zaidi yakupata pesa na kuishia kwenye ulevi.
Hii kazi Usifanye. Haina matunda yoyote kwenye future yako.
4. Usidange; (hasa mabinti) umemaliza chuo huna ishu ya maana mjini rudi kwenu kakae na wazazi wako huku ukiendelea kutafuta cha kufanya.
Nawasilisha.
Kwahiyo kudanga ni kazi nzuri?Hiyo ya kwanza sawa.
Zingine zilizobaki zote umepuyanga.
Very sadDaaa anawaambia wasidange warudi nyumban Kwa wazazi ss ,unakuta mwingine akifiria wazazi wenyewe hawanaa afadhali ya Hali na hata akirudi wazazi hawawezi mpa hata connection ya kazi yyt au hata namba tu ya rfk wa baba au mama aliosoma naye yupo kitengo chcht ampe kazi yyt,,
,bac bint Kwa kuwa anajiona anaelimu hawezi kuuza hata miogo ,bac mwishoweee n kutudangiaa nac wakoraa tunamchezeshaa segeree mpk kuja kushtuka 30 hii hapa alichokitafuta Kwenye kudangaa n mtt ambaye baba alikuwa malaya .bac Kila akiangalia pakutokeaa hapaoni anakujaa ss anatutangaziaa ,aje mwanaume yyt anayepumuaa tufanye maishaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]