Usifanye hii Kazi, Hata Kama Maisha yakiwa magumu sana

Sijui Kama hujachelewa maana wanaanzia chuoni
Daaa anawaambia wasidange warudi nyumban Kwa wazazi ss ,unakuta mwingine akifiria wazazi wenyewe hawanaa afadhali ya Hali na hata akirudi wazazi hawawezi mpa hata connection ya kazi yyt au hata namba tu ya rfk wa baba au mama aliosoma naye yupo kitengo chcht ampe kazi yyt,,

,bac bint Kwa kuwa anajiona anaelimu hawezi kuuza hata miogo ,bac mwishoweee n kutudangiaa nac wakoraa tunamchezeshaa segeree mpk kuja kushtuka 30 hii hapa alichokitafuta Kwenye kudangaa n mtt ambaye baba alikuwa malaya .bac Kila akiangalia pakutokeaa hapaoni anakujaa ss anatutangaziaa ,aje mwanaume yyt anayepumuaa tufanye maishaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiwa na kazi na maisha safi ni rahisi kukejeli kazi za watu, fanyenu kazi yeyote ya halali. Ni bora uitafute pesa kwenye mazingira magumu kuliko kuikosa kabisa.

Kama hujawai kupitia msoto wa kutafuta hata kibarua cha jero kwa siku na hupati huwezi nielewa. Tuheshimu kazi za watu.
 
Wafanye kazi gani Sasa? Na vipi utawasaidia pesa za kujitegemea wao na familia zao? Acha uwaki,makopo na scrapers nimeokota sana kabla ya kufika miaka 18 na nipo good
kusaluka siso😀😀
 
Hiyo ya kwanza sawa.

Zingine zilizobaki zote umepuyanga.
 
Very sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…