Usifanye hili kosa unaposalitiwa na Mkeo/Mwanamke wako

Mbegu unazitafuta wapi?
 
Ndio yule mume wa mtu mwenye hela mama?

Wewe darasani ulikuwa unaelewa kweli??[emoji28][emoji28][emoji28]
Pitia humu kwenye huu uzi kuna majibu yako yote kama unataka majibu mbona simple

Usilete sport sport sio kila mwanamke anapepesuka na swaga za kishamba ,mara nimekutongoza mara uulize kuhusu mume wangu vipi unataka tu share dudu na Mimi nini mbona unajichosha na mambo yangu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimemsoma, kumbe niko sahihi
 

Yani wamepanic sana sijajua shida ni nini
Wanaume wa kibongo wengi wanataka kusikia furaha yetu kuu ni wao tu,duh sijui watawafundisha nini watoto wao wa kike
Mwanaume ni muhimu kwenye maisha yangu ila ntakuwa nadanganya kusema bila mwanaume ntakosa furaha,mimi binafsi nimevuka huko kwa kumuweka mume ndio kila kitu
 
Mtu simjui aguse hisia zangu?
Usijipe cheo kikubwa hivyo mkuu you’re just a random person
Nilikujibu kwa uzuri tu.,sorry kama umeisoma kitofauti[emoji4]

Mtu simjui aguse hisia zangu?
Usijipe cheo kikubwa hivyo mkuu you’re just a random person
Nilikujibu kwa uzuri tu.,sorry kama umeisoma kitofauti[emoji4]
Oh dear, you're right. I'm just normal random guy. I'm not someone with high status!

Perhaps we know each other, maybe we’re just strangers. Either way, reading someone’s writing is like looking through a window into our lives. I read what you wrote, then it come to my mind.. what you're experiencing. It kind a tough and pain ending relationship. I said sorry if misjudged your writing. Once again jibu ulonipa linazidi kunipa hisia zako.

There are the moments when a particular sentence or passage touches you because it’s said in a way that you see yourself in those words.

Again sorry for what you are passing through. Change your behavior, perceptions, emotions about men.
 
Huwezi kuwa msomi halafu ugombee mume wa mtu.

Kama unanipenda sema tu Mara nakutongoza Mara tushee dudu.

Katafute kwengine mbona povu Dada kisa tu nimegusia mume wa mtu umewaka hahahah
Mimi mwenyewe mume wa mtu pole sanaaaa
 
Hapana Surya wewe ni malaika mtakatifu una uwezo wa kuhesabia madhambi ya watu huku wewe ukiwa mweupe kama theluji [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Rafiki tuombee sisi wadhambi tufike huko ulipo[emoji1374][emoji1374][emoji1374]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimecheka sana
 
Kwa wanaume au huwa zitatafutwa wapi[emoji23][emoji23]

Wanaume wengi mmebaki sperm donors alaf mnajifariji kwa kutukana wanawake kuwaita single mothers.. most are single moms by choice ndo mana mnaona watt wanakuwa wanaishi
Ahahhahah
Sasa Mara watoto mnatafuta wenyewe Mara sisi tumekuwa sperm donor.

Kwanza sisi ndo tunaamua uwe single maza au lah.!

Basi tukigoma let's say hata kuwa sperm donor mimba unatoa wapi?
Huwezi pingana na nature mwanamke na mwanaume wanahitajiana
 
Daktari mwambie huyo jamaa ahakikishe muda wote ana hii kitu chini[emoji116],asiseme hajaambiwa
 
Mimi mtu akichepuka ni kesho yuko kwao na nampeleka mwenyewe hadi kwao na kuwapa sababu za kumrudisha mwanao baada ya hapo sipokei simu ya mtu yeyote kutoka kwa huyo mwanamke sina mda wa kukaa nae sijui nichelewe kuja, nipeleke nguo kwa dobi
 
Huwezi kuwa msomi halafu ugombee mume wa mtu.

Kama unanipenda sema tu Mara nakutongoza Mara tushee dudu.

Katafute kwengine mbona povu Dada kisa tu nimegusia mume wa mtu umewaka hahahah
Mimi mwenyewe mume wa mtu pole sanaaaa

Ulieanza kuniquote ni wewe
Unae ulizia Habari zangu ni wewe
Watu wanasoma wanaona usijifanye unaweza kupinda pinda mambo.Sio povu sema nakupa za uso kuwa mpole usikimbilie kulalamika wanaume wenzio wanakusoma hapa ulianza mwenyewe


Siwezi kuwaka kuhusu mume wa mtu ndio nakuuliza unataka upate Dudu na wewe mbona unanionea uwivu kama nafaidi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una badili mada tu mara umenitosa mara mume wangu
Karibu tuvae shanga pamoja mke mwenza [emoji7][emoji7]

Umevuliwa nguo chutama tu usijibaraguze unajitekenya na kucheka mwenyewe
 
U single mama ndio tusi lenu kubwa mpaka hii 2021 kweli??
Tafuteni mengine bana hayo mpaka sisi ambao sio single mama tunayaona ya kiboya
C’mon you can do better than this
Akili za vijana wa jf..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baadhi ya wanaume jf utawaweza?wapo mbele mbele kama wanawake [emoji1436]‍♀️[emoji1436]‍♀️[emoji1436]‍♀️[emoji1436]‍♀️
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Jf idumu.
 
Mbona wote wamekuuliza hivyo hivyo unakwepa kujibu..?

Hata sijasoma kitu
Uzi wako umefukuliwa kule ..hahahhah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…