Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,086
- 2,576
Mbona wote wamekuuliza hivyo hivyo unakwepa kujibu..?
Hata sijasoma kitu
Uzi wako umefukuliwa kule ..hahahhah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Jf idumu.
Sijasoma hataMpaka hapa chaliii,mbona husemi asante mke mwenza unakimbia ninacho kujibu
Ukiona mwanaume anacheka cheka ujue anawashwaa
Usijifarague sana unaweza kukausha na watu watasahau
Mimi ndio Nina mme wa mtu nimekuuliza unamtaka na wewe hujibu?eti dada huyu mume wa mtu unataka na wewe tu share??
Naona hahahaha kwa wingi kicheko cha kujilazimisha utafika mpaka huhuhuhu
Umeona wapi mwanaume akamshinda mwanamke kwa maneno wewe?ati we ulisikia wapi?
Umesema uziii uzi upi tena jamanii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 Maya 🙌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu ngoja nife nae leo
Maana anawashwa sana na wanaume wenzake wanamkaushia stress analeta kwangu
Ahahhahah
Sasa Mara watoto mnatafuta wenyewe Mara sisi tumekuwa sperm donor.
Kwanza sisi ndo tunaamua uwe single maza au lah.!
Basi tukigoma let's say hata kuwa sperm donor mimba unatoa wapi?
Huwezi pingana na nature mwanamke na mwanaume wanahitajiana
Oh dear, you're right. I'm just normal random guy. I'm not someone with high status!
Perhaps we know each other, maybe we’re just strangers. Either way, reading someone’s writing is like looking through a window into our lives. I read what you wrote, then it come to my mind.. what you're experiencing. It kind a tough and pain ending relationship. I said sorry if misjudged your writing. Once again jibu ulonipa linazidi kunipa hisia zako.
There are the moments when a particular sentence or passage touches you because it’s said in a way that you see yourself in those words.
Again sorry for what you are passing through. Change your behavior, perceptions, emotions about men.
Kweli tunahitajiana lakini nadhani nyie ndo mna uhitaji sana na sisiWatoto hatutafuti wenyewe mnatupa nyie lakini sisi ndo tunaamua tunataka wangapi kwa jinsi uwezo wangu ulivo nataka wawili au mmoja au watatu kwa kujua kabisa hawanishindi no matter what... yani hata ukisepa usiponisemesha 20 yrs to come its your problems i wont ask you for shit[emoji119]
Plus nyie hamuwezi kuchagua tuwe single moms ndo mana unaona kuna wanawake wana ujinga bado wa kuvumilia ndoa kisa ‘watoto’ ilimradi aonekane ana mwanaume.. binafsi ukinizingua off you go[emoji1309][emoji1309][emoji1309]
Na kitu ambacho huwezi ni huko kugoma kuwa sperm donor as you say wanaume na wanawake wanahitajiana sana tu.. lkn wanaume wa afrika mnafanyaga kama wanawake ndo wanahitaji wanaume sanaaa kwamba tukiwakosa tutakufa labda [emoji2372][emoji2372]
Sijasoma hata
Pole sana umalaya huwaga ni wa kurithi .
Huhuhuhuhu
Kumbe unagawa tundu Dada?Umalaya wangu wa kurithi unauonea uwivu dada,we si una tundu lako pia ligawe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu basi na wewe uuonje unaona nafaidiii mwenyewe
Ukimaliza huhuhu tunaenda kicheko gani leo utatufundisha vyote twende bampa to bampa [emoji6][emoji6]
Kumbe unagawa tundu Dada?
We ni Konki wa kuchepukaSi umeona na mimi huwa nataka mwanaume ambae yupo straight sipendi drama drama kuna mambo mengi ya kufanya mahusiano ni part tu ya maisha
Ukinifuma na nikaomba msamaha usiweze kunisamehe nifukuze
Sio sijui unahama chumba,sijui huli chakula etc ni utoto na ujinga kwangu
Na incase huniachi ukanipa mateso ya kisaikolojia kitakacho kupata mbeleni tusilaumiane.
Wanaume nyie ni weak kuliko sisi ndio maana hamuwezi kuvumilia mkijua tumechepuka tofauti na sisi.Mtu kama mimi adhabu kuu unayo weza kunipa ni kuniacha ila usilete drama hatutoishia pazuri
Thubutu ,labda sio mimiMshauri mzuri siku zote ndiye mwenye matatizo/maumivu makubwa .
Hahahah Mkuu wangu umesoma mpaka mwisho.UPUUZI MTUPU! Mkeo unachapiwa halafu ukae kimya! Jamaa anayekuchapia unamjua eti ujikunyate usimconfront? Mwanaume wa wapi wewe, VENUS? Acha mchapiwe na kubambikiwa watoto.
[emoji15][emoji15][emoji15]
Watu wanapenda kujipa tabu saana kuna tabu zingine unaziacha vizuri tuu.Hebu shangaa na wewe[emoji848]
Si muache tu ukaanze kwingine
Kweli hatutaishia pazuri maana saa kumi na moja wavuvi lazima wataokota sandarusi ufukweni mapeeeeema sana na ubongo nimeumwaga chini , ukaliwe na mtu halafu unichezee lazima uondoke kwangu au upate pumziko la milele kwa amaniSi umeona na mimi huwa nataka mwanaume ambae yupo straight sipendi drama drama kuna mambo mengi ya kufanya mahusiano ni part tu ya maisha
Ukinifuma na nikaomba msamaha usiweze kunisamehe nifukuze
Sio sijui unahama chumba,sijui huli chakula etc ni utoto na ujinga kwangu
Na incase huniachi ukanipa mateso ya kisaikolojia kitakacho kupata mbeleni tusilaumiane.
Wanaume nyie ni weak kuliko sisi ndio maana hamuwezi kuvumilia mkijua tumechepuka tofauti na sisi.Mtu kama mimi adhabu kuu unayo weza kunipa ni kuniacha ila usilete drama hatutoishia pazuri
Kweli hatutaishia pazuri maana saa kumi na moja wavuvi lazima wataokota sandarusi ufukweni mapeeeeema sana na ubongo nimeumwaga chini , ukaliwe na mtu halafu unichezee lazima uondoke kwangu au upate pumziko la milele kwa amani
Umemaliza kila kitu mzeeKwa sisi tunaopenda maisha yetu, aaahhhh Unaacha, unajipa muda, unavuta Kifaa kingine pasipo kujali ulitoa mahari kiasi gani