Usifanye hili kosa unaposalitiwa na Mkeo/Mwanamke wako

Mimi mtu akichepuka ni kesho yuko kwao na nampeleka mwenyewe hadi kwao na kuwapa sababu za kumrudisha mwanao baada ya hapo sipokei simu ya mtu yeyote kutoka kwa huyo mwanamke sina mda wa kukaa nae sijui nichelewe kuja, nipeleke nguo kwa dobi
Kua uyaone ..... nadhani umri wako bado mdogo haujaoa na hauna familia. Omba Mungu mambo kama hayo yasikutokee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo mwishoni umesaka vita sasa
 
Wanaume wa humu JF wako so insecure Yani hawapendi mwanamke anayejiamini, mwenye furaha zake na misimamo yake, akiandika tu humu wanaanza kushambulia kwa matusi Mara single mother na blah zisizo kuwa na kichwa Wala miguu.
Na siku wanawake tukitambua kuwa jukumu la kujipa furaha ni la kwake wanawake na sio wanaume wanawake tutapiga hatua.
Na wanaume hufurahia jinsi wanawake wakiteseka na kujiliza Liza kisa mwanaume, sasa wewe mwanamke ukiwa na furaha yako hamna mwanaume wa kukutesa, ila atajitesa mwenyewe loh
 
Ndo maana nina furaha coz furaha haitokani na mwanamke


Si eti ndugu zangu
 
Maisha ya ndoa sio rahisi kama mnavotoa maamuzi yenu humu jamvini, kueni myaone!
 
Duu mzee Kuna level Fulani umevuka... Hongera. Je bado unakula mzigo?? Huogopi anaweza kukudhuru kwa namna yoyote??
 
Lazima kuwe na matamanio kutoka kwa kila mmoja wenu nnapoingia kwenye ndoa.

Mnaamua kuwekana mbele kwa kila kitu. She/He comes first... Ilamunapoanza miaka mitano mpaka kumi ni matazamio probation period..

Mtu kwanza ajipende yeye.. kama hajipendi akijifanya anakuoenda sana anakuigizia.. mkipata watoto angalia handling ya watoto... Jinsi anavyo deal na wanawe (flesh and blood) ndivyo atadeal na ww uzeeni utakapokuwa unamuhitaji

Baada ya hapo.. ujanani mapitio tu ..fainali uzeeni.. kosa leo ujute kesho..
 
Huyo ni nunda, kufikiri atajutia kosa ni sawa na kusubiri embe idondoke kutoka kwenye mnazi! Ni aina ya mabinti jeuri ni ksma kunguru wa zenji😂!
 
Tabia za kutoka nazo kwa mama hizi
 
Huyo ni nunda, kufikiri atajutia kosa ni sawa na kusubiri embe idondoke kutoka kwenye mnazi! Ni aina ya mabinti jeuri ni ksma kunguru wa zenji😂!
Hawa ndio wale baba zao wamefanywa mazezeta na mama zao, yani mwenye sauti ni mama baba kafunikwa kwenye chungu
 
Uzi Bora kwa Miezi mitatu iliyopita!
 
Kuna mambo yanasikitisha sana...

Samehe saba mara sabini...
Sababu binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
@Maya Angelou unanipa burudani sana. Unajijua vyema.. na uzuri upungufu wako umeung'amua pia. Kudos.

Sema go getter as you call yourselfs ni aina ngumu sana kwenda nayo.. often other people's wellbeing/emotions/feelings don't count to you! Ambayo inakuwa ni entitlement.

Unakuwa mtu unayekubali kosa, ila haukubali consequences... Au ukizikubali unazitaka ziwe administered kwa namna inayofaa au unayotaka wewe.. 🙂 that's bold.

Ndoa furaha na amani yako iko kwa mwenzi wako.. unaanzaje kulala au kula kwa furaha wakati mwenzako hayuko na raha wala furaha!?

Nadharia ya mwili mmoja ina maana sana.. huwezi ukawa na raha wakati mkono umevunjika .. ukasema kwakuwa mdomo haujavunjika wacha nile raha.. au ukae useme huu mkono lazima upone sasa hivi la sivyo ukatwe..kama tiba inachukua muda mrefu.. 🙂 unanipata lakini!? 🙂

Anyways kudos nakutakia burdani jioni ya leo..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…