Mkuu hapa duniani hakuna kitu kama "kuukubali ukweli" kama usemavyo. Kama ndivyo basi commit tu suicide huna maana wala sababu ya kuishi. Unless uko mahututi kitandani hujiwezi!Expert wangu,hapo ushapambana sana tayar,kwahiyo mwisho wa siku unachagua kuukubali ukweli na hiyo ndio tiba halisi
🤣🤣🤣 huwa napenda sana huu msemo wako,upo hewani hapo nikurushie msimbazi😂😂Inasikitisha sana
Sema katika siku njema kwa kiumbe yeyote ni ile sekunde ya mwisho ya uhai wake... Usingizi wa moja kwa moja milele kama kabla hatujawepoHata Shing Yui wa jf hatakuwa online😂😂
Mbaya zaidi tukifa hatuzikwi na Hivyo vitu,hata demu wako anapata Dume lingine!View attachment 3377475
Jana nikiwa katika mishe mishe ndani ya Daslamu,kwanza nilipita sehemu nikaona watu bwana wana makazi mazuri sana,yani unapata hamu hata ya kuwahi kurudi home,nyumba kali,garden kali na swimming pool ya kiushikaji.
Jamani kuna watu wanaishi kwenye makazi mazuri na kuna sisi tumejaaliwa kujistiri tupate pakulala na kujihifadhi
Nikiwa njiani ndani ya jiji la Daslamu,nakutana na ndinga kali barabarani,jamani kuna watu wana drive ndinga na wengine tuna usafiri wa kutoka point moja kwenda nyingine
Unajua nini expert wangu? Iko hivi mwisho wa siku tutakufa,kwahiyo take it ize,yani usiwaze kivile,hatupo duniani milele kwamba ukose raha mbona mimi sipo kama wale au similiki mali kama wale
Kifo kiwe liwazo kwako kwamba hayo yote hayatadumu milele,kwahiyo haina haja ya kukosa raha na furaha,mwisho wa siku hapa duniani tunapita tu
Umekosa makazi ya ndoto yako,just chill usikonde
Umekosa ndinga ya ndoto yako,just chill usikonde
Umemkosa umpendaye kwa dhati,just chill usikonde,coz ipo siku ungekufa wewe au yeye
Kwa kila jambo ambalo limekuwa hamu yako kubwa tambua kwamba one day,huu ulimwengu utaisha na maisha halisi yataanza huko akhera,kikubwa tengeneza mazingira ili upate neema za huko akhera
Ni hayo tu!
Expert wangu ni kweli una point ya msingi,na nakuelewa sana,je hao wote ambao wanahangaika na maisha unadhani hawapendi kutoboa?Mkuu hapa duniani hakuna kitu kama "kuukubali ukweli" kama usemavyo. Kama ndivyo basi commit tu suicide huna maana wala sababu ya kuishi. Unless uko mahututi kitandani hujiwezi!
Tuache ubinafsi. Tupambane kwa niaba ya wategemezi wetu, tuwaache wakiwa heri kuliko sisi.
Tuendako hatukujui, kama tusivyojua tulikotoka. One God.
Kweli kabisa,na anakusahau kabisa kama uliwahi kuwepoMbaya zaidi tukifa hatuzikwi na Hivyo vitu,hata demu wako anapata Dume lingine!
Anamsifia jamaa,unaniliwaza hadi nimesahau kama nimefiwa!Kweli kabisa,na anakusahau kabisa kama uliwahi kuwepo
Tena bora si aseme hivyo,huwa wanasema marehemu kanichelewasha sana kupata raha za dunia,alikuwa ananifubaza tu😂😂Anamsifia jamaa,unaniliwaza hadi nimesahau kama nimefiwa!
Dunia Ina mambo!Tena bora si aseme hivyo,huwa wanasema marehemu kanichelewasha sana kupata raha za dunia,alikuwa ananifubaza tu😂😂
Faza kwwma...Kweli expert wangu tushukuru kwa kila jambo,ndio majaliwa yetu
Jamaa nakutafuta tuzichape live liveHakika Ila keep showing up haipendezi at the age of 40 uwe Una rent one room na watoto you have to fight and be shameless
Siungi mkono haya mawazo yako, kwani yanaakisi mtazamo wa kukata tamaa, kukosa ubunifu na kutotaka kubadilika au kutafuta njia mbadala za mafanikio. Ukiendelea na aina hii ya fikra, utaishia kuwa mtazamaji tu katika safari ya maisha. Wapo wanabodi wengi humu ndani wanaoelewa vyema hoja nayogongelea msumari hapaExpert wangu ni kweli una point ya msingi,na nakuelewa sana,je hao wote ambao wanahangaika na maisha unadhani hawapendi kutoboa?
Wanapenda sana lkn inafika kipindi yani kama gari umekanyaga mafuta mpaka mwisho na hakuna spidi inayoongezeka
Kwahiyo huo ndio ukweli ukifika stage kubali tu ukweli na utakuwa na amani moyoni
Mlengo yangu kwa sasa ni kumfanya huyu mama mwenye nyumba awe mshangazi wangu..Hii ndio kanuni yangu ya maisha, kutojipa stress za kijinga , huwa nikijisikia kulewa nalewa , nikijisikia kwenda club ku dance na watoto wazuri nafanya hivyo .
Ila kitu ambacho sipaswi kukisahau ni kuwa mimi ni nani na malengo yangu yanapaswa kutimia .
Mi nipo hapa mpaka 2070Ni ajabu kweli, eti kuna siku nitakua sipo kabisa mahali popote 😄
Kweli expert wangu,unless uwe umejaaliwa utajir wa moyo na moyo wa kushukuru kwa kubwa au dogoMaisha ni fumbo sana. Kadiri unavyozidi kupambana ndipo unapozidi kupata stress. Hakuna level utafika utasema hapa sawa. Never
Mungu akipanga kupitia kwako yatapitia...Ni kweli ndinga kali, majumba makali yanapita ila hakikisha yanapitia na kwako pia.
Unataka kitonga usilipe kodi😂😂Mlengo yangu kwa sasa ni kumfanya huyu mama mwenye nyumba awe mshangazi wangu..
Na nishaanza kufanikiwa alhamdullilah maana namchatishaga usiku na fresh tuu. Kwa sasa ananiita mwanangu mtundu sijui why
Cheza na malengo yako , huwenda ukawa baba mwenye nyumba bila kujua bei ya misumari na bati , yote ni maisha tu bwasheeMlengo yangu kwa sasa ni kumfanya huyu mama mwenye nyumba awe mshangazi wangu..
Na nishaanza kufanikiwa alhamdullilah maana namchatishaga usiku na fresh tuu. Kwa sasa ananiita mwanangu mtundu sijui why
Mi nimezaliwa kwa ajili ya kutafutia wengine au...?A mindset of a poor man pleasing his heart and colleague's. Pambana weka pembeni excuses. Don't be selfish you're not born for yourself, you're born for others and for thriving generations