Sina salio unahisi hatuna watu tuliozoeana nao?Lets assume mtu mmezoeana kiasi but u dont have any clue about him/her afu mpo sehem, wakati umeishikilia smu yako gafla anakwambia,,
"eb sim yako mara moja kuna mtu nataka nmchek mi sna salio"
Unamjibuje kwa mfano
mbona umetoa siri yake nzto sanaπππππππΎππΎalsema yeye ana 32Mi nampa tu onyo jamaa angu mana hata miaka30 hajafikisha sasa staki aangamieπππππ
Duh hatari,, hawaangalii hata wa kumuibia,, wao yyte yule wanampuna!!Usiwape simu simpre.
Niliibiwa simu 6 miaka 2 tu.
Kilichoshangaza kuna siku nimekaa wakaja waswahili wawili.tukapiga vyombo wakaniibia nilipoenda chooni.
Mi niliondoka nafika maskani simu haipo,walet haipo nikawauliza wakadai we ulitimua tu ulivyotoka chooni.
Mi nilikumbuka niliacha kila kitu mezani.
Nimerudi nikaondoka tu.
Anyway ni jambo dogo sana,ila tulilinikwaza hawa watu nawajua inakuaje waniibie.
Kulikua na euro kwenye warlet za kutosha zikafutwa.
Simu connection Kwaheri.
Nilisamehe tu yakaisha
Copper acha uwongo wewe unataka kuharibu au unataka niache process hapaNyi endeleeniπππππ
Wewe kumbe una genitic za kusumbua pia πππmbona umetoa siri yake nzto sanaπππππππΎππΎalsema yeye ana 32
ππππ Sawa sasa jichanganye mii 30 siendi kizembe dadek πππata hum ndo mara ya kwanza namuonaπ€£π€£π€£π€£
Just short loud and clear na hutakiwi kuuliza kwani ulikuwa na shida gani? Ukishasema huna salio unaendelea na mishe zako km humuoniLets me learn to say "sina salio" it may save my ass in future
ππππubabe ubabe tuππππ Sawa sasa jichanganye mii 30 siendi kizembe dadek πππ
Nimelia sanaπIko hivii;
Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details zozote juu yake).
Ahahahahah alafu leo nakwambia kitu...ππππubabe ubabe tu
Roho nzuri zina gharama kubwa bora kuwa roho mbaya tu hata hizi lift hasa za mida ya usiku sio nzuri kuwa na tahadhari muhimu sana kwa maisha ya sasaSawa nimejifunza, "I wont wait to learn it the hard way"
Hapana hiyo ni ngumu aiseeeUamuzi ni wako ila ukikutana na hakimu wa kike huwa wanapiga miaka 30+
ππππ
Tafta uzi mwingine tukakichafue na uko bwan umu inatosha πππAhahahahah alafu leo nakwambia kitu...
Mi mnyamwezi an show show ππππ
Refer Adam and EveHii nayo kali mzee, humuamini mtu unaelala nae mkiwa naked?