Usisomeshe mtoto shule za gharama kwa matarajio kwamba atapata ajira, utaishia kuumia tu

Shule za private ni mbwembwe tu hakuna lolote
Si useme tu hela huna au Kama unazo Ni ile mizazi irresponsible kutwa Chapombe ukiliuliza mbona husomesha mwanao shule nzuri linajibu ohh Mimi mbona nilisoma shule hizo hizo Tena nikitembea kilomita 20 kwenda shule na nikifaulu Leo Niko hapa nilipo na nyie someni hizo hizo linarudi kwenye pombe kuendelea kunywa.Linaona limetoa bonge ya pointi Kumbe bwege tu
 
Maisha yanategemea vitu vingi sana ila kikubwa sana kinachoweza kukusababishia kutoboa kimaisha ni 'connection'. Ukimpeleka mwanao kajamba nani na hali una uwezo wa kuweza kumudu shule ambazo anaweza kutengeneza marafiki wa aina flani ambao kwake watakua asset basi utakua umempatia elimi ila amekosa watu wa kueleweka.

Kama una hela peleka mtoto shule anazoweza kutengeneza njia zake za baadae kupitia watu aliokutana nao shuleni ukiacha mbali kupata elimu. Sio cicle ya watu wake hana hata mtu mmoja wa kumpigia simu anapotaka kupush jambo lake.
 
Sema mfuko wako,ndipo ulipoishia! Huwezi acha mpeleka mwanao shule ya maana na pesa ipo!
ishu sio mfuko wa fedha kuwa chache au nyingi, ni fasheni tu kusomesha mtoto shule ghali wakati shule zingine zipo na zina usimamizi wa kuendesha mitaala ya elimu ya taifa. Haya mambo ya ulimbukeni wa matumizi ya fedha ni fasheni tu wala hakuna ubora wa elimu huko kushinda shule za kawaida kwani zote ziko kwenye sera moja ya elimu ya taifa
 
Maisha yanategemea vitu vingi sana ila kikubwa sana kinachoweza kukusababishia kutoboa kimaisha ni 'connection'. Ukimpeleka mwanao kajamba nani na hali una uwezo wa kuweza kumudu shule ambazo anaweza kutengeneza marafiki wa aina flani ambao kwake watakua asset basi utakua umempatia elimi ila amekosa watu wa kueleweka.
Mkuu huko kote tumepitia sisi ambao tumesoma hizo shule.

Nimesoma na watoto wa majaji, ma rpc, wakurugenzi wa taasisi, n.k.

Nawajua lamba lamba waliokuwa wana phd za kujikomba kwa hawa watu lakini leo hii maisha yao ni magumu licha ya kuwa na vyeti mpaka chuo.

Kwanza hata hao wazazi usifikiri ni rahisi rahisi tu kwamba anamogia connection rafiki wa mtoto wake, wazazi wengi wana miaka 50+ huko wameishi na wana experience za maisha, Mzazi atampambania mtoto wake sio rafiki yake ambae wakitumia jicho la tatu wanaona kabisa huyu anataka kumtumia mtoto wetu.

Pia mkimaliza hizo shule kila mtu anaenda na njia yake, wachache sana wana stick.

Ukisema umpeleke mtoto wako shule hizo kwa kusema kwamba alambe lambe watoto wa matajiri watampumulia kisogoni aisee, Hawa watoto wa vigogo baadhi nawajua ni wanyanyasaji sana, kuna mmoja alikuwa ana simu nzuri enzi hizo, kuna jamaa alikuwa anajikomba komba ili awe anapewa hio simu, aligeuka kuwa mtumwa kuanzia kumfulia nguo, kumnyoshea nguo, n.k
 
Maisha yanategemea vitu vingi sana ila kikubwa sana kinachoweza kukusababishia kutoboa kimaisha ni 'connection'. Ukimpeleka mwanao kajamba nani na hali una uwezo wa kuweza kumudu shule ambazo anaweza kutengeneza marafiki wa aina flani ambao kwake watakua asset basi utakua umempatia elimi ila amekosa watu wa kueleweka.

Kama una hela peleka mtoto shule anazoweza kutengeneza njia zake za baadae kupitia watu aliokutana nao shuleni ukiacha mbali kupata elimu. Sio cicle ya watu wake hana hata mtu mmoja wa kumpigia simu anapotaka kupush jambo lake.
Uko sahihi

Ni kazi ya mzazi kumtengenezea circle ya marafiki wa aina ipi na status ipi kwa ajili ya future yake.

Ukitaka marafiki zake wawe wabeba vidumu na mifagio shule sio kesi atawapata.

Kubomoa vicious circle ya umaskini na circle duni na connection mbovu mojawapo ya strategy Ni kumpeleka mtoto shule nzuri

Otherwise ku break hiyo circle mbovu ngumu kizazi na kizazi kitabaki kwenye uduni Kama wa mleta mada.Kuwa nilisoma shule ya kidumu na mfagio nataka na mwanangu na mjukuu na kitukuu wasome hizohizo

Actually ukienda mitaani nenda familia Maskini kabisa Wenye watoto kwenye hizo shule waulize vipi ukipata mfadhili waweza kubali mwanao akasome shule za Bei mbaya atakuambia hata Sasa hivi mchukue mtoto nenda naye
 
Mimi ningekua na hela angesoma INTERNATIONAL SCHOOLS kabisa kama kina Feza, Braeburn n.k sio tu english medium hizi.
Feza ya milioni sita inayotumia mtaala wa necta unaanzaje kuilinganisha na Braeburn ya milioni 50 inayotumia mtaala wa cambridge??
 
Kama kuna shule zenye rasilimali watu mbovu ni hizo, shule gani zinaokoteza walimu wasiosomea ualimu? Kila mara ni kutimua na kuleta wapya, zingine zinaleta ndugu zao. Mishahara haileweki inalipwa kwa scale ipi standard kimfumo, taratibu za ajira na sheria za kazi hazifuatwi, ni uhuni mtupu na ujanjaunja tu. Hizi shule ziko kibiashara zaidi.
 
Mkuu huko kote tumepitia sisi ambao tumesoma hizo shule.

Nimesoma na watoto wa majaji, ma rpc, wakurugenzi wa taasisi, n.k.

Nawajua lamba lamba waliokuwa wana phd za kujikomba kwa hawa watu lakini leo hii maisha yao ni magumu licha ya kuwa na vyeti mpaka chuo.

Kwanza hata hao wazazi usifikiri ni rahisi rahisi tu kwamba anamogia connection rafiki wa mtoto wake, wazazi wengi wana miaka 50+ huko wameishi na wana experience za maisha, Mzazi atampambania mtoto wake sio rafiki yake ambae wakitumia jicho la tatu wanaona kabisa huyu anataka kumtumia mtoto wetu.

Pia mkimaliza hizo shule kila mtu anaenda na njia yake, wachache sana wana stick.

Ukisema umpeleke mtoto wako shule hizo kwa kusema kwamba alambe lambe watoto wa matajiri watampumulia kisogoni aisee, Hawa watoto wa vigogo baadhi nawajua ni wanyanyasaji sana, kuna mmoja alikuwa ana simu nzuri enzi hizo, kuna jamaa alikuwa anajikomba komba ili awe anapewa hio simu, aligeuka kuwa mtumwa kuanzia kumfulia nguo, kumnyoshea nguo, n.k
Wewe unadhani msaada hela tu. Msaada hata mawazo. We nenda kamsomeshe mwanao na vijana wengine ambao wazazi wao hawaoni umuhimu wa elimu na maisha yao yapo yapo ili mradi uone. Kwanza utakua unatumia nguvu nyingi kumuweka mwanao sawa aelewe umuhimu wa elimu na kuwaza mawazo mengine mbadala sababu watu wanaomzunguka shuleni na ndio anaita marafiki hawaoni umuhimu wa shule na hawana mawazo mbadala maana wanaona mbona baba angu sio fulani wala mama angu sio fulani na maisha yanaenda.

Wewe kama ulisoma hizo shule na hao rafiki zako kwako sio asset hata ya kimawazo basi ungesoma kayumba kama kina siye ndio ungepotea kabisa. Washukuru wazazi wako kwa kutafuta hela na kukupeleka hizo shule walau zimekusaidia leo hii mpaka unaziona hazina maana na kusomesha huko ni kutaka tu kujitapa mtaania au mtoto ajue kiingereza.
 
Feza ya milioni sita inayotumia mtaala wa necta unaanzaje kuilinganisha na Braeburn ya milioni 50 inayotumia mtaala wa cambridge??
We jamaa bana [emoji23][emoji23] ungesoma kidumu na mfagio sijui ungekuaje yaani.
 
Wewe unadhani msaada hela tu. Msaada hata mawazo. We nenda kamsomeshe mwanao na vijana wengine ambao wazazi wao hawaoni umuhimu wa elimu na maisha yao yapo yapo ili mradi uone
Mkuu, shule anayosoma mtoto wangu ni english medium!! past tenses za kiingereza anazijua, ukimpa mtihani wa kingereza anakujibu kwa kiingereza, ukimuuliza what is air atakufafanulia kwa kiingereza,

Hapo ukimleta wa st mary's na huyu kama wangu anaesomea hizo shule kuna utofauti upi kielimu????
 
Kama katika reply zangu hujaelewa hata moja kazi unayo. Kama umeelewa tu ila unarefusha michango basi mimi nikutakie mchana mwema.
 
We jamaa bana [emoji23][emoji23] ungesoma kidumu na mfagio sijui ungekuaje yaani.
Ningepata wakati mgumu sana nabyoingia sekondari na chuo kwasababu kiingereza kingenpiga chenga.

Sikuhizi shule kibao tu wanafundisha kwa kiingereza kwa gharama nafuu,
 
Wewe umejikita kwenye point ya Kiingereza tu.
 
Mkuu huko kote tumepitia sisi ambao tumesoma hizo shule.

Nimesoma na watoto wa majaji, ma rpc, wakurugenzi wa taasisi, n.k.

Nawajua lamba lamba waliokuwa wana phd za kujikomba kwa hawa watu lakini leo hii maisha yao ni magumu licha ya kuwa na vyeti mpaka chuo.

Kwanza hata hao wazazi usifikiri ni rahisi rahisi tu kwamba anamogia connection rafiki wa mtoto wake, wazazi wengi wana miaka 50+ huko wameishi na wana experience za maisha, Mzazi atampambania mtoto wake sio rafiki yake ambae wakitumia jicho la tatu wanaona kabisa huyu anataka kumtumia mtoto wetu.

Pia mkimaliza hizo shule kila mtu anaenda na njia yake, wachache sana wana stick.

Ukisema umpeleke mtoto wako shule hizo kwa kusema kwamba alambe lambe watoto wa matajiri watampumulia kisogoni aisee, Hawa watoto wa vigogo baadhi nawajua ni wanyanyasaji sana, kuna mmoja alikuwa ana simu nzuri enzi hizo, kuna jamaa alikuwa anajikomba komba ili awe anapewa hio simu, aligeuka kuwa mtumwa kuanzia kumfulia nguo, kumnyoshea nguo, n.k
Nilichogundua kwako ni kuwa hukusoma shule zenye watoto wengi wa wakubwa unabwabwaja tu .Eti wakimaliza kila mmoja anapotea zake hawajuani Tena!! Mmmmm Wana group zao Hadi ya watsapp ya shule,Wana emails wana share contracts na Hadi Zina almni associations za Waliosoma hapo

halafu eti Kuna mwanafunzi alikuwa na simu enzi hizo mmoja shuleni hiyo shule ilikuwa ya makapuku malofa wakubwa ndio maana nasema ulisoma shule za kimaskini .Shule za pesa ukise a wanafunzi waje shule na simu utakutana na simu iPhone tupu za mahela mengi kila mtoto anayo

hiyo shule yako uliyosoma Ni hopeless ya malofa ndio maana my mmoja kuwa na simu nzuri ilikuwa Kama ndie mumiliki dunia alikosea na yeye kusoma shule ya malofa wengi wewe ukiwemo akiwa tajiri pekee shuleni.Ndio masba shule nzima mkawa mnaishangaa simu yake

ulichoandika kinajieleza kuwa ulisoma shule ya Maskini ambapo kulikuwa na Tajiri mmoja mwenye simu nzuri pole!!! Hatuongelei shule Kama uliyosoma wewe
 
Shule nzr ni ipi? Ungekuwa unajuwa nyuma ya pazia ya hayo unayosema shule nzr ungemtoa mtoto wako haraka huko.

Wazazi wengi hukimbilia shule wanazosema nzr sababu ya kingereza na ufaulu mzr .

Lakini je wanapasi kwa akili zao au bao la mkono?
Ukitaka kujuwa mtoto ni bright somesha shule za kawaida.
Kule mtoto faulu kwa akili zake,,kule kwningine 90% bao la mkono ..
Mtoto anaongea English lakini kichwani ni zero.
Ndy elimu bora hyo?

Kuna doubt kubwa sn kwenye ufaulu wao.
Siyo kweli kwa herufi kubwa.
 
Mkuu, shule anayosoma mtoto wangu ni english medium!! past tenses za kiingereza anazijua, ukimpa mtihani wa kingereza anakujibu kwa kiingereza, ukimuuliza what is air atakufafanulia kwa kiingereza,

Hapo ukimleta wa st mary's na huyu kama wangu anaesomea hizo shule kuna utofauti upi kielimu????
Huyo mwanao mbali na kiingereza marafiki zake wanafanana na alionao mtoto wa St.Marys? Kwa hadhi?:Awe na birthday tu mwanao kamwambie awaalike rafiki zake wanaosoma wote na wa St Mary's awe na birthday yake aalike tu rafiki zake uone tofauti hapo tu.Mwanao waweza hudhuria Hadi wale waiba nyama ya pilau na kuweka mifukoni sababu hawajala siku nyingi na uchunge Hadi ndala baada ya sherehe waweza usizione.

Wa St Mary's kwanza watoto wataletwa na magari lazima utafute park ya magari itakuwa wapi.Wanakuja watoto substance Wenye hadhi zao sio kiingereza tu mdomoni inatinga timu yenye hadhi kwenye jamii sio Vibaka watoto wa mtaani
 
Nilichogundua kwako ni kuwa hukusoma shule zenye watoto wengi wa wakubwa unabwabwaja tu .Eti wakimaliza kila mmoja anapotea zake hawajuani Tena!! Mmmmm Wana group zao Hadi ya watsapp ya shule,Wana emails wana share contracts na Hadi Zina almni associations za Waliosoma hapo

halafu eti Kuna mwanafunzi alikuwa na simu enzi hizo mmoja shuleni hiyo shule ilikuwa ya makapuku malofa wakubwa ndio maana nasema ulisoma shule za kimaskini .Shule za pesa ukise a wanafunzi waje shule na simu utakutana na simu iPhone tupu za mahela mengi kila mtoto anayo

hiyo shule yako uliyosoma Ni hopeless ya malofa ndio maana my mmoja kuwa na simu nzuri ilikuwa Kama ndie mumiliki dunia alikosea na yeye kusoma shule ya malofa wengi wewe ukiwemo akiwa tajiri pekee shuleni.Ndio masba shule nzima mkawa mnaishangaa simu yake

ulichoandika kinajieleza kuwa ulisoma shule ya Maskini ambapo kulikuwa na Tajiri mmoja mwenye simu nzuri pole!!! Hatuongelei shule Kama uliyosoma wewe
Hizo ni story tu huwa mnazisikiaga tu, eti wanashare contracts 😂😂 kwa hio wote watasomea uinjinia, off course kuna magroup ya whatsapp hayo yapo sana sana kwa kuchangiana misiba mkuu mara nyingi yapo kimya, marafiki huwa wanajtengenezea vi group vyao wenyewe sio ya shule.

Halafu elewa kusoma kiswahili mkuu, ninesema kuna moja, sijasema alikuwepo moja tu, wenye simu walikuwa wengi tu ila kuna baadhi kama huyo walikuwa wanyanyasaji, watu walikuwa wanaingiza laptops enzi hizo kuwa na laptop si mchezo.

Tatizo hujasoma na watoto wa kishua huwa mnasikiaga tu stori zao vijiweni.

Ila hakuna kesi mkuu, mpeleke mtoto wako huko umwambie awe anajikomba kwa watoto wa vigogo, ujiandae kumnunulia pampaz
 
Siyo kweli kwa herufi kubwa.

Naungana na wewe Mia kwa mia

Achana naye kavurugika na misimamo yake ya ajabu isiyo na tija kwa wanawe .Shauri yake mitoto itakuja mtwanga mingumi au kuuza nyumba akiwa hai ndani kufidia ujinga aliowagomea kuwasomesha shule nzuri wakati pesa anazo

Watoto hukua na kufikia kiwango kile Cha self realization anagundua kuwa mzazi ndie chanzo Cha yeye kuwa duni kwa kutomsomesha shule nzuri wakati pesa ilikuwepo.

Mtoto akifikia hapo atamfanyia mzazi kitu kibaya mno.Moja ya kuondoa lawama mbeleni mzazi Kama hela ipo peleka mtoto shule nzuri.Labda mtoto mwenyewe akatae shule.Lakini hela Kama zipo ondoa lawama za mbeleni somesha shule nzuri
 
Back
Top Bottom