Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Kwa mujibu wa dini zote kuzaa watoto nje ya ndoa ni haramu!! Wenzetu waislamu wamepiga hatua kubwa wanaweza kuzaa watoto na wanawake wengi na wakawa ndani ya ndoa kwa sababu wanaruhusiwa kuoa wanawake zaidi ya mmoja! Sisi wengine ukikosea tu Ukaoa mchawi au mwenye vimelea vya uchawi ndio huyo huyo ati mpaka kufa!!
Na ukioa mwanamke mwenye vimelea vya wizi yaani kwao ni majambazi huwezi kuoa mwanamke mwingine ni huyo huyo! Watoto wote utakaozaa inawezekana wakabeba tabia za mama yao yakawa majambazi yote ! Au mataita, au masela kama Wanavyojiita wenyewe! Ukiona mgomvi na zero brain ,utazaa mitoto zero brain hivyo hivyo! Hata ukilipeleka boarding halielewi kitu ! Yaani anafika darasa la Saba hajui kusoma Wala kuandika : ila hata ukimuangalia usoni unaona hili jamaa nikama jambazi jambazi hivi yaani ana viashiria hivyo !?
Dini inabidi itusamehee rafiki yangu amezaa watoto sita' Mmoja kazaa na mpare ni mrembo hatari sana, wapili kazaa na mnyakyusa, watatu kazaa na Mhaya anapenda kusoma kwa sasa yupo form six' wanne kazaa na mfipa yupo yupo tu ila anapiga kazi sana na anaheshima hachagui kazi, watano kazaa na mkinga ana duka pale Buguruni anauza vifaa vya umeme wawili wa mwisho kazaa na mgogo ni kama siwaelewi elewi wapo wapo tu pale nyumbani kwao muda wote ni kupiga makelele na kulaumu watu !!
Nimejifunza kitu zaa watoto Kwa faida Yako sio Kwa faida ya dini utanishukuru baadae!!