Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke


Kama haupo KWENYE ile list usubiri Hadi utawala itakapo badilika!!!

TUSUBIRI!
Hapo ndo penye shd, kwenda na watu hao Kwa miaka 3 na nusu bila mabadiliko ni haiwezekani.

Ndomana watu wanatoa possibilities, wenye Nchi wanafuatilia sana yanayoendelea nchini naamini hawatotuangusha.

Ila me naamini Hawa wanne KASHFA zitawaondoa.
 
Ila huyu mama anajitahidi sana wakuu na nia yake ni njema. Amezungukwa na nguvu kubwa sana ya ubepari ambayo imemzidi. Ni hatari kwa maisha yake,ni hatari kwa maslahi yake na wapendwa wake kama ilivyo tu kwa viongozi wengine wa bara hili. Huyu naye ni binadamu mwenye damu na nyama kwa hiyo mambo mengine yako nje ya uwezo wake. Niwaambie tena,mama anapambana sana kwa ajili yetu na sehemu ya mapungufu tunayoona mengine ni makubwa kwake na yako nje ya uwezo wake

Tumuombee sana mama yetu na tumtie sana moyo!
 
Kwenye JF kwa watu wanaotumia fake ID wote wana umri sawa, unless mtu yuko verified kama Pascal Mayalla. Unaniita "dogo" nikiweka jina langu halisi unaweza kujilaumu
Dogo mwisho wa samia ni 2023.

Si unakumbuka hata chama kilimpa uenyekiti wa miaka miwili tu?

Huyo bibi hatoboi. Kuna wahuni watamtawanya kibabe na kumtia benchi — Yaani anatulizwa kisayansi anatulia tulii.

Sijui utakuwa chawa wa nani kuanzia hapo? Utamrukia tena mtu mwingine kumdalalia?

Nyie watoto mna shida kweli. Udalali haulipi, fanya kazi.

Siasa zina manguli wake, na wewe sio mmoja wao.
 
2025? Tutavuka daraja tukilifikia. Kwa sasa mama ndiye raisi na mwenyekiti wa chama.
 
Chama kilimpa uenyekiti miaka 2?

Unamaanisha muda wa matazamio?

Ngoja nijiridhishe.
 
Ahsante kwa maoni yako, akisha staafu 2025 karibu tena kutoa maoni baada ya CAG kufanya yake.
 
Tupambanie KATIBA mpya. Itaondoa ombwe Hilo.

Mamlaka ya Rais yakipungua ataongoza vizuri bila kukosa usingizi.Amen
 
Duh, Kwa hesabu za probability, function, logarithm.....nk.

Kama Kuna k2 nakiona. Tusubiri.
Ina MAANA Kinana ndiyo Mwenyekiti wa CHAMA sio!!!?
Nakumbuka hotuba yake Baada kuteuliwa m.kiti alisema CHAMA NDIO KINAIELEKEZA SERIKALI NA SIO SERIKALI INAELEKEZA CHAMA!!

TUSUBIRI
KWELI mjoli Anaweza penya KWA kura za kanda ya ziwa ndani ya CHAMA!!!
Ngoja TUONE!
 
Tatizo Si MWANAMKE, tuangalie capacity.

Hoja haipigwi Rungu

Mchukue Anne Makinda, Halima Mdee,Prof Ndalichako au Asha Rose Migiro, mchukue na aliepo, wachanganye pamoja.

Afu walete Kwa wananchi wachaguliwe Kwa kura kama itabaki ilivyo. Amen
Kwa akili yako unaona Prof Ndalichako ana uwezo wa kuwa Rais mzuri kumzidi Samia? Au PhD ya Asha Rose Migiro inakufanya umuone ni Bora kuliko Samia? Uongozi ni karama na karama unazaliwa mayo. Kuongoza Taifa la watu 60 Million wenye makabila zaidi ya 120, dini za kisasa na za asili, wakristu na waislamu, itikadi za vyama tofauti siyo sawa na kuwa Lecturer wa UDSM.


Tumeona maprofesa kama Kabudi au Muhongo namna walivyoharibu kwa kazi za Uwaziri tu licha ya kuwa na mavyeti yote. Tumeona Magufuli mwenyewe licha ya kuwa na PhD ya ku copy naye alikosa karama ya uongozi, ndiyo maana ukimpinga alikuwa havumiliii, anatuma watu wake wanakuteka, wanakutesa na ikibidi wankuua. Angalia alivyowafanya akina MoDewji, Lissu, Ben Saanane na viongozi wa CDM.

Rais Samia ameituliza nchi, tumekuwa tukiishi kwa amani tofauti na yule SHETANI ambaye yeye mwenyewe alikuwa na vikosi vya kuteka, kutesa na kuua vikiendeshwa na akina Makonda na Sabaya.

Baadhi ya mambo mema aliyotutendea Samia ni kama:
- Watoto waliopata mimba wanarudi shule kusoma
-Madarasa zaidi ya 10,000 na vituo vya Afya vimejengwa nchi nzima
-Watumishi wa Serikali wameongezewa mishahara na posho
-Magazeti yaliyofungiwa yameachiwa kama Tanzania Daima
-Waliobambikizwa makesi ya uwongo wameachiwa
-Diplomasia ya kimataifa imefunguliwa na wawekezaji wanakuja nchini
-Kikosi cha kunyang'anya fedha za wafanyabiashara cha TRA kimevunjwa

Binafsi hata kama hamumpendi Samia lakini anafanya mambo yanayojenga uchumi wa nchi.
Imbicile, can't waste my moment with a twat
 
We dada umeolewa?
 
Hivi Ukiwa kiongozi mkuu wa Nchi unaweza mwacha Mwigulu, Makamba na vijana wengine wafanye wanavojiskia wasikemewe??

Hoja hii pia hujaijibu, ukitafuta wanawake nchini wenye sifa za kuwa Marais ukiwachanganya wapigiwe kura, huyu atatoboa???
 
huu nao unauita utabiri ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…