Utabiri: Mwaka huu hautaisha kabla ya Dola ya Marekani kufika 3000Tsh

Tatizo kubwa ni wasomi kama nyie ni wasomi wa nyuma ya keyboard, mtu kama lissu mnaona anataka kuvuruga aman

Hakuna
Nchi iliyoendelea kwa wasomi kujificha nyuma ya keyboard kama wewe kaka


Lisu anasoma sana tunayoyaandika ndio maana anapata moyo na morali kubwa ya kutangulia mbele na kiwaambia wananchi haya tunayoyasema .

Usiposoma na kujua mioyo ya watanganyika inataka nini utakosea sana.

Mfano kwa sasa Mbowe na Lisu ni kama watu wa vyama viwili tofauti kutana na ukweli kwamba mmoja anasoma sana mitandoa na vitabu na kujua kuwa bado watanzania hasa Watanganyika wanachukia sana ufisadi na wizi wa mali za umma.
 

Mbowe ni CCM na anazuga pale , hana ishu na hana impact nashangaa why bado ni mwenyekiti.

Yule ni mfia tumbo and mbowe is just a bogus ndio maana hawezi kufanya kazi na cream
 
Taasisi zote za serikali zinalipisha watanganyika ada za vibali na leseni kwa Dola bila hata chembe ya aibu hawana imani na shlng ?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu naomba unieleweshe kama sisi tukifanya hivyo madhara yake ni nini? Yaani kwamba tuondoe madafu kwenye mzunguko halafu ibaki $ inatamba
Madharayake pesa ya ndani itashuka thamani mala dufu kwa kutumia sana pesa za nche.
 
Mwigulu anachojali ni kujishikilia pale ili awe na uhakika wa mkono kwenda kinywani tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…