Utabiri: Ni suala la muda tu kabla Mwigulu hajaondolewa katika nafasi yake kwa kubadilishwa wizara au kuondolewa kabisa katika Baraza la Mawaziri

Utabiri: Ni suala la muda tu kabla Mwigulu hajaondolewa katika nafasi yake kwa kubadilishwa wizara au kuondolewa kabisa katika Baraza la Mawaziri

Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri.

Kwa maneno mengine, yeye kuendelea kuwa waziri,. sasa kunamgharimu kisiasa Bosi wake jambo ambalo sidhani kama Mama ataendelea kulivumilia. Hivyo, ni swala la muda tu kabla hajaondolewa na mtihani pekee kwa Mama anamuondoaje au anamuondoa katika mazingira gani.

Katika siasa, hata kama hujatenda kosa lolote, ila ikatokea umma unakuunyoshea kidole au kutajwatajwa mara nyingi kwa mambo yasiyopendeza, basi uwajibikaji wa kisiasa huwa haukwepiki ama kwa kuwajibika mwenyewe kwa kujiuzulu nafasi yako, au kusubiri kuonddolewa na Mamlaka yako ya kinidhamu.

Japo hapa Bongo na Afrika kwa ujumla utamaduni huu haijazoeleka sana, ila tartatibu tunaanza kuzoea na mifano teyari iko mingi na hapa kwetu yameshatokea hivyo Mwigulu is the next whether ana hatia au laa.

Bashite is a good example japo ilichukukuwa muda.

Time will tell.
Sasa hivi Mwigulu Nchemba anarejesha ukoloni, anaandaa TOZO YA KICHWA, kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea..

Dr wa uchumi sahahu kutoka kwenye hicho kiti. Hatoki ng'oo yupo pale kwa maana maalumu. Huenda atahuduma na awamu ijayo pia kama mama la mama ataendelea kukaa kwenye kiti
 
Hakuna kitu nimekishangaa kama tozo za mabenki walijua tozo zimeanza hawajatupa taarifa wakaacha tuendelee kutumia huduma alafu wakaja kukata tozo za miezi miwili kwa kuamua tu tena bila taarifa ni uhuni na wateja hatujui hata tozo ni kiasi gani waziri ubabe umezidi
 
Hana tofauti na yule walomokota kle jalalan. Hadharani kujisifia kw sana ila kumbe wameokotwa. Wanashndwa tofautisha usomi wa vyeti na kuwa na akili kwamba kuwa na PhD ni kuwa na cheti wala sio busara, hekma au akili. Matokeo ya kuwa na hawa watu serikalini ni mateso kwa wananchi, wanafanya maamuzi yasiyo na viwango kama vile wameyafanya wakiwa bar, wamelewa, watu wanateseka.
Una cheti cha PhD?
 
Siku nyingine tuwe tunaomba picha za mtu anayetaka kuwania uongozi kabla hajafanikiwa.

Maana nimechunguza kuwa viongozi wenye background za kimaiskini na hawana exposure wakiingia kwenye nyadhifa wanakuwa na kiburi na wanavimba sana na kujiona wao ni mazimba.

Sasa huyu mchunga mbuzi ona mambo yake.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwigulu kabuni akaunti binafsi anakotoroshea fedha...kajifunza kutoka kwa VP!
Wanatutoza alafu tuzo hazipo serikalini!
Kwahio tozo hazichanganyiki na kodi? Nilishawazaga jambo kama hili kipindi zoezi la kutozana limeanza tu 😂😂😂
 
Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri.

Kwa maneno mengine, yeye kuendelea kuwa waziri,. sasa kunamgharimu kisiasa Bosi wake jambo ambalo sidhani kama Mama ataendelea kulivumilia. Hivyo, ni swala la muda tu kabla hajaondolewa na mtihani pekee kwa Mama anamuondoaje au anamuondoa katika mazingira gani.

Katika siasa, hata kama hujatenda kosa lolote, ila ikatokea umma unakuunyoshea kidole au kutajwatajwa mara nyingi kwa mambo yasiyopendeza, basi uwajibikaji wa kisiasa huwa haukwepiki ama kwa kuwajibika mwenyewe kwa kujiuzulu nafasi yako, au kusubiri kuonddolewa na Mamlaka yako ya kinidhamu.

Japo hapa Bongo na Afrika kwa ujumla utamaduni huu haijazoeleka sana, ila tartatibu tunaanza kuzoea na mifano teyari iko mingi na hapa kwetu yameshatokea hivyo Mwigulu is the next whether ana hatia au laa.

Bashite is a good example japo ilichukukuwa muda.

Time will tell.
Kwani Mstaafu wenu Kikatiba #4 Kiutawala ( na Mshauri Mkuu wa Bi. Chifu Tozo ) ambaye ndiyo kataka akae hiyo Wizara ili afanikishe Mambo yake mengi ya Kimiradi, Kipesa, Kimadili na ya Timu yake ( yao ) pendwa ya Yanga SC amekubali aondolewe hapo?

Mnapoteza tu muda hawezi huyo Mtu hawezi Kutolewa hapo kwani yuko hapo Kimkakati na Aliyemuweka anaogopa Kumtoa ili yale ya tarehe 17 Machi, 2021 yasije Kujirudia.

Na msisahau Sifa nyingine ya Kificho ya huyu msiyemtaka ni Umafia na hata Watu wa Chama chake Wanalitambua hilo.
 
Huo umma unaomlaumu wana hoja? Maana kama ni tozo zinapitishwa na baraza la mawaziri .huwezi kumuhukumu mwigulu kwa collective responsibility.
 
Kama umtaki mwigulu hamia Burundi, huko Hakuna tozo
 
Nani mwenye sifa kumzidi mule Bungeni hadi aondolewe?
Sasa wewe kwa akili zako Mwigulu aliwahi ku-practice wapi taaluma yake ya Uchumi zaidi ya kuwa kada wa chama twawala!!
Unataka tukutajie watu wenye akili kubwa ambao wanaweza kuwa Waziri wa fedha?
1.Dr Charles Kimei
2.Dr Ashantu Kijaji
3.Luhaga Mpina
Wengine utaongezea,siyo uyo Mchunga ng'ombe ameua Mobile Money na sasa anaenda kuua sekta ya Benki kwa upuuzi na ujuha wake!
 
Kutokana na tamaa ya huyu dada kutaka utawala imepelekea amuogope sana huyu MWIGULU anaona akimtoa hapo ina maana Mwigulu lazima apambane nae 2025,huyu mwamba hatakubali dada apite hivhiv,kwahyo dada anaona ni heri amuachie hapo ili asibuguziwe 2025 ingawaje anaona kabisa jamaa hafai kwenye utawala wake
 
Back
Top Bottom