antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Huyu huyu anayekejeli umma kuwa asiyetaka tozo ahamie Burundi huko?!!!Eti anaandaliwa kuwa NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu huyu anayekejeli umma kuwa asiyetaka tozo ahamie Burundi huko?!!!Eti anaandaliwa kuwa NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
Acha kunituhumu kwa kitu ambacho huwezi kukithibitisha.Mfia dini naona huyu wa upande ule unamshambulia. Akisilimu utaendelea kushambulia?
Walamba asali ulindanaJamaa kawekwa jikoni na JK anaitafuna nchi vizuri
Sasa hivi Mwigulu Nchemba anarejesha ukoloni, anaandaa TOZO YA KICHWA, kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea..Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri.
Kwa maneno mengine, yeye kuendelea kuwa waziri,. sasa kunamgharimu kisiasa Bosi wake jambo ambalo sidhani kama Mama ataendelea kulivumilia. Hivyo, ni swala la muda tu kabla hajaondolewa na mtihani pekee kwa Mama anamuondoaje au anamuondoa katika mazingira gani.
Katika siasa, hata kama hujatenda kosa lolote, ila ikatokea umma unakuunyoshea kidole au kutajwatajwa mara nyingi kwa mambo yasiyopendeza, basi uwajibikaji wa kisiasa huwa haukwepiki ama kwa kuwajibika mwenyewe kwa kujiuzulu nafasi yako, au kusubiri kuonddolewa na Mamlaka yako ya kinidhamu.
Japo hapa Bongo na Afrika kwa ujumla utamaduni huu haijazoeleka sana, ila tartatibu tunaanza kuzoea na mifano teyari iko mingi na hapa kwetu yameshatokea hivyo Mwigulu is the next whether ana hatia au laa.
Bashite is a good example japo ilichukukuwa muda.
Time will tell.
😄😄😄😄😄Hiyo nafasi tumpe mdude?
Ndio wanavyotaka[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Jamaa hamnazo hawa 😁😁😁Ndio wanavyotaka
Una cheti cha PhD?Hana tofauti na yule walomokota kle jalalan. Hadharani kujisifia kw sana ila kumbe wameokotwa. Wanashndwa tofautisha usomi wa vyeti na kuwa na akili kwamba kuwa na PhD ni kuwa na cheti wala sio busara, hekma au akili. Matokeo ya kuwa na hawa watu serikalini ni mateso kwa wananchi, wanafanya maamuzi yasiyo na viwango kama vile wameyafanya wakiwa bar, wamelewa, watu wanateseka.
Kwahio tozo hazichanganyiki na kodi? Nilishawazaga jambo kama hili kipindi zoezi la kutozana limeanza tu 😂😂😂Mwigulu kabuni akaunti binafsi anakotoroshea fedha...kajifunza kutoka kwa VP!
Wanatutoza alafu tuzo hazipo serikalini!
Babu TALE!Nani mwenye sifa kumzidi mule Bungeni hadi aondolewe?
Kwani Mstaafu wenu Kikatiba #4 Kiutawala ( na Mshauri Mkuu wa Bi. Chifu Tozo ) ambaye ndiyo kataka akae hiyo Wizara ili afanikishe Mambo yake mengi ya Kimiradi, Kipesa, Kimadili na ya Timu yake ( yao ) pendwa ya Yanga SC amekubali aondolewe hapo?Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri.
Kwa maneno mengine, yeye kuendelea kuwa waziri,. sasa kunamgharimu kisiasa Bosi wake jambo ambalo sidhani kama Mama ataendelea kulivumilia. Hivyo, ni swala la muda tu kabla hajaondolewa na mtihani pekee kwa Mama anamuondoaje au anamuondoa katika mazingira gani.
Katika siasa, hata kama hujatenda kosa lolote, ila ikatokea umma unakuunyoshea kidole au kutajwatajwa mara nyingi kwa mambo yasiyopendeza, basi uwajibikaji wa kisiasa huwa haukwepiki ama kwa kuwajibika mwenyewe kwa kujiuzulu nafasi yako, au kusubiri kuonddolewa na Mamlaka yako ya kinidhamu.
Japo hapa Bongo na Afrika kwa ujumla utamaduni huu haijazoeleka sana, ila tartatibu tunaanza kuzoea na mifano teyari iko mingi na hapa kwetu yameshatokea hivyo Mwigulu is the next whether ana hatia au laa.
Bashite is a good example japo ilichukukuwa muda.
Time will tell.
Sasa wewe kwa akili zako Mwigulu aliwahi ku-practice wapi taaluma yake ya Uchumi zaidi ya kuwa kada wa chama twawala!!Nani mwenye sifa kumzidi mule Bungeni hadi aondolewe?