Kaka umenena vyema sana...lakini wasipokuwa makini ndani ya 2025_2030 wote watajikuta chini ya tani saba... watu mtaani wamechoka kaka...wanawaroga viongozi kila kukicha.πHuu unabii not necessarily kwamba utatimia huu mwaka inawezekana ukatimia 2030 maana kuanzia 2025-2030 kuna mambo mengi sana ya ajabu atakayofanya Samia yataghadhabishwata watanzania na ndipo anguko kubwa la CCM litashuhudiwa. Time will tell
Vijijini mbali hapa DAR njo masaki uone wafanya biashara wadodowadogo walivyochanyanjikiwa...kila kukisha wanabomolewa na kuchukuliwa mali zao kama viumbe visivyo na hatia...Kabisa ukitaka kuona namna watanzania wanapitia hali ngumu nenda ndani vijijini huko aisee unaweza jikuta ukilia, hawa jamaa wameshindwa kuwakomboa Watanzania kwa kuweka sera nzuri ambazo zingesaidia sana ustawi wao
Duh aiseeVijijini mbali hapa DAR njo masaki uone wafanya biashara wadodowadogo walivyochanyanjikiwa...kila kukisha wanabomolewa na kuchukuliwa mali zao kama viumbe visivyo na hatia...
Mimi mwenyewe sina hakika kama leo nitapata vitafunwa kwenye cafe niliyoizoea...manake jana muhudumu alikuwa ananiambia "KAKA HAPA MGUU NJE MGUU NDANI".Duh aisee
Ni 2025Huu unabii not necessarily kwamba utatimia huu mwaka inawezekana ukatimia 2030 maana kuanzia 2025-2030 kuna mambo mengi sana ya ajabu atakayofanya Samia yataghadhabisha watanzania na ndipo anguko kubwa la CCM litashuhudiwa. Time will tell
Vijijini ni mbali sana.hapahapa Dar es salaam u uswahilini watu wanamaisha magumu sanaKabisa ukitaka kuona namna watanzania wanapitia hali ngumu nenda ndani vijijini huko aisee unaweza jikuta ukilia, hawa jamaa wameshindwa kuwakomboa Watanzania kwa kuweka sera nzuri ambazo zingesaidia sana ustawi wao
Sure aisee, speech ya juzi hakuna aliefatilia na kila wakipost kwenye media unaona hashtag ya no reform no election.Aisee ktk historia Samia ndie the least popular president..Anatia hdi huruma yani kiiiila mtu hampendi..hapendi hadi inashangaza sijajua kwann hana bahati kbsa
Malizia na mateso ya viongozi mkuu,usiogopeVijijini ni mbali sana.hapahapa Dar es salaam u uswahilini watu wanamaisha magumu sana
Sasa tufanyaje?Watu wa hali za chini wanateswa kama sio wenye nchi,wanagawana vyama kiaina ili kutaka madaraka na manufaa yao,wanajilimbikizia kodi za walala hoi shenzi kabisa.
Likitimia mwaka huu nchi itapumua aiseeNi 2025
Yeye kama comforter chief anatetea maovu, ni waovu wenzake tu ndio watakubaliana nae ila wapenda haki lazima wamzodoe na kumpuuzaSure aisee, speech ya juzi hakuna aliefatilia na kila wakipost kwenye media unaona hashtag ya no reform no election.
Kiukweli watu wengi sana wanapitia maisha magumu na future haina matumaini kabisaVijijini ni mbali sana.hapahapa Dar es salaam u uswahilini watu wanamaisha magumu sana
Aisee.....kila lenye mwanzo halikosi mwisho wake, tuendelee kumuomba Mungu na kudumisha umoja wetu unaozidi kuvurugwa na hawa CCMMimi mwenyewe sina hakika kama leo nitapata vitafunwa kwenye cafe niliyoizoea...manake jana muhudumu alikuwa ananiambia "KAKA HAPA MGUU NJE MGUU NDANI".
Be patient..!Nataka ushahidi sio ngonjera
Ili uungeunge taarifa?Be patient..!
Haya maono ya shehe yahaya yapo Hadi kwenye video.Jamii check ilishasema hii taarifa ni ya uwongo.
ππ Hatoboi 25 muhula wake umeishaKaka umenena vyema sana...lakini wasipokuwa makini ndani ya 2025_2030 wote watajikuta chini ya tani saba... watu mtaani wamechoka kaka...wanawaroga viongozi kila kukicha.π
Acha uvivu nenda YouTube huko though mi sio muumin wa huyo mtu Kwa kifupi huwa simsikiliziIli uungeunge taarifa?