Utabiri wa Sheikh Yahya na hofu kubwa ya Rais Samia na CCM yake upinzani kuchukua nchi


Tupeni orginal video
 
Samia ni muumini mkubwa wa VISOMO na UTABIRI...

Huu UTABIRI unamnyima usingizi kabisa. Anashirikiana na Mkwe kuuepuka UTABIRI lakini kadiri wanayotumia nguvu ndivyo UTABIRI unaelekea kutumia!
Wasiwasi tunao sisi mashabiki, kisomo kilishapita kitambo kule Kizimkazi na mambo yapo sawa
 
......limekuwa jambo la familia naona Mchengerwa amepagawa kabisa yuko tayari kwa vita akitetea familia.....ni zamu yao na wao.....kazi sanaa Mchngrw ana fikiri ana nguvu zaidi hata ya PM khaaa sawa muda tuuu
 
Itoshe kusema CCM ni wataalamu wa kujizima data, (self-absorbed group)
 
kama hayo mawili yametokea ,kwa nini hili lingine lisitokee?
 
Sas
Sasa mbona Umpenic shida nini kwa nini yaishie kwa Rais mwanamke nani hajui kumekua na tabia ya kupunguza vitu watawala wasivyo vipenda?
 
Siasa ni sayansi
 
Mama alikosea angeachana na Lissu akaendelea na Kampeni zake bila hata kumshika na yeye akaendelea na Kampeni maana uchaguzi ungefanyika vizuri tu hata bila Reforms ila kumkamata Lissu ule ulikua mtego sasa kila mtu amejua uchaguzi kumbe sio huru na haki
 
Alafu ogopa mtu akitabiri baadae afe huo ubaya ubwela
Ni sawa mganga akuroge au akufanyie kitu fulani ambacho kitamhitaji uwepo wake..Mara kafariki hapo ndipo utajua kwanini Mvua ikinyesha kenge anakimbilia kwenye maji.
 
Ngoja tuone
 
Kaka Hofu Kaka Hofu ni mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…