Tayar huyu kesha left group, kuja tu humu na kuanzisha mada kama hii ni uthibitisho toshaHivi tukimuwahi huyu anapona kweli Wakuu?
Bora ww n wa kike mm daah kuna siku konda anadai chenji akanambia aya ww jamaa apo "mwenye sura kama umejambiwa na wachawi " nipe hela yangu.........daaaah it was so sadNimekaa garini, konda akawa anasema sister naomba tiketi yako, mi nikawa nimetulia mana sikujua kama ananilenga mimi, jamaa karudia kama mara, tatu mwishowe anasema, dada acha dharau, inamana hunisikii ?, ikanibidi nisimame kwenye siti nimuulize, sister unaemzungumzia ni nani? jamaa ndio anaomba msamaha kuwa amekosea, hakujua.
ila simlaumu sana mana bahati mbaya, sijajaliwa ndevu, mtu akiniangalia ikiwa imebaki kichwa tu, ni ngumu kujua kwa mtu asie nifahamu.
we ungerusha ngumi?
Huwezi, huyu haend straight tu ila soda haina gas.Hivi tukimuwahi huyu anapona kweli Wakuu?
haszu kuwa mwanamke sio sifa nzuri kama umezaliwa wa kiume. Wanawake ni wadhaifu kimaumbile na kihaiba, Unapata wapi ujasiri wakuleta stor hii?
Licha ya ukorofi wa makonda, huwa hawafiki hatua hii kwa abiria hata kidogo.bora ww
Bora ww n wa kike mm daah kuna siku konda anadai chenji akanambia aya ww jamaa apo "mwenye sura kama umejambiwa na wachawi " nipe hela yangu.........daaaah it was so sad
Tushachelewa mkuu.Hivi tukimuwahi huyu anapona kweli Wakuu?
Sasa utarushaje ngumi na wewe una vinasaba vya ke. Kua mpole tuNimekaa garini, konda akawa anasema sister naomba tiketi yako, mi nikawa nimetulia mana sikujua kama ananilenga mimi, jamaa karudia kama mara, tatu mwishowe anasema, dada acha dharau, inamana hunisikii ?, ikanibidi nisimame kwenye siti nimuulize, sister unaemzungumzia ni nani? jamaa ndio anaomba msamaha kuwa amekosea, hakujua.
ila simlaumu sana mana bahati mbaya, sijajaliwa ndevu, mtu akiniangalia ikiwa imebaki kichwa tu, ni ngumu kujua kwa mtu asie nifahamu.
we ungerusha ngumi?