Utafanyaje mtu akikuhisi wewe ni jinsia tofauti na ulivyo?

Ila haszu unapenda kututafutia waungwana dhambi za rejareja kwann lakini??
Eti beautiful boy, shida nini? 😹
 
Kheri yako wee wenye utambuzi na ufahamu huo.
Hawa wengine washajihesabia haki. LOL
Katika moja ya hekima na busara zangu nazoshukuru zimo kichwani ni kwamba siwezi kumjudge wala kumuhoji mtu kwa jinsi alivyo,
  • HAKUNA ANAEJIUMBA
  • KABLA HUJAFA HUJAUMBIKA
 
Nipo na 🍿, nisome mihemko ya Waja.
😂😂😂😂😂
 
Mi nakumbuka mwaka juzi nilienda hotel Moja tukala tukamaliza, Sasa nikawa nataka aniitie alietusev, nikamuita anko samahani nakuomba, mama wee kuja ni dada niliishiwa pozi ila nadhani alielewa akawa anatabasamu tu nikapotezea kuomba msamaha
 
Hili ni tangazo la kuuza mavi nimeshtuka kmmk😤😤😤
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…