Utafanyaje mtu akikuhisi wewe ni jinsia tofauti na ulivyo?

Dah shahawa zishakulegeza mwili adi umekua wa kike kike ushalegea weye.,,huu msiba mbona
 
Chagua upande mmoja
Uyo konda sio kichaa mpaka akuite dada
 
haszu kuwa mwanamke sio sifa nzuri kama umezaliwa wa kiume. Wanawake ni wadhaifu kimaumbile na kihaiba, Unapata wapi ujasiri wakuleta stor hii?
No Zuu, it is just the hustle of being handsome i think.
 
Angalia pia na mavazi unayovaa pia jitahidi kuangalia muonekano wako kama namna ya unyoaji nywele na vingine!!! Asingeweza kukuita sister tu from nowhere.
 
Nde
Ndevu huna unategemea nini? vipi ukisimama kwa nyuma upoje? usikasirike ndo tunaangalia tukusaidiaje mkuu
 
Utatakiwa ukae chini na kutafakari muenendo wako wa kichoko ***** uachane nao.
 
No Zuu, it is just the hustle of being handsome i think.
Are you sure ukiwa handsome itakufanya uwe mwanaume kamili?
Anyways I wish uache hustle za ufanano wa kike . Kwasababu ulimi na moyo vinanguvu ya kuunda .
 
Da sister umendika kutanabaisha au vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…