Utafiti Wangu: Watoto wengi hupenda zaidi ndugu upande wa mama kuliko upande wa baba

Mhhh...
 
Sijawahi kukutana na situation kama hii mkuu
 
Sijawahi kukutana na situation kama hii mkuu
Mimi nililelewa na BIBI mzaa MAMA
BABA yangu alifariki nikiwa bado mdogo
Baba alikuwa na mke pamoja na wanawake kibao wa nje MAMA yangu hakiwa mmoja wao na alikuwa na watoto kibao so sikupata bahati ya kuwajua ndugu zake baada ya kuwa mkubwa nilianza harakati za kuwatafuta ndugu wa upande wa BABA nikafanikiwa kuwapata KAKA na DADA zangu hambao MAMA yao ndo alikuwa mke wa BABA KAKA zangu wawili walinipokea vizuri lakini ndugu zangu wengine walinikataa kwaiyo mimi nipo karibu sana na ndugu wa upande wa MAMA kuliko wa BABA

Mpaka leo sijawai kukutana na kaka wa baba wala dada hata wazizi baba sijawai kuwaona
 
Okay...
 
Mwenye ndoa ni mume, mke huja KUJENGA UKOO wa mwanamume kama mwendelezo. Leo hii? Ndoa za KISASA kujidai TUKO INDEPENDENT matokeo yake ndio hayo. Kila mwanamume hujidai kuanzisha "kijiukoo" chake mwenyewe. Utasikia kauli za KILOFA, "sitaki ndugu watuingilie kwenye ndoa yetu." Ukisikia hivyo ujue wazi WATOTO WATAELEMEA UPANDE WA MKE.

Huo ni ujanja wa wanawake wa kisasa, kukuweka mbali na nduguzo ili akuunge kwenye ukoo wake. Sasa wanaume wasiotambua nafasi yao wamenasa kwenye hila hii. Kama huamini tafuta threads humu wanaume wakijisifia ujinga eti mie mke wangu ndio kanifikisha hapa sitaki kabisa wazazi wangu waniingilie. Kwa mtindo huo watoto watamjua ndugu yupi?

Mijitu inalishana ujinga eti mambo ya kutembeleana yamepitwa na wakati. Halafu bila kufikiri utakuta mwanamke ndio hutembelea kwao AKIWA NA WATOTO walau mara mbili kwa mwaka, huku dume limewakazia wazazi, kama sio ubwege ni nini? Watoto wanajua ndugu wote wa mke, halafu upande wa baba hola!!

Ndio maana tunashauri, unapotaka kuoa, EPUKA KABISA MWANAMKE ALIYE NA MAFUNGAMANO NA NDUGU ZAKE. Huyu amepoteza sifa muhimu ya kuwa mke wa ndoa. Wewe Kulwa Jimisha unaishi na mkeo Jesca Mushi, halafu miaka ishirini baadaye bado tu huyo mke anatambulika kama JESCA MUSHI!! Hapo hakuna ndoa. Ni sawa tu na kuzaa na mwanamke yeyote afu akawa mnalea watoto pamoja. SIRI PEKEE ni mwanamke ajisikie fahari kutambulika kwa ukoo wa mume, hiyo ndio ndoa. Mke anabadili ukoo na kuwa mzaliwa wa ukoo mwingine KIROHO, ndio maana mwanamke wa aina hii anakuwa na nguvu na heshima kubwa kwenye ukoo wa mume. Achana na hawa wa mwendo kasi, akina haki sawa, hao ni kama kampuni za mkonge tu, kazi na ujira.

Mke akijiunganisha na ukoo wa mume HAKUNA TENA KESI YA WATOTO KUPENDA UPANDE WA MKE. La sivyo mwanamume huna ujanja wa kuwadhibiti watoto kumzidi mke anayeshinda nao kutwa. Utasababisha chuki kutoka kwa watoto wako na mkeo pia.

Uko tayari kulipa gharama? Acha kuoa bambataa, oa mwanamke mwenye sifa za mke. Asante
 
Siku zote mtaonekana wachache sababu kila anaye toboa hataki mahusiano.anapotelea hukohuko mjini anaoa kabila lingine. sana labda amepita tu kaonana na ndg mmoja tu madukani
 
Yeees! Sasa km ndg wa babayo hawana mpango na wewe. Makauzu? Inatevemea na jicho la msaada, unapenda unapo pendwa ndo watoto wako wataenda
 
Watoto watakuwa karibu na ndugu aliye karibu na familia (hasa mama)...
Huu ndio ukweli sababu mababa wengi wanachukulia poa haya mambo. Mpk kwa wengine unakuta hata wale ndugu wa kiumeni uliozoeana nao ni wale wanaoelewana na mama zaidi
 
📌
 
Kuna sababu kadhaa ambazo huwa zinasababisha mtoto kupenda sana kwa wajomb/mama zao wadogo/wakubwa kuliko ndugu wa upande wa baba,nitataja sababu kadhaa ambazo kwa uzoefu wa kuona na zingine kuziona na kuziishi...

Mosi ni Utamaduni wa baadhi ya makabila kuamini kuwa mtoto kwao ni kwa mama yake, kwamba baba unaweza ukasingiziwa lakini mama huwezi kusingiziwa...ndio wababa hujikuta hawana nguvu sana na watoto hasa mama akikosa busara na kuamua kuwavuta upande wa kwao.

Pili,ni Ukatili wa ndugu wa upande wa baba. Ujue baadhi ya makbila wanaamini kwamba upande wa baba ndio wenye mamlaka...sasa unakuta baba mdogo,ba mkubwa,shangazi na hata mabro na sista wa upande huo wanakufanyia vitendo vya ukatili...konzi,vibao..basi kuonewa tu. Tofauti na kwa mjomba,mama mdogo ma mkubwa mabinamu hawana shida,mnaongea story zote na hamna shida. Ni marafiki na watetezi maranyingi. Kule upande wa baba..ukimuondoa babu na bibi,wengine wote ni wakatili.

ngoja kwanza matokeo yanatangazwa ya diwani wangu.
 
Kuna sababu kadhaa ambazo huwa zinasababisha mtoto kupenda sana kwa wajomb/mama zao wadogo/wakubwa kuliko ndugu wa upande wa baba,nitataja sababu kadhaa ambazo kwa uzoefu wa kuona na zingine kuziona na kuziishi...

Mosi ni Utamaduni wa baadhi ya makabila kuamini kuwa mtoto kwao ni kwa mama yake, kwamba baba unaweza ukasingiziwa lakini mama huwezi kusingiziwa...ndio wababa hujikuta hawana nguvu sana na watoto hasa mama akikosa busara na kuamua kuwavuta upande wa kwao.

Pili,ni Ukatili wa ndugu wa upande wa baba. Ujue baadhi ya makbila wanaamini kwamba upande wa baba ndio wenye mamlaka...sasa unakuta baba mdogo,ba mkubwa,shangazi na hata mabro na sista wa upande huo wanakufanyia vitendo vya ukatili...konzi,vibao..basi kuonewa tu. Tofauti na kwa mjomba,mama mdogo ma mkubwa mabinamu hawana shida,mnaongea story zote na hamna shida. Ni marafiki na watetezi maranyingi. Kule upande wa baba..ukimuondoa babu na bibi,wengine wote ni wakatili.

ngoja kwanza matokeo yanatangazwa ya diwani wangu.
 
Yeees! Sasa km ndg wa babayo hawana mpango na wewe. Makauzu? Inatevemea na jicho la msaada, unapenda unapo pendwa ndo watoto wako wataenda
HAKUNA KITU KAMA HICHO. Huo ni utapeli wa wanawake, watawafundisha watoto kupenda kwao. Ni akili za hovyo za vibinti vya kisasa. Badala ya kujenga mji wake anamwibia mume KUJENGA KWA SHANGAZI YAKE. Upeo finyu wahusika. Wanaoibiwa ni watoto sio mume, mwanamke anayefanya hayo anawadhulumu watoto wake mwenyewe. Ni sawa na hili la watoto kung'ang'ania watambulike zaidi kwa mwanamke kisa "wanapendwa zaidi." Ni mwanamume mjinga atakayekubali huo upuuzi. Wanawake wengi wamekuwa wafitini wa waume zao dhidi ya ndugu kwa sababu binafsi. Ukiona mwanamke anang'ang'ania kuwa na mahusiano ya karibu na ukoo wake ELEWA WAZI UMEINGIA CHAKA. Hiyo ndio type ya wanawake wasiochelea kusema "SIJAUA KWETU, KAMA UMENICHOKA NIRUDISHE!" Ni aina mpya ya makahaba waliojiweka kama mke wa ndoa!! Men you better watch out!!! [emoji102]
 
Sawa mkuu...
 
Uhakika ni kwa Mama. Upande wa Baba ni lolote linawezekana. Unaweza kudhani ni ndugu ni Mhutu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…