Utajisikiaje shemeji yako akimuita dada yako “Demu” mbele yako?

Brz usawa huu ukipata pa kujiegesha bure unachangamkia fursa we hapa kila kitu kitonga hela yangu haitumiki hauoni bi bahati hii sio ya kuichezea .
sa kama ameanza kumuita majina ambayo wewe hupendi huoni hiyo red flag bro. We endelea kukaa hapo kama siku moja hujaambiwa pika hapo tule maana hawa wameemda kanisani shemej na hapo ndio utakua mwanzo wa yote. Ila kama wewe n last born endelea kuishi tu maana malastborn ni viumbe wengne.
 
Nitaufikiria ushauri wako , ngoja kwanza nimtapeli shemeji nipate mtaji wa kutokea kimaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…