Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Vifo vingi ni mapichapicha tu! Tuwaulize watu wanaojua zaidi kuhusu ulimwengu wa roho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Hospital ndio bora zaidi ila wengi wanaofia nyumbani huwa hatujui kama wamekufa vifo vya kawaida au wametolewa roho kwa nguvuSijajua, kama kufanyiwa uchunguzi hospitali, kwa macho yetu haya ya nyama, tunaweza kutoa majibu tofauti.
Kama upo active spiritual utajuaKwa hiyo, kama mtazika, hakutokuwa na ishara zozote?
Ndio tupo hapa mkuu, tuweze kujifunzaVifo vingi ni mapichapicha tu! Tuwaulize watu wanaojua zaidi kuhusu ulimwengu wa roho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eng. Zezudu , hata wazungu zamani walikuwa wanaamini ushirikina, kama ambavyo shinyanga wanaamini mwenye macho mekundu ndio mchawi, wazungu waliamini mwenye pua ndefu iliyopinda ndio mchawi.Cc: mhandisi uchwara Eng. Zezudu
Nakubaliana nawe mkuu, kama ingekuwa ni ushirikina, ingeonekana nini kwenye uchunguzi?Mkuu Hospital ndio bora zaidi ila wengi wanaofia nyumbani huwa hatujui kama wamekufa vifo vya kawaida au wametolewa roho kwa nguvu
Kuna wakati jamaa yetu alifariki ghafla akiwa amekaa na wenzake huko uarabuni
Wakaita ambulance (lazima) Dr akatoka baada ya kumuona marehemu na kuwaukiza amepatwa na nini wakasema kaanguka tu
Dr alipiga simu police walikuja wakabebwa wote 6 na kutupwa jela
Walikaa masaa 9 huku wakimlilia marehemu
Baadae majibu yakafika kuwa ilikuwa ni heart attack wakaachiwa huru na kumzika mwenzao
Wenzetu wanajali sana uhalisia na ulweli kuliko kusikia vilio tu
Sikia wanaokataa hakuna ushirikina ndiyo washirikina wenyeweUtakuwa umeshindwa kuelewa hoja.
Hoja ni kuwa ushirikina ni chimbuko la ujinga. Muumini katika ushirikina atakuwa na jina lipi basi la kumwakilisha?
Kushindwa kuliita koleo kwa jina lake hakusaidii kitu ndugu.
Koleo ni koleo siyo kijiko kikubwa.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Sikia wanaokataa hakuna ushirikina ndiyo washirikina wenyewe
Kusema uchawi haupo ni sawa na kusema shetani hayupo. Shetani yupo na watendakazi wake ni hao wachawi na waganga wa kienyeji. Kusema hakuna uchawi ni kujidanganya nafsi yako. Ni jambo ambalo wala halitokusaidia chochote.Hakuna kifo cha ushirikina mkuu...ni basi tu jamii zetu zina baadhi ya mambo zinakumbatia hayana maana...mi binafsi siamini kama uchawi upo.
Tena ndio wakukaa nao mbali; wengine wanajificha kwenye mazingira ya kusali sanaSikia wanaokataa hakuna ushirikina ndiyo washirikina wenyewe
Sana tena sana ni kuwakimbia kabisa.Tena ndio wakukaa nao mbali; wengine wanajificha kwenye mazingira ya kusali sana
Tena hao wanaokataa ndiyo wafuasi wenyewe washetani.Kusema uchawi haupo ni sawa na kusema shetani hayupo. Shetani yupo na watendakazi wake ni hao wachawi na waganga wa kienyeji. Kusema hakuna uchawi ni kujidanganya nafsi yako. Ni jambo ambalo wala halitokusaidia chochote.
Yesu ni Mwokozi
Mkuu kwa kweli haliwezi kujulikana ila unaweza kuwa na doubt kama Egyptians na jinsi wanavyoamini na hata wazungu wanaamini kuwa wengine walirogwaNakubaliana nawe mkuu, kama ingekuwa ni ushirikina, ingeonekana nini kwenye uchunguzi?
Uchawi upo acha utani ww!Hakuna kifo cha ushirikina mkuu...ni basi tu jamii zetu zina baadhi ya mambo zinakumbatia hayana maana...mi binafsi siamini kama uchawi upo.
Hakuna kifo cha ushirikina mkuu...ni basi tu jamii zetu zina baadhi ya mambo zinakumbatia hayana maana...mi binafsi siamini kama uchawi upo.
Ila unafanya kazi MahakamaniKaribu Afrika:
View attachment 2356855
Ngoma Iko hapo. Tunasumbuliwa na ujinga tu tokea juu hadi chini.
Kumbuka ushirikina haufanyi kazi benki au polisi.