Ni rahisi mbona kufanya money laundering Kwa dini , si Una declare Tu kuwa hata ni mapato yatokanayo na sadaka za waumini ?Na hivi ndivyo nijuavyo kwamba pesa yoyote ambayo inapatikana katika shughuli zilizo nnje ya sheria za nchi na pengine kidunia ndio huwekwa kwenye huo upande wa kuwa pesa haramu ila wahusika mara nyingi huwa wanazitafutia sababu ya kuzitakasa ili zionekane safi.
Sasa kitu ambacho kidogo kimeniyumbisha kwenye hilo bandiko ni kwamba mfano wa watu wa makanisa kwamba kwa mujibu wa andiko kile wanachokifanya sicho kinachowaingizia pesa ila wanatumia hiyo njia ili iwe ya utakaso wa hizo fedha walizo nazo.
Hapa ndio amenichanganya mimi kwa sababu hadi sasa kuna pastor alikua na kanisa lake huko buza na alikua anaombea watu kwa laki tano na watu wanakiri kwamba walikua wanatoa hizo fedha na bado kuna mmoja alijaza ule uwanja wa pale kawe na akauza sana maji na mafuta plus sadaka na mengine yote ambayo yaliyofanyika usiku ule kuhamisha pesa kutoka kwenye mifuko ya watu kwenda kwakwe.
Hapa ndipo nnapohitaji connection ya hilo andiko na utakatishaji.
Yaani anawezaje kuprove kwamba hawa watu hawapati pesa kupitia hizo njia ila zipo njia haram za upatikanaji wa pesa zao hasa ukizingatia uwingi wa wafuasi ambao wamejizolea kwenye hayo maeneo yao ya kazi.
Na hiyo pesa ina
Acha ukilaza wako ,haya mambo yapo sana. Wewe ukisikia shell companies na offshore bank accounts kule Switzerland ,Cyprus , seacheylles , Panama nk unadhani ni utani ?Mtu akiwa na njaa anachukia sana matajiri tafuta pesa na wewe utakula tu
Mpaka kanisa katoliki wanafanya hii kitu miaka mingi .
Makampuni makubwa na watu matajiri nk
Ulimwengu hauko kama unavyoaminishwa