Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Naaam huyo ndie, PM iko wazi dada usimwage mchele hapa, kuna kuku wengi.Na huyo kwenye Avatar ndio wewe pia?
Fire π₯Twende Eid wallah hutojuta, kwa ss nipo hapa hapa Mjini.
ππAlikua anachana sana nguo za shule ππ
Kuna mzee hapo anaitwa mzee January, Kuna dereva anaitwa yahya walipoteza mzigo mkubwa wa mchepuko wangu ikabidi niwatafute niwapige mkwaraKuna Agency inaitwa Mpaji Mungu ipo pale Ilala inatoa mizigo Dar kwenda Tabora na wilaya zake.
Nelson Chrizostom RutashobyaShabiki sana wa hip hop, wimbo wa "nini dhambi kwa mwenye dhiki" by Faza Nelly(RIP) ndio wimbo wa kwanza wa hip hop ya Tanzania kufikisha views 1M pale YouTube June 2013.
Kwa wasio mfahamu Faza Nelly ni huyo kwenye profile picture yangu.
Hiyo gee itakua getrudaπ©π€£Chica - Ni Binti/Msichana kwa kispanish
Gee - Ni swaga tu ila ni herufi ya kwanza ya jina langu π
Kwakuwa napenda Kispanish, nikaunganisha hapo nikapata username Chica Gee
NopeπHiyo gee itakua getrudaπ©π€£
Gigi money?Nopeπ
Kiwembe limejitosheleza lenyewe kama lilivyo π
Unyama flani hivi πDepal
De - The
Pal - friend
Sikumbuki ilikuwaje.. nachojua wakati niko nanga humu nilitumiaga real nameπ wananchi wakanambia umetoka bongo au? Hayo hayatumikigi huku..nikabadili chap
Fala πππAlikua anachana sana nguo za shule ππ
Kama tusipouza hawa watoto nadhani tabu itaendelea kuwa palepale mkuu
Tutamshushia tu heshima xabi
Mmeamua msimu ujao msicheze hata conference league ππ
DC niaje πKuna mzee hapo anaitwa mzee January, Kuna dereva anaitwa yahya walipoteza mzigo mkubwa wa mchepuko wangu ikabidi niwatafute niwapige mkwara