Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

Nikijua ni mume wa MTU nitamuacha kwa sababu ninapenda nijipatie wa kwangu!

Ila kuhusiana na kuwasiliana yuko active sana kuchat asubuhi mpk muda ya SAA mbili anawahi kuaga

Na huyu kijana sijakuwa naye hata mwezi uishe ila matendo yake yananishtua
Mkuu wewe ni mkenya, upo hapa Dar?
 
Nikimpigia usiku mm hapokei,anakaa kama DKK 10 afu ananipigia anadai yuko na mzazi ake ni mkali hawezi kuongea mbele yake!na hiyo kijana ana miaka 31
Hamna mwanaume hapo,
Uyo Ni mvulana aisee.

Hivi kwanza unapata wapi ujasili wa kudate na mvulana anazaidi ya miaka 30 anakaa kwao?

Hivi wanawake huwa zinatosha KWELI?

Au ndo kesho utakuja kuleta Uzi kua
"Mume wangu hawajibiki, kila kitu nagharamia Mimi kwenye familia...."

Aisee,
Mwambie kabla ya chochote atoke Apo kwao kwanza.
 
Yaaani ananikera sana bac tu
Hamna mwanaume Apo dada angu,

Mwanaume mwenye miaka 30 afu bado Yuko nyumbani ana matatizo.

Tena sio matatizo TU, Bali matatizo makubwa.

VINGINEVYO,
unataka kuwasaidia wazazi wake kumlea akawe kibenten wako.
 
Aisee hamna kazi ngumu Kama kudanganya huna MKE kumbe unae.

Ile KERO iliwahi nifanya nikapanga chumba self special kwa ajili ya kazi za hivyo na kuweka full assets.

Baadae niliona upuuz,nkaachana na hiyo tabia.

chumba nkakabidhi, assets nkamuachia kijana wangu wa dukan.

Ujana maji ya Moto,
Tumepitia mengi Sana aisee[emoji4]

UMENIKUMBUSHA MBALI MKUU[emoji4]
 
Hahahahahha tumepitia kipindi kigumu kama taifa la vijana mabaharia!😅
 
Moyo wa mjuba kichaka[emoji2],

Mioyo yetu ikashawaka tamaa ata uwe na 80yrs itatafutwa mbinu yoyote ata ya uwongo tu ili mradi ukaliwe utamu.
 
Hapana tuwe wote tuchunguzane then tufuate taratibu kama tutafaana kujenga familia
Uliona wapi mwanaume anachunguzwa?

Aya umechunguza ukagundua jamaa Yule pale kitandani anamtafuna mwanamke mwenzako,
Je, utapata ujasili wa kufumania?

Aya umefumania,

Swali litakuja,
Ulionaga wapi mwanamke akafumania?[emoji848]
 
Umepigwa wewe[emoji1787]
Uyo mwanaume wa hivyo alikuaga yesu tu.
 
Mi atakaeninyima anihakikishie na yeye ni bikra 100%.

Hizi mambo za kuwekwa pending, WAHUNI wanampakua mi nasubiri hiyo haipo aisee[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…