Ajajajajajaja huyo ni mwongo plus plus...kingine mbona unasema hajakukula sasa[emoji849][emoji849][emoji38][emoji38]Si namie nashangaaa hatujawahi kugombana afu yaaani anaongea mambo mengi which are too good to be true!
"Ety baby mie nakusikiliza wewe tu ukitaka ndoa hata kesho tu " mtu kweli hata hatujamaliza muda tufahamiane vizuri?
Haahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si amegundua unataka ndoa?? Siku hizi demi akijifanya ngumu wewe mtangazie ndoa tu ... Utampata tena Kwa gharama zake
Atakwambia hapanaSamahani huyo jamaa ameisha kula papuchi?
Sio kushinda mkichati ila ule muda mnaopata wa kuongea ndiyo anaonesha hayo mapungufu!Mwenzio kama ana kazi ujue mchana anachoka hivi wadada mnatakaga mtu mkeshe mnachat ili iwejee????
Au nasema uongo ndugu yangu?Haahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NashukuruUna haraka sana ya ndoa? Kama hapana basi hebu tulia. Si mtakua mnatoka hata weekend? Angalia anavyopokea simu zake, na kamwe usionyeshe kumhofia Wala kumchunguza.
Wanaume hatuwezi kudanganya kwa muda mrefu, get to know his friends, ndugu at least wawili watatu..... Fahamu kazini kwake.
Ila kwa mtazamo wangu kutokana na posts/reply zako hapa nimegundua mambo mawili kwako na kwake.
A. Kwako: Uko unapenda ndoa sana sana na hutaki relationship ya kawaida tu, ndio maana akasema "kama unataka ndoa Niko tayari hata kesho". Haya maneno Yana maana kubwa sana na hayakutoka kwa bahati mbaya.
B: Kwa Mtuhumiwa: Ni mtu na family yake ndio maana ukipiga usiku hapokei then baada ya muda anapokea, yaani anatoka nje anaenda kuongelea nje huko mbali Ili asisikike. Hakuna namna Wazazi wa Leo hii wawe wakali kwa kijana wao wa miaka 31 kuongea na simu, hakuna. Yaani saa mbili usiku au saa tatu Yuko na Wazazi wake.....na wewe ukakubali na kuamini!
Ya kwangu ni hayo tu, mengine sitayasema ila niliwahi kufanya hivyo pia. Baadae nikaona ujinga! I'm
Hahahahaha na wewe ukaamini kabisa Hadi ndoa??He approached me na anadai he loves me na mpk habari ya sex we agreed mpk ndoa ndio tutafanya na hakuwa na issue kuhusiana na hilo ila matendo yake ndio hayaeleweki
Sasa Mvumilie mpe chance wadada wengi mnafeli hamtaki vikao vya kibunge vya kujuana na agenda critical kbsa. Mpigie simu mwambie baby sikia sina muda wa kupoteza wewe unademu ghetto au ni umeoa uko na mke nahitaji kikao na wewe ili nikuache citaki mizinguo. Sisi wanaume macho na nafsi husisimka haijalishi umeoa una demu macho tuliumbiwa na mlipuko na cisi tuna hisia za kuona muda wote sema tunazuga tu. Kuogopa udwanzi kwenye brand zetu.He approached me na anadai he loves me na mpk habari ya sex we agreed mpk ndoa ndio tutafanya na hakuwa na issue kuhusiana na hilo ila matendo yake ndio hayaeleweki
Ukweli humuweka MTU huru[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yani bora umwambia mwanake ukweli tu nimeoa aamue yeye...
Mhh!! Ushawahi fika kwake??Nikimpigia usiku mm hapokei,anakaa kama DKK 10 afu ananipigia anadai yuko na mzazi ake ni mkali hawezi kuongea mbele yake!na hiyo kijana ana miaka 31
He he and you bought that😅 cheap janja janja..Kuna mambo ambayo mwanaume rijali hawezi kubali and among those ni wewe kusema eti mtaanza kutafunana baada ya ndoa.He approached me na anadai he loves me na mpk habari ya sex we agreed mpk ndoa ndio tutafanya na hakuwa na issue kuhusiana na hilo ila matendo yake ndio hayaeleweki
Siwezi kukulazimisha uamini ili hali unalojibu unaloamini tofauti na nilichojibuMwongo wewe umeti.wa
Hapana tuwe wote tuchunguzane then tufuate taratibu kama tutafaana kujenga familiaMeaning ww uendelee na mtu wako na yy hivyo hivyo huku mkisubiria pingu za kudumu?
Wazi kabisa yan😅Legendary ameshasema. Topic closed.
Demu wa jamvii hili ana ubavu wa abstaining from sex hio haipogo sema mademu wakati Ana abstain kwako kwengine anaendelea kuliwa kama zote zote. Yelewiii. Kijogoo ndemba ndemba ni ndemba tu kwa hisani ya watu wa Mbeya.Meaning ww uendelee na mtu wako na yy hivyo hivyo huku mkisubiria pingu za kudumu?
Yaaani this started tulipokubaliana no sex before marriage akasema it is OK!Si amegundua unataka ndoa?? Siku hizi demi akijifanya ngumu wewe mtangazie ndoa tu ... Utampata tena Kwa gharama zake
Kwani si anakuna vizuri?Kiaje?