Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,Ukitaka Kiranga uone komenti yake wewe anzisha mada ya kusema Mungu yupo, kama si komenti ya kwanza mpaka ya tano tangu mada ianzishwe labda hayupo online😂😂 huwa nafurahi sana.
Nyafwili huwa pia unamkuta kwenye mada za dini😂😂😂 simuelewagi yupo opposer au proposerUkitaka Nyafwili uone komenti yake wewe anzisha mada ya TBC , kama si komenti ya kwanza mpaka ya tano tangu mada ianzishwe labda hayupo online😂😂 huwa nafurahi sana.
Watu wanaongea vyenye masirahi kitaifa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi sijui watu huwa wanachukuliaje lakini yote kwa yote Lucas ana roho ngumu sana. Wengi hawapendi maandishi yake lakini akianzisha nyuzi yake watu wanajazana .
Huwa ninafurahi sana akianza kujibu watu.
Kaka Lucas Mwashambwa huwa anapokea sapoti kutoka kwa MamaSamia2025 Tlaatlaah Etwege [emoji23][emoji23]hilo ni chama lake.
Ila kuna upinzani akishafika Bams Rabbon Erythrocyte hapo mada lazima ichangamke[emoji23][emoji23][emoji23] aisee hawa watu ni burudani sana hapa JF.
😂😂😂😂huwa anafurahisha sana.Ukitaka cocastic uone komenti yake wewe anzisha mada ya kuwasema 🌈🌈, kama si komenti ya kwanza mpaka ya tano tangu mada ianzishwe labda hayupo online😂😂 huwa nafurahi sana.
cocastic njoo mambo yako yametajwa huku.Ukitaka cocastic uone komenti yake wewe anzisha mada ya kuwasema 🌈🌈, kama si komenti ya kwanza mpaka ya tano tangu mada ianzishwe labda hayupo online😂😂 huwa nafurahi sana.
Sasa unafikiri wewe una hoja sana,endelea kunywa visungura na maandalizi ya kumdekia Mwigulu barabara akihamia chadema na kugombea uraisWewe nawe una hoja gani zaidi ya uchawa tu.
Kwa kweli TBC wanisamehe tu, Nilijitahidi kuwafuatilia, nikanunua na TV kubwa nikadhani labda muonekano wa picha ni mdogo kwenye screen lakini nilishindwa... 😀😀Ukitaka Nyafwili uone komenti yake wewe anzisha mada ya TBC , kama si komenti ya kwanza mpaka ya tano tangu mada ianzishwe labda hayupo online😂😂 huwa nafurahi sana.
Wewe ndiye mpuuzi kweli ninao uwezo wa kukufuga mwaka mzima nyumbani kwangu,visungura mnakunywa nyie chawa ambao mnaishi kwa kutupiwa makombo.Sasa unafikiri wewe una hoja sana,endelea kunywa visungura na maandalizi ya kumdekia Mwigulu barabara akihamia chadema na kugombea urais
Mimi nitakuja kwako unifuge nikusaidie kumpa mimba mke wako maana hana mtoto miaka yote tangu muoane.Wewe ndiye mpuuzi kweli ninao uwezo wa kukufuga mwaka mzima nyumbani kwangu,visungura mnakunywa nyie chawa ambao mnaishi kwa kutupiwa makombo.
😂😂😂😂😂😂sema basi tu. Ephen na Lucas wanapendana sana. Ila Lucas ninahisi yupo anakimbila 45+ ila ephen akizidi sana ni 25 hata yeye hawez bisha
Mnyiha ni mtu wa mkoa gani
Kwenye mada za mpira bila kumtaja popoma Jenta huu uzi ni takataka japo kuwa ni maono yako.wakuu Mambo ni vipi.
Mimi huwa napenda sana kusoma mada mbali mbali hapa Jf
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, Leo nitazungumizia utani wa watu hapa Jf na watu na mada ambazo utawakuta.
1 . Ni Accumen Mo na mgalatia Maghayo
Hawa ndugu zangu mimi huwa wananifurahisha sana. Nitakapoona komenti ya maghayo basi najua Accumen Mo lazima aweke wino wake hapo na lazima iwe ni kituko. Mwanzoni mgalatia huyu alikuwa ana battle sana na adriz nikaona utani umepungua umeamia kwa accumen mo. Sijui nyinyi mnauchukuliaje utani wenu ila kwangu ni burudani
2. Lucas Mwashambwa
CHIEF PRIEST
Tindo
Ma mmoja anaitwa Benjamin netanyhau
Sijui wao huenda wakawa wanaongea kwa kuchagua pande zao za siasa ila mimi kwangu huwa ni burudani. Hasa Kaka Lucas akiwa anamjibu Benjamin netanyhau huwa anamwambia hivi “ Punguza mibange unayovutia chooni “🤣🤣 binafsi kwangu ni burudani . Tindo na Lucas na ndugu chief priest hazijawahi kuiva ni paka na panya. Hili battle huwa ninalipenda.
Lakini kaka Lucas katokea kumuelewa Sana dada @ephen hata ukiangalia charts zao unaona kuna flow nzuri kabisa baina yao.
Kuna mtu mmoja sijui yeye kama yupo serious ila kwangu huwaga ni kucheka Etwege huyu jamaa yeye hata kama mada inahusu mboga za majani lazima neno Tundu Lissu liingie hapo na lazima atafute koneksheni ya mboga na Tundu lissu. Kwangu mm huwa ni kucheka tu na furaha tele. Nakukubali sana ndugu.
Ukitaka Infropreneur uone komenti yake wewe anzisha mada ya kusema Mungu yupo, kama si komenti ya kwanza mpaka ya tano tangu mada ianzishwe labda hayupo online😂😂 huwa nafurahi sana.
Ukitaka kuona uzi wa mpira unanoga wawepo Hawa watu sana sana kuhus SIMBA VS YANGA
Okwa BOBAN SUNZU mhasibu
Labani og
NALIA NGWENA
Scars
Hapo kuna wananchi na kuna simba watoto wa kariakoo, Mimi huwa majadiliano yao yananifurahisha sana. Ninawakubali sana.
Ngoja niishie hapa next time nitakuja na kitu kinachonifanya Niipende zaidi Jf .
Weka watu unaopenda aidha utani wao au chemistry waliyonayo.
🤣🤣🤣🤣 ila ephen ana 23 kama unadai lucas hajafika 35 ina maana yupo 28-31 si mbaya ngo’mbe hazeeki maini😂😂Mnyiha Lucas Mwashambwa ni kijana mdogo tu hata 35 hajafika, ila kwa namna watani zangu hawa walivyo wabishi unaweza ukadhani ana miaka ya kukaribia kuchua pensheni yake...
Hapo kwa ephen hebu tupause kwanza...
😂Lucas kachagua kunitania na ndio maana hakuna kati yetu anayejua chochote kumuhusu mwingineMkoa wa Songwe, wilaya ya Mbozi...
Lucas Mwashambwa ina maana hujamwambia bado ephen_ mahali unatokea 😄?
SadKuna tetesi jamii forum kuna watu wanajinyea makusudi na kujitawaza wenyewe(code.
Kwanini?Hapo kwa ephen hebu tupause kwanza...
Mkuu me sio mtu wa matani sana.. Usimsikilize Intelligent businessmannina watu naanza kuwaweka viporo nione utani wao.
Kuna Selikavu
NimemUona Half american na Intelligent businessman wanaki chemistry fulani hivi.
Yote kwa yote huwezi kumkuta dronedrake kwenye uzi wa pascal mayalla au wa Mama amon😂😂😂 huyu jamaa NDOA YAKE INA MIAKA 10 na ana watoto wanne ila ni kinara wa kushawishi watu wasioe🤣🤣🤣
Huyo Half american ni nusu albinoo, A.k.a kubwa la manusu😀😂nina watu naanza kuwaweka viporo nione utani wao.
Kuna Selikavu
NimemUona Half american na Intelligent businessman wanaki chemistry fulani hivi.
Yote kwa yote huwezi kumkuta dronedrake kwenye uzi wa pascal mayalla au wa Mama amon😂😂😂 huyu jamaa NDOA YAKE INA MIAKA 10 na ana watoto wanne ila ni kinara wa kushawishi watu wasioe🤣🤣🤣