Utaratibu wa kuwa na mtoto bila mama yake

Kwa hiyo haiwezekani kuweka mkataba wenu kisheria?
 
Dunia iliyojaa ubinafsi si shangai sana kwa haya yanayo tokea.

Japo dada zangu wengu ni wabinafsi na wamejaa tamaa,ila kiasili wanaume hatukuumbwa hivyo ubinafsi sio asili yetu, sisi ni walezi,walishi na ni wabeba majukumu ya kifamilia hiyo ndio asili yetu japo siku hizi kama tunataka kuikimbia.
 
Kuna Zai wa kijiwe nongwa anauza mayai...ni ww tuu...
 
UmeuaπŸ€œπŸ€›
 
Tafuta Ela
 
Watoto wakikua nawaambia kila kitu.
 
Ndo maana nikauliza kama inawezekana mean kuna utaratibu maalum either contract n.k
 
Yes/No?
 
Kuna Zai wa kijiwe nongwa anauza mayai...ni ww tuu...
sijasema mwanamke yoyote alietayari, nilitaka kujua tu kama inawezekana then pia nina condition zangu pia za aina ya mwanamke
 
πŸ™‚πŸ™‚una hela kijana au unasumbua watu tu??? hayo mambo achia kina ronaldoo au nenda mbele kijana bongo tuna mambo mengi ya msingi ya kufanya sio huo utopolo.
mbona nakuheshimugi tu mkuu, umekuja kuwaje?
 
ukiambiwa ukweli ndo heshima inashuka au?? bhasi HAIWEZEKANI unapewa majibu unaanza kulia tena.
Wewe ni boya kwa kuwa umeshindwa kufanya kilicholengwa kwenye uzi ukaja kukashifu.... Alafu sio tabia za kiuwanaume hizo heri ungekausha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…