hongera sana Yakub,
fuatilia uone kazi anazofanya,acha kujenga chuki bila sababu,una huo ushahidi wa huyo abdul kula rushwa?Abdul kupokea rushwa ndio usmart?
Are you sure?fuatilia uone kazi anazofanya,acha kujenga chuki bila sababu,una huo ushahidi wa huyo abdul kula rushwa?
Yani ni kupokezanaTimu Ya Kusifu Imeamka Sasa
tayariUmekunywa chai ..?
sikia mimi sina chama,sio mtu wa siasa bali nafuatilia utendaji wake tu,yeye hanijui,simjui,sina shida yoyote najifanyia kazi zangu napata pesa but samia anafanya mambo makubwa sana,kazi anayofanya kwenye kilimo superbYani ni kupokezana
vey sure,hebu fuatilia uone anachofanya kwenye kilimo tu utakubali nachosemaAre you sure?
Kazi Gani?? Kuuza Rasilimali za Tanganyika kwa WAARABU????fuatilia uone kazi anazofanya,acha kujenga chuki bila sababu,una huo ushahidi wa huyo abdul kula rushwa?
We mkulima , kuanzia 2025 tafuta kazi nyingine ya kufanya. Kilimo hakitakuwa na msaada tena maana maeneo mengi yatageuka kuwa jangwa ikiwemo mbeya . Tanzania itakumbwa na mfululizo wa majanga . Itakuwa ni historia mbaya kwa serikali kipindi cha kuanzia 2025 .sikia mimi sina chama,sio mtu wa siasa bali nafuatilia utendaji wake tu,yeye hanijui,simjui,sina shida yoyote najifanyia kazi zangu napata pesa but samia anafanya mambo makubwa sana,kazi anayofanya kwenye kilimo superb
acha chuki na kufata mkumbo,fanya utafiti kujua anafanya nini,ukifata mkumbo hutajua kituKazi Gani?? Kuuza Rasilimali za Tanganyika kwa WAARABU????
We ni mjinga SANA, kukataa kupigwa minada Mali za Tanganyika ni chuki???🤔🤔are you ok upstairs???acha chuki na kufata mkumbo,fanya utafiti kujua anafanya nini,ukifata mkumbo hutajua kitu