Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
hongera sana Yakub,
Dr.Samia Suluhu Hassan amewafanikisha wengi mambo mengi sana,
wewe amekuhamasisha uingie kwenye dini uloipenda, na wengine kwa mamilioni yao hususan vijana amewabadilishia maisha wanafurahi sana, na sasa wengi zaidi wamehamasika kijiunga ccm kwasabb ya utu, heshima, upole, huruma na umadhubuti wake wa kutenda mambo hasa katika uongozi...
kongole sana Dr.samia suluhu hassan




