Utendaji wa CCM hii chini ya mwenyekiti Samia suluhu hassan, ni wa kisayansi sana kisiasa, hamasa ni kubwa mno mioyoni mwa wananchi kujiunga nayo

Utendaji wa CCM hii chini ya mwenyekiti Samia suluhu hassan, ni wa kisayansi sana kisiasa, hamasa ni kubwa mno mioyoni mwa wananchi kujiunga nayo

hongera sana Yakub,
Dr.Samia Suluhu Hassan amewafanikisha wengi mambo mengi sana,

wewe amekuhamasisha uingie kwenye dini uloipenda, na wengine kwa mamilioni yao hususan vijana amewabadilishia maisha wanafurahi sana, na sasa wengi zaidi wamehamasika kijiunga ccm kwasabb ya utu, heshima, upole, huruma na umadhubuti wake wa kutenda mambo hasa katika uongozi...

kongole sana Dr.samia suluhu hassan :ClapHD:
 
Siku nyingne tena ya kusifu na kuimba mapambioo…… bora mda wa mechi ufike tuu
 
Yani ni kupokezana
sikia mimi sina chama,sio mtu wa siasa bali nafuatilia utendaji wake tu,yeye hanijui,simjui,sina shida yoyote najifanyia kazi zangu napata pesa but samia anafanya mambo makubwa sana,kazi anayofanya kwenye kilimo superb
 
We mkulima , kuanzia 2025 tafuta kazi nyingine ya kufanya. Kilimo hakitakuwa na msaada tena maana maeneo mengi yatageuka kuwa jangwa ikiwemo mbeya . Tanzania itakumbwa na mfululizo wa majanga . Itakuwa ni historia mbaya kwa serikali kipindi cha kuanzia 2025 .
 
acha chuki na kufata mkumbo,fanya utafiti kujua anafanya nini,ukifata mkumbo hutajua kitu
We ni mjinga SANA, kukataa kupigwa minada Mali za Tanganyika ni chuki???🤔🤔are you ok upstairs???
Kweli UJINGA NI MZIGO.
Hongera sana kwa kuchagua ujinga
 
Back
Top Bottom