Kama hii ndio sababu basi kuna tatizo pahala. Hizo posters hazifanyi kazi, kama mtu anafanya kazi yake kwa weledi si anaonywa tu.
Upumbavu wake uko wapi? Kusema ukweli ndo umwite mpumbavu? Kama unanufaika na hii tabia ya kutengua wa bara tu, kaa kimya. Wengine inatuumiza, tumeamua kusema.Mkuu Acha upumbavu
Bimkubwa kawachelewesha sana hawa jamaa, labda itakuwa alikuwa anausoma mchezo.Jana walifanya kosa la kutoa tangazo la kumpongeza NAPE baada ya kutumbuliwa ....Naona mama amekuwa mbogo sana nahisi huko mbele atakuwa balaa zaidi
Ndio maana wala kwa urefu wa kamba wanalifilisi taifa letu,tangazo kama hilo bilashaka limetumia rasilimali katika mashirika hayo,kwa hiyo uidhinishaji ni holela kiasi hicho,kama ndivyo,huenda huu ni mwanzo wa mageuzi makubwa GenZ sio wapole pole.Wamekosea,Wanapaswa kuwajibika ama kuwajibishwa..Nidhamu,Heshima,adabu na hekima ni muhimu sana..
Hata hivyo
Nadhani Mfumo wa utoaji habari ktk taasisi za Umma kwa sasa umeshikwa na Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano na Habari wakisaidiwa na maofisa wao..
Hawa wamekuwa kioo na wasemaje ktk mambo mbalimbali yanayohusu taarifa mbalimbali,Machapisho,Vipeperushi,Fafanuzi na maelezo..
Ukitafakari namna wanavyofanya kazi ktk Taasisi na mashirika mengi uwezekano ni mkubwa wao kufanya mengi bila idhini ya wakubwa au watendaji wa taasisi..
Mungu ibariki Tanzania
Hata mimi nimeliona hilo. Watashiriki vizuri tu kwenye goli la mkono hivyo wananchi hawatahangaika nao wakidhani hawako kwenye system kumbe ndiyo watakuwa wahusika wakuu. Hii nchi aiseeHapa kuna mchezo tunachezewa wa kisaikolojia. Hawa matapeli wana ajenda yao ya Siri.
Nape na makamba jr hawajatolewa kwasababu za kiutendaji wametolewa ili waanze kuingia mtaani kufanyia utekelezaji zoezi la kutengeneza kura kwaajiri ya uchaguzi ujao.
Safi kabisa. Kamfyatua mtama yule jamaa toka Mtama, atashindwaje na hawa wadogo zake.mama anafyatua mitama.mitama yake inaitwa"ngwala",yana anakupiga mtama afu anasonga mbele anaefatia.
Uzuri,tunalijua bao la Nkono na unafiki wa Toba kwa Mungu baadaa ya wizi wa kura hapo ndio utakuwa mwanzo wa Tanzania mpya.Hata mimi nimeliona hilo. Watashiriki vizuri tu kwenye goli la mkono hivyo wananchi hawatahangaika nao wakidhani hawako kwenye system kumbe ndiyo watakuwa wahusika wakuu. Hii nchi aisee
Aisee hii ni kweli kabisaUkiingia serikalini ushaingia kwenye nfumo wa ki Mafia, kukubali appointment tu ni setting yourself for failure.
Ni vigumu sana ku maintain utendaji wa Private Sector serikalini.
Tatizo sasa inawezekana uteuzi wenyewe unausikia redioni, halafu ukiukataa umemuaibisha rais na kujitengenezea matatizo, inabidi ukubali tu.
Utanikumbuka,Msigwa ataulaKuna watu wataulamba hapo!
Nao wajipongeze kutimuliwa sasaHawa waliwasifiaa kina napeee sasa walidhani mama ni wa mchezo mchezoo..!!
Nami hilo nimeliona mida hii. Hizo salamu zote zinafanana kabisa neno kwa neno. Something must be wrong somewhere...hivi kuna mchezo mchafu umefanywa?
..yaani bodi za wakurugenzi wa mashirika matatu tofauti zimefanya kosa linalofanana?!
CCM ndo wezi namba moja.Walikuwa wanaiba pamoja
Asipo kuwa Mla kwa kamba na mhujumu wa aliko toka kwa manufaa ya walakwa kamba wanaolifilisi taifa letu hamna shida,ila sii kwa unaa wa kuomba Toba baada ya uovu dhidi ya taifa na watuwake kwa kukusudia.Utanikumbuka,Msigwa ataula
Inaweza kuwa ni mageuzi ya kutupatia Tanzania mpya tuliyoitamani muda mrefu na hatukuipata.Gundu la Nape ni hatari. Anazidi kuwapukutisha wenzake
Sawa dada angu, hebu taja Waziri kutoka Zanzibar au Pwan aliyetenguliwa na maza toka ameshika madaraka?Mkuu Acha upumbavu