tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Uzuri mtenguaji hatenguliki kikatiba.
Kama hii ndio sababu basi kuna tatizo pahala. Hizo posters hazifanyi kazi, kama mtu anafanya kazi yake kwa weledi si anaonywa tu.